Search results

  1. S

    Hahaha nitajie movie

    BORAT jamani. Ile movie ilinichekesha, machozi yalinitoka na mbavu zikaniuma.
  2. S

    ingia mwenyewe uone!!!huwezi kutoka bila kuacha comment.

    Ze mamba iz vere hepi......
  3. S

    Nyoshi El Sadat Akiri Kuwa Anajichubua na akasema yafuatayo

    Katika Kipindi cha Mboni Show Siku ya leo Topic ilikuwa ni kuhusu Wanaume Kujichumbua kwa kutumia Mkorogo, katika kipindi hicho Nyoshi El Sadaat Alikuwa ni mgeni mmoja wapo na Alipoulizwa kama anatumia Mkorogo Akakubali na Kusema alianza kutumia kutoka mdogo akiwa na umri wa miaka sita Yani...
  4. S

    weird

    Mh, speechless.....
  5. S

    majina ya bar/pub

    Kuna yenye jina kama hilo huku sinza, dar.
  6. S

    mil 20

    Ha ha ha, jamani wandugu muwe na huruma na mbavu zetu. Kah!!!
  7. S

    Suma Lee azungumza jinsi Land Cruiser VX yake lenye thaman ya million 70 ilivyoibiwa Coco Beach

    Usikurupuke mkuu. Sumalee kazaliwa dar, maisha yake yoooote kaishi kariakoo, primary kasoma mchikichini na mpaka sasa bado anaishi k'koo. Huwa anasema katokea Tanga coz ndo asili ya baba yake na wazazi wake walihamia huko baada ya kustaafu. Chukua hiyooo..... Pole Hakunaga, litarudi tu...
  8. S

    Wanafunzi kuandamana

    5. Swali: nani kahusika kumteka dk. Ulimboka Jibu: sailensa 6. Swali: kwa nini umetaja zimbabwe kama sehemu ya jamhuri ya muungano wa tz Jibu: jasti siripu ovu ze tangi
  9. S

    Vitu vitatu ambavyo huwezi kuvifanya

    Ha ha ha, na mie nimekamatwa. Ila seriously, huwezi kulamba kiwiko.
  10. S

    Msaada: jinsi ya kutumia word files kwenye seltab

    Habari wakuu, nimenunua tablet inaitwa seltab, sasa nimeshindwa kuitumia kwa kucreate na kusave word files. Anae jua tafadhali anielimishe.
  11. S

    CV ya Naibu Waziri wa Elimu Philip Mulugo: Je inatosheleza kusimamia majukumu aliyopewa?

    Vyeti vya kufoji, assignments za degree zote unafanyiwa, bingwa la kuiba mitihani ya form four kwa ajili ya shule yake,....... What more trash is there about this guy? Ndo maana hata hajui maana ya supplementary (exam), yeye alijua ni moja ya masomo yanayofundishwa chuo cha ualimu Mpwapwa...
  12. S

    Kariakoo kwachafuka, maduka yafungwa...

    whaaaat?? ndo tumefikia huku kweli?
  13. S

    Kosa liko wapi hapa

    Kosa lipo hapa: Blaaah blAaah blaaah bluuuuh bleeeh bleeeh, paf paf paf chwing!!!
  14. S

    Wachungaji wa siku hizi pesa mbele kwa sana

    Daaaaah, hii kali sana. Nimecheka hadi noma.
  15. S

    Ungeuaje soo hili!

    Hahaha nimeipenda hii, halafu unakohoa kidogo...
  16. S

    Nashukuru kwa majibu yenu.

    shkamoo, naomba shinkumi.....
  17. S

    dariri

    teh teh teh, mi nilijua ni matamshi tu kumbe hadi kuandika? Hiyo itakuwa ni dalili ya kutokea pande zile za "geshi ra porishi"
  18. S

    How the human brain works

    I wonder...... Ok, maybe to him it is....
  19. S

    Is it possible...??

    Duh, umenikumbusha nilivyokuwa form six nilipitiliza siku 4, sikuwahi kufanya tendo ila nilikuwa na boyfriend. Hiyo stress yake sasa, halafu nilikuwa nakaribia pepa la necta. Ila nashukuru Mungu sana, siku ya tano nikawapata wageni wangu na haijawahi kunitokea tena. Nikichelewa au kuwahi ni...
Back
Top Bottom