Search results

  1. muuza ugoro

    Tunauza na Kubandika WALLPAPERS

    Tunauza na kubandika wallpapers majumbani, ofisini, cafè, dukani, saloon, etc wallpaper zetu ni za materials za hali ya juu (grade 1) ngumu ambazo zinakaa miaka 8 na kuendelea. Tuna design nyingi na mafundi walio wazoefu kwa kazi ya kubandika bei ni nafuu mno mpaka tunashangaa unakosaj sasa...
  2. muuza ugoro

    New Suzuki swift nauza

    Kweli tatizo lipo. TATIZO HELA!!!
  3. muuza ugoro

    Behind the curtain: September 11

    Appreciate. So next ni sehem ya 4?
  4. muuza ugoro

    Behind the curtain: September 11

    Naandika neno nipate updates. Sehem ya 3 iko wapi wadau?
  5. muuza ugoro

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Nunua diagnosis machine ya magari. Kupima gari moja ni jati ya 50-60k. Sema unatakiwa kua mtaalam
  6. muuza ugoro

    Nyumba inapangishwa Goba Km 2 kutoka bagamoyo road

    No bei No contacts no payment terms No nothing
  7. muuza ugoro

    Tunauza na kubandika wallpapers

    Tunauza na kubandika wallpapers kwa bei poa mno. tupo Ubungo riverside size ni 10X0.5M bei ni tzs 45,000/- kwa roller Fundi na gundi ni 25,000/- kwa rolla moja whatsapp/sms/ 0715490570 au 0764969011 *wallpaper zinapendeza sana achana na kupaka paka rangi serious clients tuchati kwenye namba...
  8. muuza ugoro

    Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    "Foma fomaaaa" Foma limaooo, kwa usafi wa nguo zako!!
  9. muuza ugoro

    Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Nani anakumbuka kile kiclip kabla ya kipindi cha jiji letu ITV, kuna jamaa anajikuna
  10. muuza ugoro

    Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Buzz ni bomba, kuwa mjanja. Pata buzz Tritel..the better choice Vodacom: the people's voice, the peoples choice Celtel; making life better
  11. muuza ugoro

    Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

    Lile la bi Gladys wa OMO Kuna Bi. MWAJUMA yule Mzungu anasema "Omo ni nzuri sana, ahaaah..ni nzuri sana sana"
  12. muuza ugoro

    Azam tv dikoda na dish lake. used. 90k

    Nina king'amuzi cha azam tv kizima kila kitu sawa kasoro cable tu. Kipo ubungo Dsm. 0715490570 Bei 90k tu
  13. muuza ugoro

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Wakuu, leo wakati nawasha ka IST kangu kuna kelele (vibrating and rattling sound) ikawa inatoka mitaa ya dashboard upande wa dereva. Nikiweka gari ON (bila kuwasha) inapiga tena hizo kelele. Kufika mbele nikapaki nikazima gari nilivowasha zimeacha. Shida ni nini?
  14. muuza ugoro

    Bluetooth headset 35,000/-

    Huawei bluetooth headsets for making/receiving calls and playing music. Free your hands with this wireless devices when doing other things eg. Driving, cooking, typing etc. Brand new in a box just for 35,000/- Price negotiable Check me in 0715490570 Nipo Dar:D
  15. muuza ugoro

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Huawei Bluetooth headsets, tzs 35,000/- mpya kabisa. Ina connect aina zote za simu. Nipo Dar nicheki 0715490570
  16. muuza ugoro

    Natafuta kiwanja Arusha maeneo ya Ngongongale

    Dah...Ngongongare long time enzi izo mitaa ya Ngurdoto
  17. muuza ugoro

    Viti vinauzwa

    Ubungo, Dar
  18. muuza ugoro

    Viti vinauzwa

    namba...
Back
Top Bottom