Search results

  1. Charles piere

    Nauza kiwanja bandari kavu kwala

    Kiwanja kipo karibu na mnada wa mifugo na bandari ya kwala Ukubwa mita 64 x70 Bei milioni 3.5 Contact 0678804442 Eneo ni langu sihitaji dalali
  2. Charles piere

    Kwa hii Biashara kuna kupata Pesa nyingi?

    Kwa kifupi biashara hii inalipa sn
  3. Charles piere

    Kwa hii Biashara kuna kupata Pesa nyingi?

    Mtaji kuanzia milioni 6 location sehemu yyt pkpk zinapopatikana kwa wingi.Aina ya spea za kuanza nazo inategemea eneo husika pkpk nyingi Ni zipi.Muhimu uwe na fundi mzuri
  4. Charles piere

    Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Yeah!madukani kariakoo,Tena Wala siende huwa naagiza kwa cm tu
  5. Charles piere

    Biashara yenye faida kubwa kwa mtaji wa Tsh milioni 15-20

    Fungua duka la spea za pikipiki kwa mtaji huo itakulipa sn.Kama utahitaji ushauri zaidi kuhusu biashara hii nitakupa maana ndo biashara yangu
  6. Charles piere

    Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    0674119007 sinoray na fekon 0719073004 Haojue
  7. Charles piere

    Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Nachukulia kkoo kwenye maduka ya sinoray,haojue na ht hon lg.Wana maduka yao pale kkoo ht ukitaka namba ntakupa
  8. Charles piere

    Mawazo ya kutoka kimaisha kwa mtaji mdogo

    Mi nilianza na mtaji milioni 4 tu lkn ss hv mtaji Ni M12+
  9. Charles piere

    Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Mi biashara nafanyia huku kibaha maporini kwenye mikaa.Wateja wangu wengi Ni wabeba mikaa kwa pkpk(Busta) spea wanazonunua Sana Ni original za haojue,sinoray na fekon.Na Bei zake sio mbaya sn ukinunua direct kutoka kwao.
  10. Charles piere

    Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

    Mi nilisomaga Uzi wa hii biashara humu humu nikaanza na mtaji wa milioni 6 mwaka 2018.Hii biashara Ni nzuri sn mpk ss imenisaidia nimejenga nyumba 2 mpk ss.Kwa changamoto yyt utakayopata unaweza kuuliza karibu
  11. Charles piere

    Nahitaji Compressor ya kujazia upepo

    Iwe aina ya shimge Iwe mpya Mtungi ujazo Lita 200 Iwe inatumia Umeme Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Charles piere

    Nahitaji Compressor ya kujazia upepo

    Iwe aina ya shimge Iwe mpya Mtungi ujazo Lita 200 Iwe inatumia Umeme Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Charles piere

    Ushauri wenu: Nimefikiria nimeona nirudi shule kusoma. Nisomee nini wakuu?

    Well said mkuu, mm pia Nilimaliza form 4 nikaamua kukimbizana na hela mtaani kwanza kwa miaka Kama 9 hv then nikaona nirudi shule.Nikaanza certificate in wildlife mngnt mwaka 1 then diploma miaka 2 tena chuo kizuri sn tu cha serikali lkn nimehangaika kutafuta ajira miaka 2 bila kupata.Nikaamua...
  14. Charles piere

    Nahitaji samsung galaxy note 3/4 fasta

    Kama unayo weka bei na picha nithaminishe. Niko Dsm Angalizo: Iwe OG sio clone.
  15. Charles piere

    Nauza smartphone bei chee 60,000/= tu

    Naweka mkuu malcom
  16. Charles piere

    Nauza smartphone bei chee 60,000/= tu

    mbagala sehem gani,nicheki kwenye hizo namba
  17. Charles piere

    Nauza smartphone bei chee 60,000/= tu

    tuwasiliane namba hiyo hapo nikuletee ss hv uko wp?
  18. Charles piere

    Nauza smartphone bei chee 60,000/= tu

    Ni samsung Galaxy pocket gt 5301 Ni used ila iko katika hali nzuri Haina tatizo lolote Chaji masaa 14 data ikiwa ON Mitandao yote ya kijamii unapata facebook,tweeter,whatsup,instagram,badoo,viber,skype n.k Niko Mbezi mwisho DSM Contact 0758293598/0674057335
  19. Charles piere

    Lg home theatre /very cheap

    Punguza haraka ss unauzaje bei kuweka bei?
Back
Top Bottom