Search results

  1. R-CHUGA

    Software ya kujumlisha kura za Urais

    Hapa cha msingi mawakala waliopo vituoni wahakikishe wanasimamia uhesabuji vizuri.Alafu vyama vihakikishe vinajumuisha matokeo yao vizuri.
  2. R-CHUGA

    Rais wetu 2015 ni .....

    MAGAMBA ni MAGAMBA TU. Magofuli hawezi kuongoza kwa maamuzi yake binafsi bila mwavuli wa chama.Lazima tufike mahali tuwe na akili Timamu. JK alipokuja kwa mara ya kwanza tulimuona ni mtu mzuri sana lakini mliona matokeo yake.Kwahiyo siamini kwamaba magofuli atakuwa na eneo lake nje ya CCM...
  3. R-CHUGA

    Lema, umewapa nini wana-Arusha?

    Hayo ni mawazo yako tu wewe endelea kufikiria. Kwani wale ambao walifia kwenye vita ya Kagera serikali inasaidiaje familia zao? Acha upumbavu usifikiri watu wote humu ni wapumbavu.Kwani Lema alihusika kuua hao watu au ni serikali hiyo hiyo ya CCM ilihusika. Ulitaka Lema awafufue? Hakuna wakina...
  4. R-CHUGA

    Lema, umewapa nini wana-Arusha?

    Usiseme ameiua Arusha. Sema ameiua CCM wewe vipi? Lema bado ni jembe letu ninamkubali kama vile ndo kwanza kaanza ubunge. Eleza mambo aliyoyaua hapa Arusha basi tuyaone. Acha kiherehere.
  5. R-CHUGA

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Nimeshangazwa na hotuba ya Rais kuungiliwa na Taarifa za Ushindi wa CCM VS UKAWA.Swali ni kwamba Rais anahutubia Taifa au yupo kwenye kikao cha Chama.
  6. R-CHUGA

    Wasomi waiponda PAC, wataka tume huru

    Wanazuoni mambumbumbu hatuwataki Tanazania,hamfai hata kuitwa wanafunzi wa shule za kata kwani tutakuwa tumewapa heshma kubwa sana.Nendeni huko na njaa zenu.Kwanza wanazuoni kama nyinyi mnatakiwa mnyongwe kabisa kwasababu ni mbegu chafu.
  7. R-CHUGA

    Yaliyojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Hilo Bunge vipi mbona saa kumi ishafika.
  8. R-CHUGA

    Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

    Mkuu wewe ni noma kwa hiki unachokifanya hapa.Big up sana.
  9. R-CHUGA

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Nashukuru mkuu kwa taarifa Nasubiri kwa hamu kuu.
  10. R-CHUGA

    Tumechoka kusemwa humu ndani jamani

    Kajifunze kwanza kuandika ndo uingie humu atuitaji vilaza humu.Au ndo wale mliofaulu darasa la saba hamju KK nini?
  11. R-CHUGA

    Tumechoka kusemwa humu ndani jamani

    Ha ha ha eeh ukiona hivyo ujue nimegusa penyewe.Kwani wanaume wanobaka au mashoga ni wangapi ukilinganisha na wanawake wanaotembea nusu uchi hapa town na wapenda dezo.Pole sana naona mwiba umechoma penyewe siitaji kuongeza dozi zaidi.
  12. R-CHUGA

    Tumechoka kusemwa humu ndani jamani

    Tatizo lenu hampende kukosolewa mnapenda tu mbembelezwe.Ikikuwa ni viti maalumu au nafasi nyingine za ulaji vinanadiwa wanawake humu usingelalamika.Lazima muongeleke humu kwasababu mnaongoza kwa kuvunja maadili kwenye jamii na kuwaingiza wanaume wengi kwenye dhambi bila wao kutaka kutokana na...
  13. R-CHUGA

    Mdahalo wa Katiba Ubungo Plaza 16/11/2014, mtoa mada mkuu Jaji Warioba

    Nani kapiga marufuku na lini?
  14. R-CHUGA

    Dr. Isaac Ndodi, jirekebishe

    Angekuwa ananukuu vitabu vya waandishi wengine ungeridhika?Basi utafute kitabu cha mwaandishi umpendaye ili wakati wa kipindi awe ananukuu kwa ajili yako ili uridhike.
  15. R-CHUGA

    Wanawake wa kichaga mkoje?

    Ha ha ha ha hapo mnajichanganya tu.Mti wenye matunda ndio upigwa mawe.Wanawake wa kichaga sio watu wa kwenda ngomani.Ndio wanawake wajanja katika kulea famila na utafutaji.Mili zetu haziwakandamizi wanawake kama yalivyo makabila mengine.Ndilo kabila la kwanza kwa wanawake wengi kwenda shule.Sio...
  16. R-CHUGA

    Mbowe acha kupotosha umma

    Mbona unajikanyaga kanyaga kama mwanamke anayetongozwa oh mara uwekezaji unakubalika dunia nziama oh sheria zetu zinaitaji marekebisho.Kama unaona sheria zinaitaji marekebisho unachopingana na mbowe ni nini au umeshazoe mambo ya uchochoro kama kawaida yenu.
  17. R-CHUGA

    PICHA:CCM inafahamu loyal voters wanapopatikana

    Sioni cha kuiga hapo.Hiyo ni kuwaibia wanachi tu unapiga nao picha tu ili kutafuta chako lakini baada ya hapo hakuna chochote.
  18. R-CHUGA

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Chadema-674 cuf - 307 ccm - 326
  19. R-CHUGA

    Mwamsiku, Wajinga ndio waliwao. (Deni la CHADEMA la P. A Mbeya)

    Hayakuhusu unafikiri wao ni wezi kama nyie mlivyo.
Back
Top Bottom