Search results

  1. L

    Kazi Access Bank

    nimefanya kazi pale,ipo hivi hiyo 180000 unalipwa wakat wa training ambayo haitazidi miezi miwil,ukiajiriwa unalipwa basic 340000,na unakua unapata bonas kutegemea utendaji kazi wako.binafsi mpaka naacha kazi nilikua napata gross almost 1.6m na net 1.1m.kiukwel katka microfinance banks za hapa...
  2. L

    Access Bank Calls...

    mkuu ni jukumu la loan officer kutafuta wateja mwenyewe.ingawaje zipo bank na taasisi chache ambazo wateja hawatafutwi na afisa.na mara nyingi ni mikopo ya wafanyakzi.lakini ya wafanya biashara ni juu yako afisa
  3. L

    Hivi bodi ya mikopo walishaajiri?

    Wana jamii habari ya wikend?hivi bodi ya mikopo HESLB walishaajiri zile nafasi walizotangaza mwaka jana mwishoni za LOAN OFFICERS?​
Back
Top Bottom