Search results

  1. MLUGURU

    Makampuni ya Mawasiliano yaboreshe vifurushi viwe rafiki kwa ajili ya viziwi

    TCRA pamoja na haya makampuni ya simu ya Tanzania (Tigo, Vodacom, Halotel, Zantel, Airtel,ttcl), miongoni mwa wateja wenu kuna hawa wenye mahitaji maalumu ambao ni viziwi kiasili. KIZIWI maana yake ni mtu ambae hawezi kuwasiliana kwa namna yoyote ile kwa njia ya sauti zaidi ya video call na sms...
  2. MLUGURU

    Afande Sele apewe heshima yake mapema bado yungali hai

    Nipo nasikiliza nyimbo ya dini tumeletewa ya huyu msanii, hii nyimbo unaweza kufundishia mavyuoni kabisa na wanafunzi wakakuelewa nini ambacho mwalimu umekusudia kulenga. Kuna ile inaitwa heshima kaimba na chelea Man, jamaa anaimba vitu matured kabisa.
  3. MLUGURU

    Ole Gunnar Solskjaer autaja Mlima Kilimanjaro

    Kocha wa timu ya Manchester united ameutaja mlima kilimanjaro wakati akiongea na wachezaji wake kuhusu timu yake kukaa kileleni. Nadhani hii itaweza kufungua kuongezeka kwa fursa za utalii kwa kuzingatia kuwa timu ya Manchester United ndiyo timu inayoaminika kuwa na mashabiki wengi duniani...
  4. MLUGURU

    Chumvi kwenye wali

    Wakuu naombeni ushauri wenu hapa, nimezidisha chumvi kwenye wali nimepikia kwenye rice cooker nifanye nini ili uweze kulika vizuri?? Chumvi nayo kiungo ila ikizidi lol
  5. MLUGURU

    Naibu Waziri Ummy agundua "lockdown" ya walemavu Tandale

    Naibu Waziri Ummy Nderiananga amegundua gesti bubu maeneo ya Tandale ambako walemavu wamehifadhiwa huko kwa minajili ya kufanywa kitega uchumi. Mmiliki wa gesti hizo amekimbia baada ya kujua Serikali imegundua dangulo hilo. Mwisho operesheni hiyo imeenda sambamba na kuwakamata na kuwachapa...
  6. MLUGURU

    Tuliothubutu kulima mahindi vuli hii tukutane hapa

    Kwa wale wabishi wenzangu wa kilimo cha kutegemea mvua,waliothubutu kuweka mbegu za mahindi tukutane hapa ili tupeane updates mbali mbali. Mimi nilipanda tarehe za mwishoni mwa mwezi october na sasa nalima palizi ya kwanza na mahindi yanaendelea vyema kabisa sijajua huko mbeleni. Shamba ni...
  7. MLUGURU

    Afande Anthony wa kituo cha Chalinze akamatwa na magunia ya bangi akiyasafirisha kwa gari binafsi

    Afande anaejulikana kwa jina la Anthony kutoka kituo cha Chalinze amekamatwa na magunia ya bange ambayo alikuwa anayasafirisha na gari lake binafsi.
  8. MLUGURU

    Msaada wa haraka: Mahindi yangu yana tatizo hili

    Leo nimetembelea shambani kwangu nimekuta baadhi ya miche ya mahindi ina hali hii,kwa wataalam naombeni mnijuze hali hii ya kutoboka majani inasababishwa na nini na nichukue hatua gani za haraka kuokoa mahindi yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. MLUGURU

    Babu Mwasapile na kikombe cha Corona

    Hivi wadau nimejaribu kuwaza....mara paap babu Mwasapile kaibuka na kikombe cha Corona ni vipi tutaachia wagonjwa kutoka China na nchi nyingine waathirika wamiminike nchini tupige bingo la utalii wa matibabu au tutaacha babu na kikombe chake aende nchi itakayokuwa tayari kumuhifadhi atoe huduma...
  10. MLUGURU

    Yupi bora kati ya mvuta sigara na mnywa pombe?

    Nipo kwenye daladala hapa Buguruni Makumbusho. Kuna mabishano kati ya konda na abiria kuhusu yupi bora kati ya mvuta sigara na mnywa pombe. Konda anasema mvuta sigara ni bora maana akishavuta anapiga mswaki anakuwa fresh ila wanawake wanampinga wanasema mvuta sigara anaboa mana mwili unanuka...
  11. MLUGURU

    Mh Aweso Juma Mbunge achukizwa na Injinia wa Maji

    Mheshiwa aweso akimkaripia kwa hisia kali injinia wa maji aliyepanga kumuhujumu kipindi anafatilia mradi wa maji Sent using Jamii Forums mobile app
  12. MLUGURU

    Serikari iboreshe stendi ya Makumbusho

    Hii stand ya makumbusho imekuwa ni kiungo muhimu cha usafiri kuelekea sehemu mbalimbali za mji huu Dar es Salaam. Lakini kinyume na umuhimu wake naona imesahauliwa kabisa kwani maendeleo ya miundombinu ndani ya jiji hili ni tofauti kabisa na miundombinu ndani ya stand hii muhimu. Mashimo...
  13. MLUGURU

    Kilichomponza Diamond ni hiki

    Ile tabia ya kujifanya unatoa nyimbo mpya kila siku ndio haswa imemponza huyu msanii na kujikuta kuishiwa uwezo wa kutunga nyimbo mpya ili kuweza kukata kiu ya mashabiki wake. Hili suala la kugelezea kazi za wasanii wenzie wa kimataifa rejea nyimbo ya Soapy ni dalili ya wazi kabisa kuwa msanii...
  14. MLUGURU

    The weekend is here

    Papa Mobimba
  15. MLUGURU

    Wifi usage data

    Wadau naomba maelekezo juu ya namna ya kudelete usage data kwenye simu ili nipate nafasi zaidi. Kwenye screen shot apo chini namaanisha izo gb 14.7
  16. MLUGURU

    Askari wa kike shupavu.

    Shuhudia huyu dada askari wa kike akiwa katika sare za jeshi akibeba mifuko ya sementi katika kuunga juhudi za ujenzi nadhani utakuwa wa kituo cha polisi hapo kwao. Hakika huu ni mfano wa kuigwa.
  17. MLUGURU

    Tabia mbovu ya madereva wa mabasi ya mikoani

    Hili nimelishuhudia Mara nyingi sana pindi ninapokuwa safarini mikoani kwenye shughuli zangu. Mosi,utakuta dereva anatembea mwendo mkali,kufunga breki za kushtukiza na vitu kama hivyo,lakini pindi akitokea abiria akaenda kumtadharisha Kwa huo mwenendo wake basi dereva atasusa na kutembeza bus...
  18. MLUGURU

    Msanii nik Wa pili abagua walemavu wazi wazi.

    Msanii huyu anaejinasibu kama msanii msomi kuliko wote na mwenye ndoto za kuwa Rais amewafananisha wanawake wasiojitambua sawa sawa na wanawake wenye ulemavu Wa akili. Yapasa aombe radhi Kwa kweli Sent using Jamii Forums mobile app
  19. MLUGURU

    DAR: Uzi huu maalumu kwa watu wenye kuhitaji kufanya kazi za day worker kwa usiku tu

    Nimefungua Uzi huu maalumu Kwa minajili ya watu wenye kuhitaji kufanya kazi za deiwaka Kwa usiku Tu na Kwa wale wenye kuhitaji wafanyakazi Wa kufanya kazi usiku Tu. Kuna watu kwa mfano watumishi Wa serikali ambao baada ya muda Wa serikali wana muda mwingi Wa ziada hivyo wangependa kujiongezea...
  20. MLUGURU

    Gesi yaanza kutumika kiwanda cha Dangote

    Kiwanda cha kuzalisha sementi cha Dangote kimemaliza mchakato Wa kusimika vinu vya kufua Umeme Kwa kutumia Gesi. Ikumbukwe kiwanda hicho kilikuwa kinatumia maelfu ya Lita za dizeli kutoka nje ya nchi kuzalisha Umeme sasa kiwanda kitatumia Gesi ya hapa hapa nchini kuzalisha Umeme badala ya...
Back
Top Bottom