Search results

  1. M

    Issue ya Mikopo ya Elimu ya Juu itamharibia sana rais Magufuli

    Implodes, hatukumuona si wa maana mbona tulimpa kura za kutosha tu
  2. M

    TWAWEZA, acheni kutufanya sisi watanzania ni wajinga

    Twaweza ni wajasiriamali wanaangalia quo status
  3. M

    Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Hilo zengwe Kwa wanaostaafu kabla ya muda au
  4. M

    Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Je wanaodai mapunjo na wameshastaafu
  5. M

    Dkt. Kimei(CRDB): Hali ya uchumi nchini ni tete

    Mimi imenilazm kumlipia mdogo wangu deni
  6. M

    Tahadhari: Mazoezi ya Al-shaabab ndani ya Dar es Salaam

    tpaul, ulitakiwa kutoa taarifa kwanza kwenye vyombo vya usalama ndiyo uje utujuze
  7. M

    Chemsha bongo yangu ya leo kuna mipira mingapi hapo?

    4*4 +3*3 +2*2 +1= 30 balls
  8. M

    PICHA: Ziara za Dr.Slaa,Hillary Clinton,Mwl.Nyerere Vs safari 357 za JK nje ya Nchi

    Not almost one year Mkuu. Average kama akikaa siku tatu kwa safari hizo alizosafiri ni miaka 3
  9. M

    PICHA: Ziara za Dr.Slaa,Hillary Clinton,Mwl.Nyerere Vs safari 357 za JK nje ya Nchi

    Not almost one year Mkuu. Average kama akikaa siku tatu kwa safari hizo alizosafiri ni miaka 3
  10. M

    Polisi wahaha juu ya kauli ya CHADEMA kuimarisha ulinzi wa viongozi kupitia Red Brigade

    mkuu unajua kilichojiri, kwamba walilazimisha ushindi
  11. M

    Henry Kilewo na watuhumiwa wengine wa Ugaidi Tabora kuachiwa huru leo

    yule jamaa aliyekuwa green guard kuna mahali alisema kwa uhakika kabisa kwamba tindikali walim mwagia wenzie baada yakuwadhulum mgao. So wameona wanaweza wakaathirika mbele ya safari.
  12. M

    PICHA: Henry Kilewo akiwa ndani ya pingu na vijana wengine kwa tuhuma za ugaidi

    CHADEMA fanyeni juu/chini mhakikishe usalama wa huyu kijana. Yaani ni jasiri. Katika kipind hiki hata mtoto wa darasa la 1 anajua serikali/ccm inang'oa kucha, meno bila ganz halaf unajitokeza hadharan namna hii?
  13. M

    VIDEO: Josephine Mushumbusi akihutubia Singida Mjini

    Siungi mkono haya anayoyafanya mama yetu. Yaani ni mapema mno. Kwa nini asiwe low profile kama mama yetu Maria Nyerere. Haileti picha nzuri kwa chama ambacho kila mtanzania anaona ndiyo tumaini lililobaki. Ajitofautishe na hii mike ya magamba iliyotangulia
Back
Top Bottom