Mkuu nadhani haukuja kibiashara. Unapoamua kujitangaza maana yake unataka ujulikane kwa wateja, sasa unapoanza mara tukutembelee wenyewe ofisini wakati kuna kampuni zingine wanatembeza sample zao kusaka wateja sijui una maana gani. Zama hizi za ushindani ni bora kuwa wazi au uendane na maombi ya...
Shukrani mkuu, nitafata ushauri wako. Hata hivyo tatizo linaloambatana na la kuwahi ni lile la kutosimamisha tena au kusimamisha kwa shida baada ya awamu ya kwanza.
Mkuu asante kwa taarifa hii. Sasa Dr. Ndodi anapatikana wapi? Je yupo hapa DSM? Unaweza kunipatia mawasiliano ya simu yake nimtwangie? Nitashukuru sana
Mkuu sasa kurudia tena masturbation si ndiyo nitaharibu zaidi? Hakuna dawa ya kutumia kwa haraka?
Kuna mtu (kwa jina la KULWA) aliwahi kueleza kuwa ana tatizo kama hili wakamshauri atumie CIALIS TADALAFIL kwamba inatibu mapema sana, nimemwandikia email lakini hakunijibu na bahati mbaya hata post...
Heshima kwenu wakuu. Najitokeza hapa ili kueleza tatizo langu nikitumaini nitasaidiwa njia za kukabiliana nalo na kulimaliza.
Ni kwamba nilisoma shule za wavulana tangu kidato cha 1-6 na kutokana na presha ya makundi tukawa tunaelezana kwamba kwa kuwa hatukuwa na wasichana basi mtu akijisikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.