Search results

  1. J

    Ndoa: Nimevipata vyote isipokuwa hiki tu

    wamekupa msaada wa kiimani.. tayar.. lakini hebu jaribu hili kwa ajir yako.. jaribu kuomba likizo ya kama mwezi hv.. ukatafakar kwa kina ushaur ulopewa hapa.. nenda mbali na usiwe na simu.. uko ukatengeneze marafiki wapya then.. ukirud utakuwa umekusanya nguvu mpya za kushikiria ndoa yako.
  2. J

    Ajira Utumishi - Recruitment portal

    wakuu mbona leo nimeingia kwenye website yao hakuna application on line yaan hakuna vacancy kwa sasa na wakati kuna tangazo lao la 6/05 na mwsho wa kutuma n 20/05..
  3. J

    Housegirl kanichanganya sana!

    huyo hg kwel hamnazo.
  4. J

    Usimshirikishe sana mwanamke wako kwenye mambo yako ya pesa

    kumshiriksha au kutomshirikisha inategemea aina ya mwanamke maana wengine ukiwambia umepata vimilion kadhaa na unafikiria kutafuta kakiwanja yeye anafikiria kununua nguo 'nipe kabisa laki mbili zangu nashida nazo' na hapo bila kumpa ugomvi hauishi
  5. J

    Wahitimu wa Tanzania hamuajiriki

    hv huyu faizafix n raia wa wap..? kama n mtanzania huna haki ya kudharau elimu yetu kiasi hiki! kisa kujua kuandika aina ya vibarua.. wapo wanaojua zaid yako hawaongei.. mi natamani npate chance ya kuasses uwezo wako someday..
  6. J

    Wahitimu wa Tanzania hamuajiriki

    dah.. hv n barua ya aina gan ntakayoshndwa kuandika.. labda barua ambayo sijawh kuisikia wala kuiona lakn ntahtaj maelezo tu ya msing naandika.. tatizo mtanzania akijua kitu bas atadharau sana wenzie kwamba hawajui.. zc z bu*sht
  7. J

    Makundi yaenda kimya kimya usiku kwa Lowassa

    wengi wanamtaka lowasa awe rais ..mm hatopata kula yangu..
  8. J

    Wadada wenye vitambi wanaboa

    wanawake wenye vitambi ni wezi!!
  9. J

    Planning and Policy Officer

    nafasi si ishapata mtu hii.. maana ikijatangazwa ina mtu tayar
  10. J

    Sijisikii kumpenda tena, lakini namuonea huruma kumwacha

    kamwe usimwache mwanamke anayekupenda.. hautokuja kumpata kama hyo wa kukupenda hvyo maisha yako yote.. n bora zaid kupendwa kuliko kupenda usipopendwa.. umesema anajiheshmu sana.. ndo kigezo kikubwa cha mwanamke bora.. utakuja kumbuka maneno haya nayokwambia..
  11. J

    Nimekutana nae tena binti aliyenisaliti

    hakuna kosa kubwa maishan mwako kama kumrudia mwanamke aliyekusaliti mbaya zaid ushaingia kwenye ndoa.. Mungu akusamehe bro
  12. J

    Wahitimu wa Tanzania hamuajiriki

    m ni mwitimu wa chuo kimoja hapa mchini kwetu.. nachoweza sema training tu mhitimu akipewa na organzation yoyote anapiga kazi.. hawa watu ni wahitimu kweli kweli na wana elimu, ila maisha yetu tu hapa nchini n stresfull sana.. ndo maana unaonekana haujui, umechanganyikiwa nk. wapen kaz wawe kama...
  13. J

    Kimenuka: Baraza la Wakulima Tanzania lawajia juu ACT-Tanzania

    dah.. tanzania eeh.. nchi yangu eeh!
  14. J

    Mwanamke na kufika kileleni

    mwanamke kufika kileleni.. ni siasa tu hakuna kitu kama hicho..
  15. J

    Akimtongoza msichana baadae anamuona wakawaida nini sababu?

    Mimi pia huwa ni mvivu sana wa kuomba mchezo mwanamke akshakubali,ile nakuwa kama najuta kumfata,but nikshamzoea oooohoh.!
  16. J

    Nimeamua kutembea na binti wa Kazi, sina jinsi

    uko nje unaogopa ukimwi.. kwan housegirl hawez kuwa na ukimwi?
  17. J

    Wanawake wengine hawajui kusamehe

    mume:naomba nsamehe mkewangu!! mke:kwa ulichonifanyia kamwe sitokusamehe..! na hapo ndo kamaansha hapo.. POLE YETU WANAMUME
  18. J

    Natamani kuolewa na mzungu!!!!!!!!!!!!!

    mi pia mzungu lakini mweusi.? njoo kwangu tafadhari.
Back
Top Bottom