Search results

  1. R

    Unyumba....

    Naomba kuuliza waungwana....Hivi katika Ndoa...Mke akimnyima mumewe Unyumba kwa "zaidi ya mwaka"...yaani hawajakutana kimwili...(miezi 15 sasa) .. Hiyo ndoa bado ipo kweli...? Hakuna ugonjwa wala nini...ni Mke amemkasirikia mumewe tu .. na mume wala hajafumaniwa, na wala hajaenda nje...
  2. R

    Ring or no ring...

    My wife took off her ring after an argument. But there had been instances of arguments for about 2 months with minimal solutions. We have been together for more than 10 years. does this mean that the marriage is over and that I should move on.. Naomba input zenu waungwana.
  3. R

    Namtafuta Dominica Ngaa

    Tulikuwa tukifanya mazoezi pamoja pale YMCA karibu na kanisa la St. Alban Dar....Yeyote anayemfahamu......naomba contact zake.
Back
Top Bottom