Search results

  1. Anne Maria

    Tatizo la mishipa ya damu

    Pole Muamini Mungu na usali, mapito ni sehemu ya maisha ila angalia yasikupeleke pabaya, kaza moyo kila kitu kinapita hapa duniani isipokua Neno la Mungu
  2. Anne Maria

    Tatizo la mishipa ya damu

    Kama umempokea YESU na unaishi ndani yake na yeye Ndani yako muombe akupe amani na atakuponya kabisa... unaweza sababisha kupasuka kwa mishipa midogo yaa damu na kukuletea high blood pressure. ila kiri uzima, kwa kupigwa kwake YESU tumepata kupona.... ubarikiwe, kiri UZIMA
  3. Anne Maria

    Tatizo la mishipa ya damu

    Nafurahi kujua umepata nafuu ila jaribu kulala muda mrefu na kupunguza mawazo, migrane ni mbaya sana madhara yake ya baadae si mazuri...
  4. Anne Maria

    Msaada wadau nahisi miwasho

    Umejaribu kutumia anti fungal drugs kama clotrimazole cream au candistat au whitefield?? unaweza jaribu nunua moja ya hizo plus ununue na fluconazole caps 150mg bd kwa wiki moja.... in case ikiendelea rudi utoe mrejesho au kamwone daktari wa ngozi...
  5. Anne Maria

    Kufanya scrub kuna shida yoyote kiafya?

    Scrub si mbaya kama unatumia vitu halisia vya kufanya hivyo kama parachichi, ila zile products tunazonunua angalia zimetengenezwa na nini epuka chochote chenye kemikali mbaya kama hydoquinone.. pia scrub usipende kujisugua kupitiliza ifanye kama massage, na usikae nayo sana mwilini isizidi dk 5.
  6. Anne Maria

    Tatizo la mishipa ya damu

    Pole sana, hiyo inawezekana kabisa ikawa migrane (kipanda uso) kinasababishwa na vitu mbali mbali ikiwa na msongo wa mawazo, kutokulala vizuri usiku, na mengineyo, pia inawezekana ikawa dalili ya high blood pressure nakushauri ukamwone specialist wa internal medicine, atakusaidia,, kwa sasa...
  7. Anne Maria

    Lips kukauka na kutoa magamba

    Pitia pharmacy kama Care pharmacy karibia na best bite au Platnum pharmacy opposite na shoppers plaza...Kuna wafamasia watakusaidia
  8. Anne Maria

    Ushauri na maelekezo juu ya brown discharge kutoka kwenye vagina

    Discharge ya brown kabla ya period au hata muda wowote sio kitu cha kushangaza kwa mwanamke, inawezekana kabisa ilivyotoka ilikua nyeupe ila baada ya muda(Kutokana na joto etc) ulipoiangalia baadae ndo umekuta imebadilika rangi,, kama haina harufu, wala kuwasha isikutie wasiwasi..
  9. Anne Maria

    Je, wafahamu suluhusho la tatizo la kukosa choo?

    Pole sana mtoa mada,, ila tatizo la choo si kubwa sana la kuumiza kichwa,, unakula vizuri?? ni ke au me? kama ni ke vipi hali ya ujauzito?? Kuna mdau ameeleza vizuri hapo juu kuhusu diet ya vyakula vya kulainisha choo na matunda kama mapapai n.k Vidonga vya tumbo jaribu kutumia HeligoKIT ambayo...
  10. Anne Maria

    Je, wafahamu suluhusho la tatizo la kukosa choo?

    Mtoa mada ana vidonda vya tumbo...Ukwaju utamuumiza...
  11. Anne Maria

    Msaada vipimo vya Typhod

    Pole kwa kuugua Kwanza kabisa siku hizi Widal test imethibitishwa kuwa ina low sensitivity na haifai katika kugundua kiuhakika kama kweli una typhoid.. Kwa widal test hiyo inaonekana kama una mild typhoid, lakini kipimo kizuri cha typhoid ni culture ambapo sehemu chache nadhani wanafanya hii dar..
  12. Anne Maria

    tanafuta thiabendazole

    Dosage ya albendazole try 800mg for 3 to 5 days in case ukikosa thiabendazole... 400mg inaweza isitoshe
  13. Anne Maria

    tanafuta thiabendazole

    Pole sana kwa hilo tatizo la CLM (Cuteneous larva migrants) i think thiabendazole unaweza ipata kwa pharmacy moja ipo pale Namanga karibia na best bite au kuna pharmacy ingine inaitwa platinumz ipo opposite na shoppers plaza mikocheni. Altenatively you can use Albendazole 400mg od for 3 days
  14. Anne Maria

    Naomba msaada

    Nako g, pole kwa hilo tatizo.. Je umeshawahi kufanya check up ya moyo eg, ECG au ECHO? nashauri ni vizuri ukafanya vipimo hivyo, pia check sukari na presha utakapoenda hospitali.... Pole
  15. Anne Maria

    Lips kukauka na kutoa magamba

    Pole kwa tatizo... Kama mdau mmoja alivyopendekeza inawezekana ikawa ni upungufu si tu vitamin C bali inaweza ikawa vitamins kadhaa na madini.. Ukipata multivitamins na mineral supplements itasaidia.. Pia uwe unatumia lip bam kila wakati ili kuzuia kukauka na kutoka magamba
  16. Anne Maria

    msaada wa tatizo la allergy ya ngozi tafadhali.

    Kuna tatizo linaitwa vitiligo sasa sina hakika kama ni hilo au ni tinea corporis aina ya fungus fulani ya mwili.... Kuna daktari mwingine yupo kairuki anaitwa dr. Kishengele nadhani bado yupo ni dermatologist mzuri pia.. atakusaidia.
  17. Anne Maria

    Abortion

    Hiyo mimba iliingia kwa kubakwa??? Si jambo la busara kutoa mimba ila kama huyo mtu alibakwa ili aweze kuitunza hiyo mimba naomba apelekwe kwa daktari wa masuala ya akili sio psychiatrist hapana psychologist atasaidiwa... Nadhani tusimlaumu sana na pia akawaone viongozi wa dini watamsaidia...
  18. Anne Maria

    Pata ufahamu na elimu dhidi ya ugonjwa wa Mafindofindo (Tonsils)

    Tonsilitis,,Inflammation of tonsils..Kuvimba kwa Tonsils Kuna mawili hapa: Kwanza Je hilo tatizo ni la kujirudia rudia sana? Kama la, basi Antibiotic zinazoua wadudu wa sehemu hiyo gram positives kama streptococci zitasaidia, hivyo anza na dawa kama ampiclox ila kama haifanyi kazi tumia clavam...
  19. Anne Maria

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Pole kwanza: Nikupe hongera kwanza, kiwango cha wewe kutaka kuacha ni ishara nzuri tayari Kila kitu ni maamuzi, na maamuzi yanaanzia akilini, Naelewa sio kitu rahisi lakini kinawezekana Kwanza kabisa, Ukiwa na mpenzi wako natumai ni mdada unayempenda na unamtamani ukimwona, hivyo basi chukua...
  20. Anne Maria

    Urinary Tract Infection (UTI): Chanzo, Dalili na Kinga/Tiba yake

    Okay ni Hivi UTI (Urinary Tract Infection) ni infection ya njia ya mkojo,, bacteria wanaosababisha mara nyingi ni E.coli ambaye anapatikana katika utumbo mpana na kwenye kinyesi,, Ni tatizo linalowapata wadada zaidi kuliko wakaka kwasababu ya ufupi wa njia ya mkojo na ukaribu ulipo na sehemu ya...
Back
Top Bottom