Search results

  1. Monsgnor

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Kwamba kazi ya mhasibu ni kuandaa taarifa pekee?
  2. Monsgnor

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Jitungie na wewe yako mkuu, huyo anaejitambulisha CPA wengine tunamtambua na tunaelewa nini anamaanisha.
  3. Monsgnor

    Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

    Hebu fanya utafiti kwanza, na ka hujui uliza...ila usibishe vitu usivyovijua. Aliekwambia Kenya CPA haitumiki nani?
  4. Monsgnor

    Ni kweli Vatican wanakataa kumpa Uaskofu Padri Kitima baada ya kupata tetesi anataka kugombea ubunge kupitia CHADEMA?

    Kila anachokiongea Fr. Kitima kina baraka za kanisa na ndio maana mpaka sasa bado ni katibu mkuu wa TEC.
  5. Monsgnor

    Je, Wajua Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu? Ili Kuepuka Kuchanganya Dini na Siasa, Kuna Haja Waumini Tuambiwe Ukweli Waraka wa TEC Sio Neno la Mungu?

    Mkuu kwa kukusaidia tu kama kweli wewe ni mkristo mkatoliki, nenda kajiulize nini maana ya neno la Mungu, ni mamlaka gani wanapewa makasisi wa kikatoliki pale wanapopakwa mafuta, ni mlaka gani tunapewa waumini pale tunapopakwa mafuta katika sakramenti ya kipaimara. Kisheria katoliki kwenye canon...
  6. Monsgnor

    Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

    Ndugu mchumi, nadhani hili sio eneo lako, hapa waachia CPA's. FS ni mjumuiko wa mapato na matumizi sehemu inayozaa faida au hasara, kuna sehemu ya Mtaji, Mali na madeni pia kuna sehemu ya mzunguko wa fedha( Cashflow)...Jifunze kwanza hivyo ukimaliza urudi.
  7. Monsgnor

    Mohamed Ali, alipowaadhibu waliokataa kumuita Mohamed Ali

    The Godfather of harlem ina kastory flani hivi kanahusiana na hii.
  8. Monsgnor

    Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

    JF imekua ya kipuuzi sana siku hizi, watu wameigeuza fb, majukwaa tuliyokua tunapata taarifa serious na reliable siku hizi yamejaa story za kizushi hazina logic, hazina ushahidi. Unazungumzia kubadili uwanja huoneshi kanuni zinavyosema, unahusisha mambo ya Jezi huoanishi na kanuni. Na watu...
  9. Monsgnor

    TAKUKURU yamkamata kwa Mahojiano Taalib Karim Mbowe

    Takukuru inahusika vipi na ukwepaji kodi? Mbona sheria za TRA zimejitosheleza na zina mamlaka kamili ya kupiga fine na kushtaki.....Takukuru na kutakatisha fedha? Hivi takukukuru ni Taasissi ya kuzuia na kupambana na Rushwa? Hivi kutakatisha fedha ni rushwa?......mie sijui kwakweli.
  10. Monsgnor

    Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

    Unajua hata maana ya mkataba? Unajua hata kitendo cha kujiandaa kutoka ghana kinaweza kua ushahidi wa makubaliano, au wewe una deal tu na makaratasi...
  11. Monsgnor

    Uchaguzi 2020 Tuache kutetea Ujinga: Kubadili maneno ya wimbo wa Taifa na kuweka uvyama siyo sahihi

    Hata mimi napinga, lakini siku ukianza kupinga magari ya Serikali kuwekewa private namba na kutumiwa na Chama, wafungwa kupandisha bendera za chama, wafanyakazi wa umma wanaomlinda rais kuvalishwa sare za chama, na mgombea wa chama kutokupewa ulinzi wa umma na kutambulika kama raisi mteule kabla...
  12. Monsgnor

    Kiitifaki: Hutakiwi Kuingia kwenye Shughuli Rais alipo, baada ya Rais kuingia

    Mbowe alianguka akasingizia kavamiwa.......leo wamejichelewesha wakasingizia wamezuiwa....... Sugu kasema ukweli baadae kasingizia amedukuliwa....... Hivi hamuoni kiki zenu zinabuma, kwa nini mnaendelea nazo?? Hivi kiki ya kwanza ina buma unashindwa kuongeza akili kidogo kwenye kiki ya...
  13. Monsgnor

    Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

    District Education officer. Afisa Elimu wa wilaya. Mkurugenzi wa wilaya DED, huyu alietumbuliwa ni CED.
  14. Monsgnor

    Lowassa wakati akigombea Urais hata siku moja hakuwahi kuvidhalilisha vyombo vya usalama! Unadhani ni kwanini

    Wewe aliekwambia vyombo vya usalama kazi yake ni kutokutukanwa nani? Hebu kila mtu atimize majukumu yake. Vyama vya siasa na wanasiasa wafanye siasa zao, watendaji wanataaluma wafanye kazi zao, na vyombo vya usalama vifanye kazi zao. Halafu mbaya zaidi hayo unayoita matusi ni tuhuma za wao...
  15. Monsgnor

    Agenda 21 na covid-19 siri kubwa

    Billi and Melinda gates foundation zimeweka sera ya mtoto mmoja China? Unajua huo mfuko umeanza lini na hiyo Sera ya China ineanza lini? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Monsgnor

    Rais Magufuli akagua Ubungo Interchange

    Wakija wapi? Wewe usiepinga ni CCM? Hebu msitunyime uhuru wa kusapotin au ku challenge kwa kutubatiza U CHADEMA na UCCM. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Monsgnor

    Mbunge James Ole Milya atoa neno kwa Watanzania

    Hivi kuna mtu anaweza kuomba rushwa kwa msg enzi hizi? Something is wrong somewhere aisee! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom