Search results

  1. M

    Kwa nini wanaume wanachakachua sana ndoa?

    Wakamatwe ugoni mwanaume na mwanamke, mwanamke ataambiwa malaya. mwanaume ataambiwa mkali. mfumo wa jamii unampendelea zaidi mwanaume. ipo haja ya jamii kuelimishwa kuwa, kosa halichagui jinsia. wanaume wanapaswa kukwepa vishawishi vinavyoweza kuwatumbukiza ktk dhambi ya uzinzi km ulevi, makundi...
  2. M

    Vivazi

    vazi zuri ni lile linaloweka conducive envinronment kwa jamii husika. ni vizuri CBE wakijenga mazingira hayo. wenzao SAUT wamefanikiwa kwa nini wasiwe wao pia?
  3. M

    Mashemji wa kike hunitaka kimapenzi!

    usogope! kuwa na kibamia au mtalimbo si hoja. kikubwa ni ufundi wa kukitumia.kupanda ndege au basi vyote sawa, muhimu ni kufika.
  4. M

    Khaaaaa!!!!!Jamani viacheni vibinti visome!!

    kalagha baho! mwana wa myago mkulu myago!
  5. M

    Mwanaume apigwa na mkewe

    inafaa amwite Matumla amsaidie. atapata hilo kosovo hadi lini?
  6. M

    Wanandoa wafanye nini wanapokabiliwa na mgogoro wa kiuchumi.............?

    Ni ushauri mzuri unaofaa kuzingatiwa na wanandoa wote
Back
Top Bottom