Search results

  1. Mmsapali

    TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    Ndugu, zoezi la kuingiza matokeo lilikua la wazi kabisa. Watu wa vyama vyote shiriki walikuwepo wakihakiki form wakati zikiingizwa na hawakulalamika kua zimetofautiana. Waulizeni wagombea wenu wa ubunge wawaeleze zoezi la kuingiza matokeo liliendaje maana walikuwepo na walihakiki. Mkipewa majibu...
  2. Mmsapali

    Mtazamo: Naona Giza mbele Kweye utawala wa Dr. Magufuli

    Petrol imeshuka kwa sh 80
  3. Mmsapali

    TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    Kama tume ndo yenye mamlaka uchaguzi z'b ungeahirishwa? Si wangejitangazia tu wanayemtaka mchezo ukaisha? Acheni kupotosha watu kwa mambo msiyoyajua. Tume yetu ni huru kwa nadharia na matendo. EL kakatwa na watu wala msiisingizie tume. Mimi ni mmoja wa waliomkata.
  4. Mmsapali

    Mtazamo: Naona Giza mbele Kweye utawala wa Dr. Magufuli

    Binafsi naiona Tanzania ikiimarika kiuchumi na kuwa moja kati ya nchi tajiri zaidi Africa na baadae duniani.
  5. Mmsapali

    TB Joshua akutana na viongozi wa UKAWA

    Sababu ya ujio wake ipo wazi kwa walio tayari kuiona. Kama haupo tayari usilazimishe ubongo wako kuitanabai, kwani utaishia kupotoka tu na kujichumia dhambi.
  6. Mmsapali

    Siamini na wala sitaki kuamini kama kuna kura zinaibiwa

    Safari hii kuiba kura ni ngumu maana form za matokeo kwa kila kituo ni computerized na idadi ya wapiga kura kwa kila kituo imejazwa tayari kwenye form. Ikizidi tu ni mgogoro. Piga kura, rudi Nyumbani kusubiri matokeo. AMANI NI MUHIMU ZAIDI.
  7. Mmsapali

    TANZIA Waziri Celina Ompeshi Kombani afariki dunia

    Hiyo ni kwa wote wanaofikiri kama Zanzibar-ASP
  8. Mmsapali

    Hawa ndio Wafadhili wakuu wa CHADEMA ambao Mbowe hataki kuwataja hadharani

    Obama alipopiga pushups alijidhalilisha?
  9. Mmsapali

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Bukoba Mjini, Kagera - Septemba 21, 2015

    Kwani kusafirisha wanachama wako toka maeneo ya mbali kwenda kwenye mkutano wako na kuwarudisha ni dhambi? Hapo juu naona ni wanachama wa chama husika wameamua kwenda kusikiliza mtu wao anazungumza nini, binafsi sioni dhambi iliyotendeka. Ni utaratibu wao binafsi na hautuhusu.
  10. Mmsapali

    Msingi wa Kuukataa Utawala wao siyo Chuki dhidi ya Watu...

    Nadhani kati ya magamba yaliyokwamia kiunoni pa CCM yalikuwa ni Edward na Andrew, moja lilivuka.
  11. Mmsapali

    Msingi wa Kuukataa Utawala wao siyo Chuki dhidi ya Watu...

    Miaka 34 ya bila upinzani.
  12. Mmsapali

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Ukiona umeongea kitu halafu wahusika wakakutizama tu, consider yourself stupid. And that is what Gwajima is. "POWER HUNGRY, CORRUPT, UNETHICAL STUPID MESSENGER OF THE FALLEN" Sioni sababu ya Mtu mwenye akili kujibizana nae. "DK AENDELEE KUMPUUZA SABABU SIKU ZAKE NA WENZAKE KUPOTOSHA WACHACHE...
  13. Mmsapali

    Political Mathematics: Computing The CCM Cadres 'Party Switching' Trend

    I am a follower of changes (for the sake of democracy) but it has to be a real change and not just changing the color of flags.
  14. Mmsapali

    Political Mathematics: Computing The CCM Cadres 'Party Switching' Trend

    Have you ever thought of the consequences? B'se what you're trying to do is trying the current with both feet..
  15. Mmsapali

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Niliskiliza hotuba ya Dr. Slaa vzuri, sikuskia hilo tusi kwa maaskofu. Kuhusu kuhongwa kwa maaskofu nilimsikia akisema Gwajima ndiye aliyemwambia Dr. Na akasema Kuwa kama alichoambiwa na Gwajima ni kweli, basi maaskofu wajitafakari then wapige magoti watubu.
  16. Mmsapali

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Mimi kama mwana jamvi wa muda mrefu ninasikitika sana kuona maana halisi ya jamiiforum ikibadilika toka jamvi la watu wenye fikra pevu, watu wanaojadili mambo kwa upana wakiangalia maslahi mapana ya nchi yetu, watu wanaojua kujenga hoja, kuzifafanua na kuzitetea kwa hoja na lugha yenye hekima...
  17. Mmsapali

    Askofu Josephat Gwajima amjibu Dr. Slaa

    Kwa hiyo wewe umeyapokea maneno ya Gwajima kama kweli na kweli tupu?
  18. Mmsapali

    Wananchi wameshindwa kuelewa maana ya mabadiliko

    Nafasi za Kazi TTCL Deadline 10 Sept Apply online at Www.ttcl.co.tz/onlineappportal Available positions; 1) Application Administrator 2) ICT Security Engineer IDC 3) Systems and Database Administrator-IDC 4) Power & Cooling Engineer - IDC 5) Senior Developer Analyst 6) Product Coordinator 7)...
Back
Top Bottom