Search results

  1. O

    EU Observer, Mbowe, Kova na Kura za Tunduma

    Yaani kuna watu wakisikia mwanasiasa wanae mpenda kasema kitu tayari wanaamini bila hata ya kufuatilia, matokeo ya tunduma ndio yametangazwa mchana huu na yapo sahii kama karatasi wanayoionesha na si kama wanavyodai kwamba yametangazwa wamepata kula 6000( shame on all of u ambao mnataka...
  2. O

    EU Observer, Mbowe, Kova na Kura za Tunduma

    Hata mimi nimejaribu kuangalia matokeo yalio tangazwa na nec sijaona walipotoa matokeo ya uraisi kwa jimbo la Tunduma sijajua viongozi wa ukawa hayo matokeo wanayo yasema yametangazwa na nani. Kama ni kweli tunashauri waweke ushaidi wa hati ya matokeo hayo, maana hati hizo utolewa matokeo...
  3. O

    Wana'UKAWA ifikapo kesho tayari tutakua

    vipi umepigia hesabu majimbo yao ya chato, geita, bariadi etc....
  4. O

    Magufuli muongo sana, kodi ya wafanyakazi P.A.YE ni 18%, na sio 11%, uongo huu

    jamani PAYE siyo flat rate hiyo asilimia 11% ni kwa kima cha chini, hivyo wapo wanao lipa juu ya hiyo na wengine wanazidi hata hiyo 18%, pia ukkokotozi wa PAYE autegemei hiyo asilimia peke yake na inatofautiana kulingana na kiwango cha mshahara.
  5. O

    Msaada: Waliowahi kusafiri toka Mbeya kwenda Moshi/Arusha

    Kwa sasa mabasi mengi sana yanapita njia hiyo, ambayo mengine ni pamba sana jaribu kufika stand kuulizia utapata information zaidi.
  6. O

    Msaada: Waliowahi kusafiri toka Mbeya kwenda Moshi/Arusha

    Iringa-mbeya ni mwendo wa SAA 4 tu, hivyo kama yapo yanayo unga kufika SAA mbili au tatu inawezekana kabisa ambayo ni bora kuliko yale yanayo ingia SAA sita usiku.
  7. O

    Msaada: Waliowahi kusafiri toka Mbeya kwenda Moshi/Arusha

    Kawa sasa hiyo njia inatumika na mabasi mengi, kawa mfano Luna kimotco kutoka arusha-iringa, inatoka SAA kumi na mbili asubuhi inaingia kumi na moja jioni. Though sina uhakika mabasi gani yanaenda mpaka mbeya ila kama yapo bado yatakuwa yana wahi kufika kuliko yanayo pita chalinze maana Yale SAA...
  8. O

    Tujenge nchi yetu

    Nimefurahi sana kujiunga nanyi kutoa michango mbali mbali ya kimawazo ili kwa pamoja tuijenge nchi yetu.
Back
Top Bottom