Mkuu, zacha sina la kusema kiongozi wangu.
Niko na furaha sana, huu kwangu ni zaidi ya wimbo.. sikufichi nimeusilikiza zaidi ya mara 35 hadi sasa.
Nimekumbuka mwaka 2006 wakati niko naharakati za kutafuta maisha huko kwenye utalii i mean kutembeza watalii mbuga za wanyama, ahsante sana mdau...
Heshima kwako mkuu kipumbwi kwa uzi huu mujarabu..
Hakika sisi wahenga tumeburudika sana kwa kujikumbusha enzi bongo fleva imeshika hatamu.
kwa muda mrefu sana nimekuwa nikitafuta wimbo mmoja hivi umeimbwa na wasanii wengi sana (Chid Benz, Joslin, makamua n.k)nimeusahau jina ila wameimba...
Huyo Dr. Slaa ameshindwa kukamilisha kazi aliyotumwa na waajiri wake CCM,amekumbana na wajanja zaidi yake.
CHADEMA imekamilika kila idara, huwezi kuihujumu CDM na ukabaki salama utafurushwa tu.
Wananchi sasa wanachosuburi ni kipyenga cha kuanza kampeni kipulizwe watu washuhudie jinsi Tanzania...
Movie za kibongo hazina uhalisia hata kidogo,kwa mfano muigizaji anamkata na panga mbaya wake wakiwa katikati ya mtaa uliojaa watu kisha anaondoka na panga lake limejaa damu na kupita katikati ya hao watu bila ya watu kushituka,kiuhalisia watu wote mtaani wangemkimbia vibaya mno anapowakaribia...
Kumbukeni,hicho kipande cha barabara hapo Meta kila mwaka kinakarabatiwa kwa kufukia hayo mashimo,mara waweke udongo sasa sementi,sijui mwakani wataweka nini.
Hayati Mwalimu Nyerere alisema "Ulaya wanakula 10 percent na barabara inajengwa,Afrika wanakula 10 percent na barabara haijengwi" Ni...
Ni ajabu ati basi linaanguka na kulalia mlango likishika moto watu wanaungua na kufia ndani kisa hakuna milango ya emergency.Mbona mabasi ya zamani ya relwe yalikuwa na milango ya dharula?TBS wako wapi au wanaangalia vipodozi tu!
Mgagagigikoko.
Sisi enzi zetu tulisoma novel za chase,vitabu vya Chinua Achebe,Africa now na Shoot magazine.
Wao enzi hizi wanasoma twitter,facebook na instagram,huo ndiyo mwanzo wa ukanjanja.
Mgagakikikoko.
Bado nasisitiza,bila kuondoa donda ndugu rushwa kati ya madereva na askari barabarani tutaendelea kupukutika kama maua ya kiangazi. Fikiria toka Dar mpaka Mbeya kuna trafiki polisi zaidi ya mia moja na vitochi vyao lakini unaambiwa mabasi yanapata ajali kutokana na mwendo kasi,hapo jumlisha moja...
Ni muda mrefu sasa ajali za barabarani zinazidi kuongezeka na kupoteza uhai wa watu wengi,sababu kubwa zinazotajwa sana ni uzembe wa madereva pamoja na ubovu wa miundo mbinu.
Lakini sababu nyingine ambayo haitajwi sana ni rushwa iliyokidhiri miongoni mwa taasisi zinazohusika kusimamia usalama wa...
kiukwel wanawana hawana cha kukwepa kwenye manyanyaso ya hawa wasaidizi wa ndani. yaani unakuta mwanamke na shule yake (hata asiye na shule) anavyomfanya dada wa kazi hadi mwanaume unajisikia vibaya. sasa kosa umwambie anakuona kama mbona unamtetea sana huyu dada una uhusiano gani nae..??
kikwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.