Search results

  1. Mlugu.com

    Adhabu kubwa kabisa utakayompa mumeo kwa kufanya mapenzi na mdogo wako ukiwa mjamzito?

    si mbaya saana maana mashemeji wa siku hizi huwa chanzo cha matatizo ongea na ndugu zako namna ya kuishi hapo home ila kwa hili kupunguza jazba tu! kujipanga upya maana bwana mkubwa hili ni pigo kwake hawezi kurudia tena na maisha yaendelee
  2. Mlugu.com

    PICHA: CHADEMA 'wauteka' mji wa Arusha

    du! wandugu huu moto hapanaa!!!!! wapisheni njia tu! NO, WAY OUT.
  3. Mlugu.com

    Chid benz katoboa pua(picha)..

    waungwana tusiishie kumponda tu! nivyema tumshauli kijana wetu huyu jamani wakubwa chukueni nafasi hii kumueleimisha .
  4. Mlugu.com

    Haishi vituko huyu..Kichupi cheupe.Katauti bora ukapumzike mwenzie badobado sana!

    ndugu si mtoto huyo sasa wewe unamhofia nini? ukona hivyo ujue anajiamini huyo.
  5. Mlugu.com

    Wema Sepetu ndani ya dxb Dubai 5 star hotel....

    mbezibeach {....NI FULL MINYENYERE JAMANI....} ndugu thibitisha neno hilo usiwaache watu na shel bulee ukweli hapo big-up mpendwa ana speed ya kutisha tupo hapa kwaajili ya kuelimisha waungwana kuponda tu! na tukaishia hapo haisaidii tuitendee haki jamii forum kwa kuelimisha mwisho wa siku...
  6. Mlugu.com

    Mwanamke ni lazima apigwe na mume, “lau kidogo”…………..!

    waungwana ukweli ni kwamba mwanamke ni kama mtoto kwa mwanaume huwezi ukaishi nae maisha yote bila kumzibua japo mara moja ambayo hutarudia tena ibaki kukumbukwa kwake kuwa siku moja ulimpiga so, inabidi awe na tahadhali usirudie kumpiga ukweli unabaki pale pale ustarabu wa mwanamke unamapungufu...
  7. Mlugu.com

    Waungwana najua mtajisikia vibaya kuona picha hizi napenda niulize hivi?

    Mtamaholo nafikili nilichoomba kujua ni haki ya maiti kulipishwa ndipo izikwe !au hujanielewa kivipi labda mengineyo ni {....}jibu ulichokielewa.
  8. Mlugu.com

    Waungwana najua mtajisikia vibaya kuona picha hizi napenda niulize hivi?

    ningependa kujua sheria hii ya binadamu kugonga treni na kuilipa ipo dunia nzima? Ukweli inasikitisha sana maiti inapozuiwa kulipa kwanza ghalama za kugongwa kwa treni ndipo waruhusiwe kuzika. Ubinadamu upo wapi katika hili?
  9. Mlugu.com

    Ajali mbaya ya piki piki jamani ushauli kwa ndugu zetu wa boda boda

    ajali mbaya ya piki piki jamani ushauli kwa ndugu zetu wa boda boda
  10. Mlugu.com

    We Msichana, unahitaji kufika kileleni bila kujamiiana? Soma hapa...

    mwambie aongeze juhudi atamshika mtu sasa hivi!!
  11. Mlugu.com

    Is She Beautiful?

    of cozz
  12. Mlugu.com

    Tabia za wanaume zisizowapendeza wanawake!

    du!! huu waraka umetulia best.
  13. Mlugu.com

    Hodii mji huu

    hakika naona.
  14. Mlugu.com

    Hodii mji huu

    Habari zenu wenyeji wangu,mimi mgeni wenu, namimi nimekuwa member hapa naomba kampani yenu .
Back
Top Bottom