Search results

  1. J

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Wajinga ndo waliwao, shuwaini!
  2. J

    Ni ujinga

    Ni ujinga kuwonea wivu uliopitiliza mpenzio.
  3. J

    Unajua ukitaka kuoa maandalizi yakoje?

    Chaa kushangaza baada ya gharama zote hizo eti sadaka 10,000/=
  4. J

    King'amuzi cha Zuku

    Si mumjibu huyo jamaa swali lake asaidike, halafu muanzishe thread mpya yenye kutaka kuelezea hizo tofauti?
  5. J

    Msichana wa marketing anaitajika

    Mueleze! Maana siku hizi matapeli wengi hapa mjini.
  6. J

    Nafasi ya kazi na ajira ya kudumu.

    Kwahiyo kampuni yenu imejikita zaidi katika nini?
  7. J

    Hatimaye Mr Bean atangaza kuachana na uigizaji

    Majuto za king ni noma bana kwa hapa bongo kwetu.
  8. J

    Wanawake hupendelea zawadi gani?

    Wengine huweka zawadi katika ranks, unampa zawa5i anaitamanisha na pesa kwanza,...wanawake wa leo.
  9. J

    Unachukia or unampenda Diamond 'Platinumz'? Hii inakuhusu

    Talking of AY, namkubali kimataifa, anahit kimataifa na kijamii ana heshima zake, hana skendo. Inabidi wasanii wa bongo kuiga huo mfano.
  10. J

    ovyooo!!!

    Sijui siku hizi Tanesco kuna kitengo cha kuharibu vyombo vya umeme kwa makusudi, huku Mwananyamala imekuwa kawaida kwamba lazima umeme uzimwe na kuwashwa mara kadhaa tena interval ya zima-washa ni sekunde tu!!! Ovyooo!!!
  11. J

    Woman caught smuggling cocaine in fake breasts

    People are enslaved to that extent!! What's all that trouble for? Surgery for drugs' sake, what a idiot addiction!
  12. J

    Sheria za ndoa!

    Kwani ulikuwa hujuo hadi unafunga ndoa au???????
  13. J

    Mke kuzaa nje ya ndoa

    Nia yako ni nini? Kama kumtaliki fanya hivyo kama sivyo usimtaliki maana ukiwa na nia ya kumtaliki na unasita sababu ya nyumba au mali basi mtaishi ila hamtakuwa na a$ani kabisa!!! Kama linavumilika na historia inaonesha hakuwa na tabia mbaya msamehe muendelee yeye ni binadamu, ila kama...
  14. J

    Anti-virus

    Wadau heshima zenu. Ninatatizwa hapa, nilipewa na mtu protection inaitwa e-scan ila akanambia hakuwa na updates kwa muda huo. Nilikuja ku-install, nikajaribu ku-register ikaleta error fulani na kila nilipoingiza keys kwa mara nyingine ikawa inanmbia registration keys already valid. Nafanyaje...
Back
Top Bottom