Search results

  1. Echolima

    Maandalizi ya Makombora ya nyuklia ya Urusi

    Mashoga tu ndiyo wanaamini lakini Kiukweli hawezi Hana ubavu huo na yeye anajua wapi kuwa akiitumia tu ndiyo naye utakuwa mwisho wake kitu ambacho Putin hawezi kulifanya.
  2. Echolima

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Acha kupotosha umma!!Hapo NATO haw app kabisa,fikiria Kama Russia kashindwa tu kuukamata mji mkuu Kiev miezi 8 sasa anahangaika Je wazee wa mitulinga wangekuwa huko kazi wangekuwa wameimaliza kabisa.Kwanza sasa hivi Russia Askari wake wengi wameliwa huko Ukraine ndiyo maana Putin kaandikisha...
  3. Echolima

    Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

    Kwa hiyo unataka kutuambia nini.?Maana hata uvamizi wa Russia huko Ukraine huzungumzii au kwako unaona alifanya vizuri kuvamia Ukraine?
  4. Echolima

    Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

    Wewe unaonekana umekula maharage ya jana!!
  5. Echolima

    Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

    Maneno ya kwenye Kahawa sasa tunaanza kuletewa!!!
  6. Echolima

    Kuwakumbushia tu, Ukraine ni namba 22 kwa uwezo wa kijeshi, hata Misri wanaifumua

    Usitufanye wajinga Kama wewe!!Mfano wako ulioutoa si sawa Kenya wako Somalia Kama Peace-Keeper.Ni ujinga kusema askari wa Ukraine wamefyekwa labda umefyekwa wewe na ujinga wako wa kutoelewa mambo.Urusi sasa hivi anapigwa mpaka anakimbia kwenye uwanja wa mapambano na anakimbilia mijini Kwa raia...
  7. Echolima

    Rasmi: Superpower Urusi kuanza Mazoezi ya Silaha za Nyuklia

    Superpower gani tena?Huyuhuyu Russia anayehangaika na Ukraine Kwa miezi 8? Kama ni hivyo basi atakuwa Superpower Uchwara!!Angekuwa wa ukweli angefanya Kama alivyosema kuwa masaa 72 atakuwa ameiteka Ukraine yote nashangaa mpaka sasa hivi bado anahangaika na kulalamika ovyoovyo!!!
  8. Echolima

    Ukraine: Urusi imetuelekezea vichinjio 24 vya Kalibr, twaogo

    Unaiunga mkono mvamizi Russia Kwa Utu gani anaoufanya huko Ukraine?Misingi gani ya uti unakimbia Mstari wa Mbele na unawafuata raia wasio na silaha unawaua unaharibu Marengo yao na unaharibu miundombinu Yao ya kiraia harafu wewe unapata una siti kusema unaiunga mkono Russia Kwa uhalifu wa namna...
  9. Echolima

    Hatma ya Ukraine itakuwa mikononi mwa Urusi

    Watu wakishindwa njia zao zote na wakashindwa na kwenye uwanja wa vita hutoa maneno Kama hayo maana yake wameshindwa vita wanatafuta sehemu ya kutokea.
  10. Echolima

    Hatma ya Ukraine itakuwa mikononi mwa Urusi

    Mmeanza kujihami???
  11. Echolima

    Hatma ya Ukraine itakuwa mikononi mwa Urusi

    Umeshindwa kumtetea Putin Kwa hiyo unataka ujifiche kwenye mgongo wa Libya.Acheni visingizio vya kijinga kupata sympathy kutokea kwenye issue ya Libya.
  12. Echolima

    Hatma ya Ukraine itakuwa mikononi mwa Urusi

    Maelezo marefu sana yaliyojaa propaganda za kivamizi.Pamoja na Putin kuivamia Ukraine hii ndiyo itakuwa fundisho kwake na wengine wenye mawazo ya kuja kuivamia nchi nyingine.
  13. Echolima

    Hatma ya Ukraine itakuwa mikononi mwa Urusi

    Umetoka usingizini?
  14. Echolima

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mashoga utawajua tu Kwa kauli zao.Midomoni mwao hawaachi kutamka Ushoga maana ndiyo kazi yao na wanawasakizia wengine ili kuficha Ufuska wao Kwa Jamii.
  15. Echolima

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kama unavyoliwa wewe?Unajua nawashangaa sana hawa wanaomshabikia Mvamizi aliyevamia nchi nyingine Kwa kusikiliza Propaganda zake uchwara sasa kila mmoja imekuwa wimbo wa Ushoga wakati humjui kuwa hiyo ni Propaganda Ili aungwe mkono na jumuia.Huo Ushoga mnaouongelea ndiyo mmeanza kuusikia...
Back
Top Bottom