Search results

  1. J

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    ZZK ulipaswa kutangaza kujitoa , umetudisappoint mwanakwetu.
  2. J

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    Hii ni fact ambayo inabidi aieleze, huwezi kumshawishi mtu kuwa mvuta bangi aliyefukuzwa kimbia NCCR au yule mzinifu mwizi wa wake za watu aliyekimbia CCM kwa kutokupitishwa kwenye kura za maoni wana mapenzi ya dhati na CDM kuliko ZZK ambaye amekulia humo!!!!! Huu ni uwendawazimu at its best.....
  3. J

    Taarifa za Zitto na Dr. Kitila kwa Umma Juu ya Kuvuliwa Nafasi za Uongozi ndani ya CHADEMA

    ZZK Tangaza kujitoa CDM tupopamoja na wewe hatutaki ubabaishaji
  4. J

    Wastaafu EAC "Waiumbua",Waikana CHADEMA

    Wenye akili utawajua tu
  5. J

    Wastaafu EAC "Waiumbua",Waikana CHADEMA

    Hii iwe fundisho kwa CDM, si vyema kutumia shida za wazee wetu kujinufaisha kisiasa, swala la kisheria liachwe kisheria sio kuliingiza kisiasa.
  6. J

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    MOD tafadhari Msticky hii comment
  7. J

    Buseresere: Mapigano makali yaibuka kati ya waislamu na wakristu!

    Hadhi ya JF imeshuka kwa statement hii
  8. J

    Spika Makinda hakumtendea haki mh.Halima Mdee.

    Tume ya katiba hata mimi nimezisikia hizi tuhuma toka kwa mwanachama mmoja wa CDM, ila bado nazifuatilia. Nitakujuza nikizithibitisha.
  9. J

    CV ya Waziri Kivuli Miundombinu Ujenzi na Uchukuzi Chadema

    Mkuu Tume, Ana Phd ya Kanisa na nasikia amespecialize katika Dhehebu katoliki na ameipata Vatican
  10. J

    Mtandao wa Habarileo kuzuia taafifa zake zisikopiwe hii imekaaje?

    Ngugu wanaJF, Mtandao wa gazeti tajwa hapo juu limezuia habari zake zikikopiwe, hii imekaaje? mbona mitandano ya magazeti yote hapa nchini na sememu nyingi katika dunia hii hawana sheria za ajabu kama hizi? hali kama hii nimeiona katika mitandao inayouza vitabu na majarida ambayo kwa kuwa...
  11. J

    Nani alimpa uchungaji Msigwa? Kwa nidhamu mbovu anayoionyesha bungen!

    Msigwambunge wangu, ila ananiboa sana. too low huyu jamaa kaniudhi sana leo
  12. J

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Huenda ni umbumbumbu wangu, naomba mwenye utaalamu anieleze kwa nini DINI si halali kuwepo katika sensa tanzania?
Back
Top Bottom