Search results

  1. vicent tibaijuka

    Natafuta nyumba ya kupanga.

    Habari zenu wana JF, natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya mbezi beach, kijitonyama, mwenge na kwingineko kwenye usafiri mzuri. iwe ya vyumba 2-3, iwe ndani ya gate. unaweza nsms 0717 42 11 96. shukrani.NB: kuhusu bei tutaelewana katika simu.
  2. vicent tibaijuka

    Tiba ya kuondoa virusi vya ukimwi mwilini baada ya kulala na mwathirika haraka!

    huwezi kuwa positive in such short time. no antibodies already formed. lazima ucheki baada ya miezi 3 hadi 6. ndiyo PEEP husaidia kuzuia HJIV.
  3. vicent tibaijuka

    Kiuno kuuma sana mpaka nakosa amani,silali wala sikai vizuri.

    nenda kapige lamba-sacral x-ray. tatizo ni uti wa mgongo
  4. vicent tibaijuka

    Magonjwa ya moyo na Pressure

    ocean road, karibu na Protea hotel (corner ya Sarender Bridge). kwa daladala unashukia kituo cha palm beach.
  5. vicent tibaijuka

    Magonjwa ya moyo na Pressure

    doctors plaza heart clinic ni hospital inayotibu magonjwa ya moyo na pressure, pia wana maabara ya kisasa. wanapokea bima ya Afya. simu ni 075 967 4616 au 071 967 4616.
  6. vicent tibaijuka

    Bima ya afya kwa magonjwa ya moyo

    HAbari njema kwa wote, sasa Doctor's Plaza heart Clinic wanapokea bima ya fya NHIF na Resolutions, hivyo kama una umwa usisite kupata matibabu. tel 075 967 4616 au 071 967 4616. Karibuni!!!
  7. vicent tibaijuka

    Jinsi ya kufuta na kuondoa Michirizi (Stretch Mark) kwenye ngozi

    kwa maelezo yako yaonyesha jinsi ulivyo shiba (mnene), cha kufanya ni kupunguza mwili. hiyo michilizi huitwa striae. angalia unene ni hasara, kwani matokeo yake ni magonjwa kukuletea.!!
  8. vicent tibaijuka

    Clinic ya magonjwa ya moyo

    poa, nitafuatilia
  9. vicent tibaijuka

    Clinic ya magonjwa ya moyo

    Hapana mkuu, labda kwa siku za baadae kidogo, bado hakujafanyika mazungumzo nao.
  10. vicent tibaijuka

    Clinic ya magonjwa ya moyo

    .....................................................................................................................................................................
  11. vicent tibaijuka

    Msaada nyayo zinawaka moto!!!

    Bw Mgange, ningelikushauri uende hospital, wakakuangalie, nafikiri tatizo lako kubwa liko kwenye uti wa mgongo hasa lamba-sacral area. kama uko dar nenda karibu na protea hotel kuna clinic inamaspecialist wa aina zote, piga simu 07196746616 au 0759674616
  12. vicent tibaijuka

    Msaada kifua kubana

    aende hosp kwa ushauri zaidi.
  13. vicent tibaijuka

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    nyoa tumia bump stop. ni nzuri sana!1
  14. vicent tibaijuka

    Clinic ya magonjwa ya moyo

    Habari zenu ndugu! kuna Clinic mpya ya magonjwa ya moyo imefunguliwa pale Ocean road, sea view, karibu na Protea Hotel (court yard), si mbali kutoka Serenda bridge. inaitwa Doctor's Plaza heart clinic. contact ni +255 22 21 25 917 au 0719674616 au 0759674616 emailinfo@doctorsplaza.co.tz
  15. vicent tibaijuka

    Clinic ya magonjwa ya moyo

    Habari zenu ndugu! kuna Clinic mpya ya magonjwa ya moyo imefunguliwa pale Ocean road, sea view, karibu na Protea Hotel (court yard), si mbali kutoka Serenda bridge. inaitwa Doctor's Plaza heart clinic. contact ni +255 22 21 25 917 au 0719674616 au 0759674616 email info@doctorsplaza.co.tz NB...
  16. vicent tibaijuka

    Chembe ya moyo ni nini na hutokana na nini?

    inabidi mwende hosp. vigumu kujua kama ni tumbo au moyo, maelezo yako hayatoselezi na huyomdogo wako hajulikani umri wake!!!!h
Back
Top Bottom