Inawezekana ukaitwa mkoa wa chato lakini makao makuu ya wilaya pendekezwa si vizuri yawe chato. Sehemu hii imekuwa na changamoto za kiulinzi, ujambazi nk. Kuna ukanda wa misitu nk. Katika kuhakikisha linakuwa na usalama mkoa ungefaa. Lakini ningependekeza patafutwe makao makuu ya mkoa. Ukitoka...
Wangezuia kingine lakini kwa hili mungu awalaani. Tungependa kuona watoto wetu wakisoma mazingira mazuri. Hata Kama mtu ana chuki binafsi na jpm lakini kwa hili hatutawaelewa. Tumeletewa elimu bure maana yake huko tuendapo madarasa na vifaa havitatosha. Watanzania tuandamaneni kuwapinga Hawa...
Zitto bwana hajui sisi Tanzania kuwa na ndege ni muujiza. Kuna kipindi air Tanzania ilikuwa na ndege moja na inafanya kazi Kama kichaa ina mkurugenzi mkuu na wafanyakazi wengi tu. Sasa magufuli angalau katusaidia.
Unajua sisi tuliozaliwa familia masikini Kama zitto hata baba akileta kilo ya...
Mtindo wa ufanyaji biashara ni wa ovyo sijawahi kuona kuchekeana tu. Eti mtu unaweza kuwa unafanya biashara na kulipa kodi mtu mwingine anakuja mbele ya duka lako anafanya biasha hiyo hiyo halipi kodi eti biashara yake ni ndogo. Anaweza kushusha bei mkashindana naye na TRA wanamchekea na wakija...
Suala la airtel ndio limeua TTCL. Jamani mbona tunapotezeana muda?. Hivi kuna nini cha kujadili? Watu wakubwa wanatakiwa kuwa wamekamatwa. Hongera JPM hapa naona kazi kweli kweli inafanyika. Hii ni meremeta nyingine.
Kabla ya kutoka na kusema waziwazi walitakiwa wahusika wameisha fikiwa na mkono wa Takukuru. Sasa hivi naona kama watakimbia kuficha baadhi ya madhambi yao. Inatakiwa sasa hivi watu wasilale.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.