I am a boy aged 28 years old. I am a graduate of BSc. Eco- tourism and Nature Conservation.
I am looking for a women who is ready to be a wife. The following is the qualifications for the lady am looking for;
I. She should posses at least diploma or degree.
II. She should be a christian
III...
Ujapona tu akili kijana? Tafuta mada zenye mashiko na sio kutupotezea muda wetu kusoma habari zisizo na mashiko. Nchi ina mambo mengi sana ya kujadili na sio propaganda.
Ujapona tu akili kijana? Tafuta mada zenye mashiko na sio kutupotezea muda wetu kusoma habari zisizo na mashiko. Nchi ina mambo mengi sana ya kujadili na sio propaganda.
Acha ukilaza wewe. Umejifanya kuwa mahakamae? Unapaswa kufahamu vyema siasa za Tanzania. Pia ni vyema ukatafakari vyema juu ya swala la Technology. Tuiache mahakama iamue na sio kuingilia uhuru wa mahaka.
Nawashauri watanzania wenzangu, vyo vya usalama pamoja na serikali kwa ujumla. Nnchi hii mnapotaka kuipeleka mtajuta. Nawashauri wote kwa pamoja turudishe mioyo yetu nyuma na kutafakari juu ya hatma ya taifa letu na vizazi vijavyo. Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Afrika.
Kijana uwe unaangalia post zako unazoweka hapa. Nahisi unatakiwa ukapimwe akili. Watanzania si mambumbu tena. Unataka tufumbie macho huo uozo unaoendelea? Kazi ya vyama vya upinzani ni kuikosoa, kuishauri na kuisimamia serikali. Na hicho ndicho kinachofanyika. Au ulitaka walale?
Kaka sijawahi kukwambia neno lolote la kejeli bt kwa hili umechemsha. Umaarufu hauji bure. Wewe ndie uce na uzalendo ndio maana ukatusaliti watanzania. Ebu muache raisi wetu wa baadae. Kipi ulichokifanya wewe hadi tukuone mzalendo. Namashaka na fikra zako.
Shule za kata na hata kusoma vyuo vya ndani sio kigezo au sifa ya mtu kuwa rais wa taifa hili. Jipange vizuri kaka. Nenda bagamoyo chuo cha uongozi ukajifunze siasa kwanza then ndo ujipange upya kwa safari yako ya kisiasa coz bado una mapungufu mengi sanaaaaaaaaaaaaaaa. Kufukuzwa kwako CDM...
Ni muda kidogo sasa kupitia vyombo mbalimbali vya habari tumeona au kusikia kile kinachoelezwa kuwa ni fedha zinazotumiwa na CCM ili kuvizoofisha vyama vya upinzani. Hii sio demokrasia hata kidogo. Nchi yoyote inayotaka maendeleo inahitaji kuwepo wapinzani imara kwani huisaidia serikali kwa...
Watanzaia jamani bado hamja elimika tu hadi leo? Hamuwajui ccm tu hadi leo? Kwa taarifa yenu fedha za walipa kodi wa taifa hili ndizo zinazotumiwa na ccm kueneza propaganda zisizo na ukweli wowote juu ya chadema na viongozi wake ili waweze kukibomoa chama hiki. Natoa hari kwa watanzania wote...
Aliyoyasema Nchamba Kibaha ni ishara tosha kwa uma kwamba CCM inakufa na hawana uwezo tena kuongoza nchi hii kwani wamefilisika fikra. Hawana maono tena. Watabaki kutaptapa tu kwani watanzania sasa tunajua mbivu na mbichi
Nchemba hujielewi. Ufisadi ndio unaokusumbua. Subiri uone kama hata wewe utarejea bungeni. CCM mumefilisika mlichobaki nacho ni ufisadi na propaganda tu. Hakuna atakae hama CDM na kuhamia kwa mafisadi. Labda kama hajitambui ila CDM na wabunge wake wote wanajitambua. Endeleeni kutumia fetda...
Mimi kama mtanzania mzalendo na mwenye mapenzi mema na nchi yangu, ninapendwa kujitokeza mbele ya wana JF na watanzania kwa ujumla kuliombe taifa langu na wale wote wanaopigania haki za wanyonge kama CDM inavyofanya. Siku za hivi karibuni kumekuwepo na baadhi ya vujana wa chadema wanaotumiwa na...
Mh ZITTO kwa hili umeonyesha kweli wewe ni mwadilifu na una uchungu na jinsi rasilimali za nchii hii zinavyotumiwa vibaya na baadhi ya vigogo wa nchi hii. Nipo nyuma yako kamanda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.