Search results

  1. K

    Bajaj inauzwa shs mil 2 tu

    Bajaj 2 stroke inauzwaa imetumika lkn ipo ktk hali nzuri rangi yake ni blue,kwa mwenye kuhitaji tuwasiliane haraka namba 0715 751515 au 0713 705360
  2. K

    Catering services katika shughuli zote

    Je unatafuta watu wa kukuandalia katika shughuli yako?..Unatafuta chakula kitamu lakini hujui wapi pa kuanzia? ...Kwa mahitaji ya huduma ya vyakula,vinywaji katika shughuli mabalimbali kama Harusi, Send Off, Kitchen Party,Komunio, Msiba, Ubatizo n.k....tena kwa bei nzuri ambayo itakidhi uwezo...
  3. K

    Scholarship available to study in uk

    If you want to study in UK, Staff from the university of ULSTER(London and Birmingham branch campuses) are holding student interviews and counselling sessions at LOCUS INTERNATIONALS Dar es salaam offices..IF YOU ARE INTERESTED FOR SEPTEMBER 2013 INTAKE Just book your place today...We are at...
  4. K

    Radio inauzwaa

  5. K

    Radio inauzwaa

    nataka kujua radio yenyewe ina tuning ya digital au analog(kama zilivyo za radio za zamani) na vilevile tujuze frequency range yake tafadhali Radio tuning ni digital,pia freq ni mpk 108.
  6. K

    Radio inauzwaa

    Radio ndogo aina ya SAST ambayo ni portable ina uwezo wa kutumia flash,pia ina FM.. Uwezo wake wa sauti ni mkubwa kwani ina Hifi pia haina haja ya kutumia umeme kwani unaweza kuichaji km simu na kuitumia si chini ya siku tatu..nI YA KISASA MPYA KABISAA Bei ni tsh 45,000. for serious business ni PM.
  7. K

    Protect & recover your phone or computer now!!!!!

    Tangaza Marketing Solutions(TMS): Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions. Pia ni wakala wa Renew Earth Technology(RET) kwa ajili ya kutoa huduma ya ulinzi wa simu na computer aina zote(desktops and Laptops) pindi itakapoibiwa au kupotea na kuweza kuipata na kurudisha...
  8. K

    Linda simu yako & computer yako sasaaaa!!!

    Tangaza Marketing Solutions(TMS): Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions: Pia ni wakala wa Renew Earth Technology(RET) kwa ajili ya kutoa huduma ya ulinzi wa simu na computer aina zote(desktops and Laptops) pindi itakapoibiwa au kupotea na kuweza kuipata na urudisha...
  9. K

    "Mwambie mwenyewe......

    mi ningewambia mshkaji nazingua bwana nilijua fika km hiki ndo kifaa chako...ningemsifia umepata kifaa kina msimamo...halaf najichekesha chekesha.
  10. K

    Lipumba ashindwa kuficha hisia

    Mtu akiamua kutafuta suluhu ya jambo kwani lazima awe mwanzilishi wa hilo tatizo? mbona mnakuwa hamuwezi hata kufikiria,wakati mwalimu nyerere alipokuwa akitatafuta suluhu ya mambo mbalimbali je yeye ndo alikuwa source? kikwete alipokwenda kuongea na viongozi wa kenya kumaliza mgogoro what push...
  11. K

    kanuni ya kujiajiri ni kutumia fursa ya matatizo ya watu na GAP ya ufahamu wako na wengine!

    Strength ni kitu chochote unachoweza kukifanya katika perfomance ya juu iwe ni ujuzi,kipaji au kazi ukilingalinisha na wengine katika kitu hicho hicho..mara nyingi utaijua strength yako kwa kulinganisha na maeneo mengine unayoweza kufanya.
  12. K

    Kwa Wale Wajasiriamali na Wafanyabiashara

    Mkuu lakini sidhani kama kuna makosa iwapo baadhi ya watu wamejitolea kuacha ishu zingine na kutusaidia kusajili,ukichukulia wafanyabiashara wengi tunakuwa bize na utaratibu za usajili ni time consuming, let them do ndo mana wenzenu wanaendelea hivyo hivyo kwa kugawana kazi huwezi kufanya kila...
  13. K

    Wito kwa wafanya biashara!

    Mkuu mbona uelezi ni wapi? ni lini itafanyika? taarifa inaonekana bado haijakamilika..
  14. K

    The Top 7 Mistakes New Employees Make

    Asante mkuu safi kwa kutoa elimu mana wengine wanajua ndo uzungu huo..
  15. K

    Mhitimu Shahada ya Usimamizi wa Biashara katika Ujasiriamali. Nianzie wapi kujiajiri?

    Mi ninachoona cha muhimu mhusika aangalie utaalamu alonao na anataka kufanya nini, kitu gani amekosa? manake mtaji nao inabidi ujue unataka kutumia wapi, mana kuna watu wana mitaji lakini hawajui wafanye biashara ya aina gani...FIKIRIA tena unapenda kufanya kitu gani alafu unahitaji kubustiwa...
  16. K

    Ajali tu

    Huyo dada hakutegemea kama kitu kitajaa golini fasta.
  17. K

    Battery acid za jumla

    Tunauza betri acid za jumla kwa bei nzuri tu, tena tunaweza kukuletea mpaka mlangoni kwako, haya maji ya betri, distilled water na coolant za kwenye magari. Maji ya betri yenye kiwango cha gravity 1280 bei y jumla ni 23,000 kwa carton na kadri unavyochukua carton nyingi bei inapungua...Karibuni...
Back
Top Bottom