Search results

  1. Manton

    Ajali za kufunga mwaka na kufungua mwaka uacha makovu makubwa ya moyo na nafsi kwa watoto.

    Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya...
  2. Manton

    Tusibaguane, sote tuliitwa watanganyika

    Tarehe 9 ya mwezi wa kumi na mbili, mwaka 1961, Tanganyika ijitwalia uhuru wake toka mikono mwa mwingereza, mlezi wa makoloni yalikuwa chini ya mjerumani baada ya kushindwa vita. Watu wote waliokutwa katika ardhi ya Tanganyika, siku ile ya kuishusha "Union Jack",na kuipeperusha bendera mpya ya...
  3. Manton

    Make children realize how beautiful and smart, they are!

    Being a parent is one of the greatest reward, that the Most High Creator presented freely, in this world. Since it is a gift then we should do our level best, to inspire and uplift our children, to make them laugh and be happy after realizing how beautiful and smart, they are. But, we may ask...
  4. Manton

    Kafanya vizuri kwa nafasi yake.

    Iwapo hujalizishwa na matokeo ya mwanao kimasomo na ungependa, afanye vizuri zaidi basi usipate shida. Tupe nafasi tuzungumze nae kupitia namba yetu hii 0756325414. Mungu akubariki. Tupo Dar es salaam.
  5. Manton

    Hakuna kifaranga bila jogoo!

    Kale katabia ka mtetea kujiona babu kubwa kisa kana taga yai, sasa ni wakati wa kukakumbusha kwamba yai lisilo na jogoo haliwezi kutotoleshwa kifaranga hata likae kwenye "incubator" siku mia elfu. Rai, mitetea heshimuni majogoo maana bila jogoo, mitetea isingeli kuwepo.
  6. Manton

    Msaada: Nahitaji kujua duka la kuuza na kununua lulu(akoya) kwa Dar es Salaam

    Salam kwenu, wakuu. Naomba kujua mahali ambapo naweza kuuza lulu aina ya "akoya" kwa Dar es salaam, duka lilipo, ili nipate kufika kufanya biashara. Naomba msaada wa anwani yao. Endapo kuna mtu anahitaji naye anaweza kununua.
  7. Manton

    Museveni na Kagame, heko!

    Hawa ni majemedari ambao wamehakikisha katika uwanja wa vita mpaka sasa hakuna kifo kwa mateka wao yoyote. Hakika kuishi kwingi kuona mengi. Acha watawale wanajua thamani ya roho za watu wao. Kagame amekomboa mateka 65 kati ya 143 bila matokeo ya kifo. Naye Museveni amekomboa mateka 20 kati ya...
  8. Manton

    Kama ukiweza bembeleza watoto walale

    Ukiona mtu anakwambia mtu yeyote asiwashe taa hata kama giza lina tisha watoto, wanalia wanataka kujua nini kilichomo katika giza hilo. Bado sauti inasema: hakuna kuwasha taa. Basi cha kufanya wabembelezeni watoto walale, kutapambazuka tu, wakati mtoa katazo akiwa bado kafumba macho. ONYO...
  9. Manton

    Lima Emilala: Jina la mwaka 2020 katika lugha ya Kihaya

    Nakusalimu katika lugha ya kiungwana sana,lugha asilia isiyo na chembe chembe za utumwa wala ubaguzi. 'Abawe naiwe mugumile?' maana yake 'wote hamjambo?' Jibu hivi; 'tugumile chwena!' yaani umejibu "sote hatujambo!" Baada ya salamu tuelekeze fikra zetu katika kichwa cha uzi huu, kisemacho...
  10. Manton

    Wahaya, wamebarikiwa sana kutunza elimu kubwa katika majina yao.

    Wahaya ni kikundi cha watu wenye akili sana wanaopatikana katika mwambao wa ziwa Rwelu (Victoria) Magharibi. Mbali na kusambaa kwao dunia kote katika harakati za kuongeza ujuzi na wigo mpana wa maarifa, wamefanikiwa kutunza elimu kubwa katika majina yao, kwa mfano: 1. TIBAIJUKA; liki maanisha...
  11. Manton

    Kifo kizuri ni kipi hasa? Maana nasikia watu wakiambiana alikufa /atakufa vibaya!

    Unawezaje kutofautisha kifo kizuri na kibaya? Hivi kuna kifo ambacho kinakosa muombelezaji hata mmoja, pale ambapo maelfu kwa maelfu wanapo kuwa wakifurahia kifo hicho, kwa kula na kunywa, na kucheza midundo kwa shangwe? Kwa maoni yangu hakuna uzuri au ubaya katika kifo chochote, kwa mtazamo wa...
  12. Manton

    Walimu wanatoa tuisheni za majumbani, Dar es salaam, pitia hapa!

    Hongera sana kwa kujitolea katika muda wako wa ziada kusaidia watoto wetu ambao ni mboni ya taifa letu siku za usoni. Niende moja kwa moja kwenye lengo mahususi la uzi huu. Nimekuwa nikipata maombi kutoka kwa baadhi ya wazazi wanaosomesha watoto wao shule za kimataifa zenye hadhi ya nyota tano...
  13. Manton

    Oa au kulewa na usiyempenda ili ufaidi raha za ndoa siyo na migogoro daima

    Nawasalimu katika upendo mkuu. Nia ya kuja na uzi huu, ni kutoa nasaha zangu kwa wale wote ambao wapo katika maandalizi ya kuwapata wenzi wao wa kusaidiana nao katika malezi na matunzo ya miji yao wakati wa uhai wao na hata baada ya uhai wao kutoeka. Kama nilivyoeleza katika fundo la uzi huu...
  14. Manton

    Automation inaua viungo vya democracy na kuirejesha autocracy kwa kasi ya ajabu.

    Nawasalimu sana wananchi wote mlio hai, hata kama mna matatizo ila mshukuru sana kwa kuwa bado mna pumua, na mnao ufahamu wa kuyajua yaliyopita, yaliyopo, na yajayo, hapo mlipo bila bughudha. Nimeona vyema nitoe maoni yangu juu ya jambo hili linalo endelea duniani kote, kwa mtu mmoja kuwa na...
  15. Manton

    Watendaji wa Magufuli; acheni kuwanyanyasa wakulima wa kahawa, Misenyi- Kagera.

    Heshima yenu wakuu! Nimeshindwa kuelewa kiwango cha weledi wanaotumia baadhi ya hawa watendaji wa serikali ya tano ya awamu yenye falsafa tasa ya 'hapa kazi tu' ya mheshimiwa Magufuli, rais wa nchi ya Watanzania. Nasema hivi kutokana na manyanyaso wanayoendelea kuyapata wakulima wa kahawa huko...
  16. Manton

    Tujenge uwakilishi wa mtandaoni ili kupunguza gharama za kuendesha nchi.

    Nawasalimu ndugu zangu. Kama nilivyodokeza katika kichwa uzi huu. Napenda kuwashauri wananchi wenzangu kwamba tunaweza kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa gharama za uendeshaji wa serikali katika nchi yetu kwa kuimarisha uwakilishi wa mitandaoni ambapo kila mtu atakuwa huru...
  17. Manton

    Bora kuchapiwa na dume kuliko jike.

    Nimeshangazwa na taarifa za mwanaume kumuua mwanaume aliyemkuta akimgegeda mke wake huko Geita. Poleni wote mlio fedheheshwa na taarifa hiyo. Nirejee kwenye kiini cha uzi huu, naona ni bora watu wa jinsi mbili wakipeana uroda kuliko kumuona mke au mme na rafiki yake kufa na kuzikana wakivua...
  18. Manton

    Wanawake na wadada kuliwa na mafundi ni halali kabisa

    Nakusalimu kwa nguvu ya mwangaza kutoka usawa wa bahari kuu, ya miujiza, na manuizo ya miliki yetu kuu ya kifalme, ewe msomaji wangu. Pamekuwepo manung'uniko mengi miongoni mwa nafsi za wanadamu juu vitendo vinavyofanyika juu ya mkeka wa fundi mtoa tiba za jadi, kwamba vina udhalilisha utu wa...
  19. Manton

    Tuwape eneo wajenge bandari yao tuue zetu?

    Ndugu zangu wazalendo, kama swali lilivyoundwa, je, ni sawa kuwa kubalia ndugu zetu wa damu rafiki (Wachina) wajenge bandari kubwa kuliko zote Afrika, na kuimiliki kwa miaka kati 33 mpaka 99 bila kuwa bughudhi uko Bwagamoyo ' Bagomoyo, halafu tuue utendaji wa bandari zetu kongwe, Tanga , Dar es...
  20. Manton

    Misemo hii: umaanisha nini?

    Natumaini hali ya leo ni njema sana. Naomba kuongezewa ufahamu juu ya maana ya misemo hii: 'Usinchoshe nsikuchoshe... kwani sh. ngapi?' na wa, 'Sakata! Msaka tonge!' Pale inapotumiwa na wadada kimjini mjini wanapohisi kutongozwa, mathalani.
Back
Top Bottom