1. Muasisi wa mgombea Binafsi
2. Muasisi wa Utanganyika
3. Ma********* lazima waende
4. Shujaa shupavu asiyeogopa lolote
BIG UP Rev. Christopher Mtikila.
Ee Mungu watie nguvu makamanda wetu, ukombozi utimie mapema, wananchi twateseka sana na haya maisha.
Teketeza ma-ccm yote, yametutesa sana, alafu mungu, saidia zile kura 71 zipatikane leo jioni.
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeees!
Poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
Please update me, what is the minimum time for a member in CDM, is supposed to be a 'live and active' member before he is allowed to contest for any position? be it MP or Party's
Nguvu kazi, kila mwenye uwezo wa kufanya kazi ni lazima afanye kazi.
''Wajibu wa kila Mtanzania, kila familia na kila anayekula ni kujilisha mwenyewe. Si wajibu wa Taifa kumlisha mtu. Unaweza ukasaidiwa unapopatikana na janga. Lakini kama hakuna janga ni wajibu wa kila mtu aweze kujitosheleza...
.
Duh! Ngoja nikalale.
Wao wanafikiria kushindwa ni jambo jepesi kihivyo. Walizoea kutupa maumivu hayo wazalendo, ngoja sasa wayapate. Na bado, hiyo ni ishara tu kutoka Kaskazini.
Wakatafute waganga na kutafutana mchawi.
kwi kwi kwi, kwo kwo kwo, teh teh
afadhali nikalale mie
Congratulatons Joshua, mapambano yanaendelea.
Jamani majimbo mengine, ambayo bado yanang'ang'ania the tired regime, please learn from the Arumeru constituency.
Aluta continua.
Nimependa sana ubunifu wa dogo kuanza kazi mara moja akiwa mbunge kwa kutafuta fund na kesho kuanza kuchimba visima, GOD...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.