Search results

  1. audacious

    Tanzania Millenials Generation Challenges

    Tujadili kwa pamoja, Je ni changamoto zipi zinazokikabili kazazi cha millenials hususani kwa Tanzania? Millenials ni kizazi cha watu wote waliozaliwa Kuanzia miaka ya themanini mwanzoni kuja mpaka miaka ya elfu Mbili Mwanzoni. Hichi ndio kizazi kilichobobea na kujikita katika matumizi ya...
  2. audacious

    Fahamu zaidi kuhusu tatizo la kuvunjika uume (Penile fracture)

    Je, Unafahamu juu ya Tatizo la Kuvunjika Uume Kwa Kimombo Penile Fracture? Tatizo hili lipo na Mara Nyingi linapotokea humuacha Muhusika katika sintofahamu na Asijue Cha Kufanya Kutokana na Mazingira Ambayo tatizo hilo hutokea. Kwakawaida Penile Fracture ni dharura ya Kimatibabu na kwa Maelezo...
  3. audacious

    Looking for a Company in Cairo

    Wadau natumai mko poa.. Nimebahatika Kutembelea Cairo hapa Misri kwa Ma pharao's.Nipo mitaa ya Ramses hapa. Nina siku mbili katika Jiji hili la Waarabu kama kuna Mtz yuko hapa lets keep in touch. Akiwa mwanamke itapendeza Zaidi ,kama Rais ni Mwanamke lazima Tuheshimu Women Power.(Au nasema...
  4. audacious

    Ofisi nyingine wanawake wake ni majaribu matupu

    Leo nimefanikiwa Kutembelea ofisi Moja hapa Jijini.Kilichonifanya niandike ni kwamba hii sio kawaida. Nimekuta wanawake sita na Mwanaume mmoja. Kitu cha ajabu ni kwamba hawa wanawake wote ni wazuri wa kiwango cha Stiglers gauge. Ndugu msomaji sio wa kiwango cha kawaida. Kinachonifikirisha...
  5. audacious

    Huyu mwanamke anamsimamo mkali au?

    Twende kwenye mada bila kuwachosha, Sehemu ninayofanyia kazi kuna dada mmoja rafiki yangu sana, huwa tunataniana na tunaukaribu ule wa kirafiki, huwa tunashauriana baadhi ya mambo na tunafanya kazi kwa ukaribu sana kutokana na ukaribu wa vitengo vyetu. Hayo pamoja na mengine yamenifanya mimi...
  6. audacious

    Wanaume tuwe wa kweli kwa hawa tunaowaita 'wife material'

    Kuna kasumba ya baadhi ya wanaume kuwaaminisha au kuamini kwamba wife material ni mwanamke ambae muda wote amevaa nguo ndefu, mpole na mnyenyekevu, anapenda kushinda kanisani navitu kama hivyo. Ukweli ni kwamba baadhi ya wanaume tunapenda wanawake waongeaji, wachangamfu mwanamke ambae anaweza...
  7. audacious

    leo ni siku ya wajinga lakini hii sio fair....

    wakuu haya ni ya kweli yametokea leo asubuhi, kuna rafiki yangu mmoja anampenda sana msichana mmoja hivi..na amekuwa akimueleza lakini yule mschana amekuwa akimkatalia na kusisitiza eti waendelee kuwa marafiki,wamekuwa marafiki kwa mwaka mmoja sasa.sasa leo asubihi mida ya saa3 akanipigia cmu...
  8. audacious

    hellow

    hellow JFmembers
Back
Top Bottom