Search results

  1. silvemaps

    Juma Nature ajitoa UKAWA na kurudi CCM kwa Magufuli

    Acha kudanganya watu, toka lini lowasa anatumia wasanii jukwaani...wanaofanya matamasha Ni ccm siyo ukawa..ukawa wapi bize na kampeni siyo matamasha
  2. silvemaps

    Acheni ushabiki mtakuja kuuza nchi

    Kama Ni kutishwa kuhusu kuuza nchi tulishatishwa Sana,na bado yupo, sasa niwaambie labda ccm mmejisahau hii nchi ilishauzwa simu nyingi Sana toka 1995 kupitia ubinafshaji...ndo maana wazungu wanajichimbia Tu madini kiholela..hapa tunataka kurejeshewa nchi,usitufanye wapumbavu..tuwache na ulofa...
  3. silvemaps

    Tafiti mpya zambeba Dr. John Pombe Magufuli Urais

    Kama uliishia lasaba usikurupuke na kuandika maneno utafiti humu maana unakuwa hujui ulichotamka...utafiti ni process ya ku assimilate reality na huwa inatumia sample na data,siyo propaganda ,kwa hiyo wewe na ngumbaro yako mimi Kama msomi nakuzuwia usilitumie hilo neno Tena maana hulijui.
  4. silvemaps

    Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA Edward Lowassa, akiwa kwenye daladala leo asubuhi

    Wacha ujinga wewe hao wanaotoa ahadi hewa mbona hawakuzifanya wakati wakiwa mawaziri,kwa sababu umesoma na pesa za ruzuku za ccm unataka wote wafuate ujinga wako
  5. silvemaps

    Mhariri Mtanzania: Kwa siasa za shari, CHADEMA kinajifuta; marehemu alikuwa akiifanyia kazi CHADEMA

    Wewe mhariri ni Mbwa uliokosa malezi.na ninyi wahariri mbwa kama ninyi sijui anaye waajiri nani. Mnafanana sana na vyombo vya habari vya rwanda kabla ya vita 1994. Wewe ukinyimwa pesa ndiyo unatumia kalamu kuwakilisha blast fermmy humu kwenye blog. Kama usalama wa taifa unafanya kazi mkamateni...
  6. silvemaps

    CHADEMA wamjibu Dk. Nchimbi, wagoma kuhojiwa na Polisi

    Huu utawala wa kikwete kama ule wa kaizari vile,hata ukiona hatari haugopi,hata ukioneshwa maono kama farao wala hauoni,sijui ufanyweje.na walaaniwe viongozi wote wa tanzania wanaowahadaa wananchi kuwa wanafanya kazi kwa maslahi ya uma kumbe ni kwa familia zao.na ulaaniwe wewe efraim kibonde na...
  7. silvemaps

    Mgomo wa Wasafirishaji Mji wa Moshi: Siasa za CHADEMA vs CCM

    lazima CCM ICHINJWE 2015 HATA WAKILETA VURUGU,MAMEMCHINJA MWENYEKITI ARUMERU SASA WANALETA BIFU ZA KIJINGA SI WAHAME HICHO CHAMA KWANI LAZIMA KUWA CCM? CHAMA CHA MAFISADI HICHO JAMANI HAMUONI KAMA MMELAANIWA?
  8. silvemaps

    Serekali yakacha taarifa kuhusu mgomo wa madaktari

    Viva tanzania,viva forever ,madaktari hakuna kulala mpaka kieleweke.mnatakiwa kurizaini wote ili serekali ijue mbunge na dactari muhimu ni daktari.haki sawa kwa wote.
  9. silvemaps

    Serekali yakacha taarifa kuhusu mgomo wa madaktari

    ukombozi wa kuitoa nchi mikononi wa mafisadi/mafarao unakaribia ,VIA TANZANIA,CCM itakufa kifo cha aibu na haitarudi tena madarakani,HAKUNA CHAMA KILICHOLETEA NCHI UHURU KILICHOFANIKIWA KUIONDOLEA NCHI UMASKINI
  10. silvemaps

    Mwigulu Nchemba: Mbowe anamlipia mtoto wake chekechea tu dola 15.000 kwa mwaka

    hivi kuna viongozi wa ccm ili wapande jukwaani ni lazima wavute bange?maana hii speech ya mshikaji kama ya mtu hamnazo hivi!ukilipwa pesa bungeni unauamuzi wa kuutimia unavyotaka.mbowe kaamua kumlipia mtoto wake ada yeye kama anazihonga powa tu.CCM acheni kuargue totology stupid
  11. silvemaps

    Je Prof. Shivji ni Mtanzania?

    Pumbafu,nyie mnatakiwa kufungwa milele ndiyo mnatuharibia hali ya hewa
  12. silvemaps

    Je Prof. Shivji ni Mtanzania?

    wacha kabila wako hapo,nyie ndiyo mnaleta vurugu kule zanzibar,inakusaidia nini kuuliza ni mtanzania,wewe ni uhamiaji,wacha hizo,kama huna hoja hapa sepelezea
  13. silvemaps

    Mbowe atakiwa kuachana na siasa kabla ya 2015

    unajua kuna watu humu jamvini sijui wanafikiria na makalio? hilo la CHADEMA KUchukua nchi mbona lipo waaaazi.mimi mwenyewe mwanaccm nimekitafakari chama kwa undani naona kimekata netework.Ona mikutano ya nape kama ya kijiji.watu mia hamsini wakizidi saaana 300 huoni wananchi weshachoka au kwa...
  14. silvemaps

    Gazeti Al-Nuur lifungiwe

    nasema hivi siyo tu lifungiwe na viongozi wake wakamatwe na kuchapwa hadharani viboko visivyopungua mia moja,
  15. silvemaps

    Vua Gamba Vaa Gwanda Yapata Dhoruba Lindi

    unajua CCM wameajiri wakina nape wengi sana humu jamvini so members kuweni makini,ili msipate shida.
  16. silvemaps

    Urais CHADEMA it's like a death sentence!

    wasaidizi wa ghadafi hata walipoona utawala unazama waliendelea kujitia moyo mpaka walipoanguka puuuu. si ccm endeleeni kujitia moyo.mimi ni msukuma nipo magu cdm ipo juuu sana wala hakun uchaga hapo
  17. silvemaps

    John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

    jamani waswahili weshasema kunguru hafugiki.
  18. silvemaps

    STARTV: Maamuzi ya NEC-CCM kuelekea 2015

    alutah continuer
  19. silvemaps

    STARTV: Maamuzi ya NEC-CCM kuelekea 2015

    nape kaeni mkao wa kula chadema na sisi tutakuja na sera mpya za mavyuoni.msipige kelele maana nyie mmeanza sisi tunamalizia
Back
Top Bottom