Search results

  1. M

    Msaada please.

    Habari zenu Wakubwa. Naomba msaada kwa wataalamu. Vipi naweza ku download You tube video katika simu Nokia C1-01. Ikiwa inawezekana, jee nipitie hatua gani? Thanks.
  2. M

    Jumaa mubaraq

    Ijumaa njema, yenye furaha. Kwa sote. Ameen.
  3. M

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Idiot. Find your identity. Usisubiri watu wengine wakutafutie Tanganyika yako. AMKA ACHA KUWA NA AKILI MGANDO.
  4. M

    Nchi yetu inaitwa Tanganyika

    Watanganyika ni waoga wa kila kitu. Kazi yao ni Domo reeeefu bila ya vitendo, maneno meeeengi vitendo vichache. Usishangae ndio maumbile yao, ndio maana wakaitwa Wadanganyika. Mtanganyika aliyebaki ni mmoja tu Mch. Mtikila. Wengine wote ni Nguvu mdomo tu. Eti waache wao wadai, itakayobaki ndio...
  5. M

    Mbona simwelewi balozi seif ali idi

    Kwa maelezo yako Mkuu, inaonyesha kama huishi TZ au si mfuatiliaji wa mambo yalivyo nchini mwetu. Kwa taarifa yako Balozi Iddi ni mbunge wa kuchaguliwa wa jimbo la Kitope katika nchi ya ZNZ. Vile vile ni mwakilishi wa kuteuliwa na Rais wa ZNZ, kwa maana hiyo anaweza kuingia katika BLW na Bunge...
  6. M

    Bingwa wa kukosea

    Viatu vya mtumba nikivijua tu naviona.
  7. M

    Usifungue thread hii utani huu siyo

    Pua kama buno la kozi la mnazi. Domo kama pakacha. Miguu kama Fidodido.
  8. M

    Zanzibar inastahili kuwa na wajumbe wawili tu katika tume ya katiba

    ZANZIBAR ni nchi na itaendelea kuwa nchi. Nani alikwambieni muiue Tanganyika. Mwenye wivu ajinyoge. Mtabaki kulia tu Wadanganyika. Kelele za mlango.........................
  9. M

    kwa wanaume tu..! ikikutokea hii utafanyaje..!?

    Kama ndio mimi nitamKANUMBA.
  10. M

    Halima Mdee amtafutia Lulu wakili

    Malehem na taalifa ndio nini?
  11. M

    Mzee Mtei hajafilisika mawazo - kasema ukweli

    Very good. Wonderful.
  12. M

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    Mkuu una akili mgando. Haijalishi idadi ya watu. Tunaangalia haki sawa.
  13. M

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    Zanzibar ni nchi kama ilivyo Tanganyika. Hata kama ina watu laki moja.
  14. M

    Waumbue kwa kutumia nokia..

    Mkuu, tupe ufafanuzi kidogo. Vichwa vyetu vizito vya kufahamu. Tuwekee step by step. Tafadhali.
  15. M

    Waumbue kwa kutumia nokia..

    Mkuu, tupe ufafanuzi kidogo. Vichwa vyetu vizito vya kufahamu. Tuwekee step by step. Tafadhali.
  16. M

    Leo Nimetimiza post 3000...!!!

    Hongera Mkuu. Wewe ndio G.T. Kama aliyenitangulia kusema, kuna watu wamejiunga miezi miwili tu lakini wana post zaidi ya elfu tatu. Big up.
  17. M

    Hivi hawa the so called EWURA kazi yao ni nini?

    Biashara huru. Yana mwisho.
Back
Top Bottom