Search results

  1. Monsgnor

    Naomba msaada hii ni ishara ya tatizo gani?

    Habari zenu wakuu, Jana nilikua safari kutoka Mwanza kwenda Arusha na gari dogo, Toyota Voltz njiani gari iligoma kutembe speed ya Km 80 kwa saa hata ukanyage mafuta vipi, kwenye mteremko ndio lilikua linaenda mpaka km 100 ukianza mpando zinashuka kati ya 70 na 80 pia nilikua nikisimama sehemu...
  2. Monsgnor

    Arusha wapi inapatikana live band?

    Wapenda burudani wa Arusha, nina kaugonjwa ka live band, kiwanja gani inapatikana
  3. Monsgnor

    Just a female friend

    Natafuta rafiki wa kike umri 20 to 26, wa kuchati tu, mambo mengine yatakuwa controlled na destin, just pm if you are interested
  4. Monsgnor

    Jamani Msaada kwa Anae ujua wimbo huu

    Jamani mwenye kujua jina la huu wimbo au kama unao unaweza kunitupia hapa,umeimbwa na mkenya. Lyrics zake ni hivi! Nilikuwa na mpenzi wangu, Tulipendana Kama nyama Choma, alibahatika kwenda ng'ambo, chuo kikuu kwenda kusoma, miaka mitatu kule Japan kusomea udaktari....., Sent from my...
  5. Monsgnor

    Eee Tanzania Nchi yangu wewe Pekee bila kupigiwa kura ni Ajabu la Dunia Tayari, Lakini bado Nakupend

    Wenzako wanasonga mbele, wewe unarudi Nyuma.....Inaniuma sana na sina budi kuliandika hili, umoja ni nguvu utengano ni dhaifu, kamba ya katani iliyosokotwa kwa nyuzi mbili au tatu na kuwa kamba moja ni ngumu kuliko nyuzi mbili au tatu zilizo shikwa na kishungi kimoja!Ingawa bado ni rasimu tu ya...
  6. Monsgnor

    Video ya me & u ommy dimples vs vanessa mhhh!!!!!!???

    Napenda kuanza kwa kunukuu maneno ya Afande sele ndani ya wimbo wa MTAZAMO. "HUU NI MTAZAMO MASELA MSIJENGE CHUKI" Nimetoka kuangalia video ya wimbo ninaoupenda sana wa "me and u" ulioimbwa na ommy dimples Honestly nimekereka na umenibore hii ni kiroho safi kabisaaaaa ni kwa sababu nilichokuwa...
  7. Monsgnor

    Natafuta wimbo wa Tanzania ulioimbwa na Watanzania wenye asili ya kihindi

    Salamu wakubwa, nilikuwa nauliza kwa aneweza kunisaidia kuupata wimbo wa tanzania umeimbwa na wahindi ni wa kitambo kidogo, mbaya zaidi siujui hata jina lake, tbc taifa ndio wanaoupiga mara nyingi! Mistari yake michache ni kama ifutavyo. Tanzania tanzania tanzaniaaaa tazama...
  8. Monsgnor

    MUONGOZO JAMANI au KUHUSU UTARATIBU

    Mimi ni mpya humu chit chat, nauliza kuhusu utaratibu....nini hasa kinafanyika huku, isije kuwa watu wana cheza disco humu mimi nikaanza maombi! Nawasilisha Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Back
Top Bottom