Search results

  1. M

    Riziwan awavuruga UVCCM Dodoma na mamilioni

    antony mavunde na ridhwani kikwete kambi ya membe. Malisa sawa yupo kwa lowasa na bashe wapo kwa lowasa
  2. M

    Riziwan awavuruga UVCCM Dodoma na mamilioni

    nimeyasema haya mimi wa dodoma hapa ni msuguano wa kambi za wagombea urais wa ccm 2015 wanadhani labda policcm watakuwa wamemwua DR WA UKWELI SLAA
  3. M

    Riziwan awavuruga UVCCM Dodoma na mamilioni

    mavunde na ridhiwani= membe , membe=JK kaaazi kwelikweli
  4. M

    CHADEMA wanakaribia kukamata Dola-Balozi Lusinde

    huyu Mzee Balozi Mstaafu ni mtu muhimu sana ndani ya ccm ni trustee wa chama, ni mtu mwenye sauti. Lusinde huyu hana undugu na Lusinde wa matusi aka Kibajaji cha mchina. Lusinde alioona nimehama ccm kwenda CDM aliduwaa sana nadhani sasa ameanzxa kuona kwamba uamuzi wangu ulikuwa sahihi kuja...
  5. M

    Mwanasheria wa Halmashauri ya Korogwe ana 'Digrii ya chupi' - DC Mrisho Gambo

    ndo mwone tunaposema vyeo vya kupeana vina madhara jamaa ni mteule wa RIZ1 na mshua anamkubali ona sasa kiburi chake anamdharirisha hivi. Mwanasheria ana kuwa na kesi nyingi sana angempa taarifa mapema ajiandae lakini siyo kumuambush tu kiasa JK an Riz1 ni marafiki zake. Mwisho wenu 2015
  6. M

    Tundu Lissu yuko sahihi: Majaji wengi hawajahitimu vyuo na elimu zao ni za mitandaoni

    TZ: Someni gazeti la Jamhuri, Toleo la Jumanne Agosti 14-20, Toleo Namba 39, Utaona Umakini wa TUNDU LISSU. MAKINDA NA JOB NDUGAI AIBU YENU MAANA MNADHANI WABUNGE WA UPINZANI WANALALA OVYO NA KULEWA DODOMA, WANASOMA, WANAFANYA UTAFITI, WAPO VERY BUSY KWA MASLAHI YA NCHI. NAMPONGEZA SANA TUNDU...
  7. M

    Picha: Harambee ya M4C yavuna milioni 323 za kitanzania jijini Dar

    M4c daima na tunaendelea kuchanga mpaka kieleweke na tupo wafanyakazi wa idara nyeti za serikali tunachangia kwa sana. Nape na mkama mjinyonge sana mapema kama ikiwezekana
  8. M

    Updates: Hukumu kesi ya Prof Mahalu; ashinda kesi dhidi yake!

    NDO TUNATOKA HAPA MAHAKAMANI mAHALU KASHINDA KESI, ILIKUWA NI KESI YA KISIASA jk KUPIMANA NGUVU NA mKAPA, jk KACHEMKA LIVE NA HUO NDIO MWISHO WA FITINA HUWA AIBU
  9. M

    Paul Chizi wa ATCL asimamishwa kazi

    SAFI SANA mwakyembe
  10. M

    Flag Bearer wa urais CHADEMA 2015 ni Dr. Slaa!

    acheni kujadili urais tujende chama tufungue matawi sana, hapa dodoma matawi hata wilayani bado shida, ninachokiamini cdm 2015 ikulu muhimu na hata kama tutasimmisha jiwe tutalipigia kura maana chadema lazima iingie ikulu
  11. M

    Lema amjibu Kikwete, asema yupo tayari kwa lolote kuanzia sasa

    Napata furaha sana kuona wapo vijana waliojitolea maisha yao kupigania haki, uswa na utu wa mtanzania. Naomba viongozi wa dini, dhehebu analotokea lema, maaskofu, mitume na manabii akina mwingira, gwajima huyu kijana afunikwe na wingu la utukufu wa mungu. Natangaza rasmi hakuna silaha...
  12. M

    CHADEMA yateka kusini - Soma hotuba yao

    Nmwenye namba za nape mpigieni simu au mtumieni hii picha
  13. M

    CHADEMA yateka kusini - Soma hotuba yao

    mungu akiwa upande wa cdm nani aliye kinyume nasi? Fitina, hapana, uchawi hapana, ruiushwa hapana, hapana nasema hapana cdm inaunganisha watanzania woooote karibuni dodoma wakati wa bunge tufanye mabadiliko makubwa sana
  14. M

    CCM wanaandamana Dodoma

    wagogo tuliohamia CDM TUWAFUNDISHE SIASA MAGAMBA WA DODOMA
  15. M

    Hawa ndio wenye ccm.

    umekosea Mzee Balozi Lusinde na huyu Lusinde Mitusi hawana undugu wowote ule na Balozi yeye watoto wake wanfanay kazi hawajui what is politics huyu mzee hana uroho ni mwadilifu ni rafiki yake sana Nyerere na mara kwa mara anawachana live ccm kwamba wamepoteza dira. Ila list nyingiine kweli ccm...
  16. M

    BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI - Spika, Waziri Mkuu wamuonya Kikwete

    Bana ebu kuweni serious bana hii ni kweli?
  17. M

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    mbona tumesikia kavuliwa kweli?
  18. M

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    kama ni kweli ninamshukuru mungu
  19. M

    Maandamano makubwa kumpongeza Jakaya Kikwete!

    Mnachekesha sana hamna kazi za kufanya? Simwokote makopo muuze? Eti maandamano ya kumpongeza nani? Kwanini? Kwa lipi? Acheni siasa ebu fanyeni kazi jengeni uchumi kama ni kulaani wezi na kuwafikisha mahakamnaii siku wanapanda karandinga tutaandamana kama idadi yao wote watapelekwa kisutu mahakamani
Back
Top Bottom