Search results

  1. HBO

    Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    2025???? 2015 yenyewe kama watafika basi itakuwa mizimu yao tuu(ancestors) wao maziko yao ni 2014 chaguzi za mitaa
  2. HBO

    Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    Hivi EL kwa sasa yukochama gani???
  3. HBO

    Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    Nimekusoma. Safi sana Mkuu:kev:
  4. HBO

    Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    CCM jaman jaribuni kuangalia hu sio upepo mliouzoea hu ni balaa kaen mkao wa kubwaga manyanga!!!!!!!!!!!!!!
  5. HBO

    Lema: Nitawahamisha CCM hadi wajilaumu kunipa Likizo Bungeni

    Kulingana na khali ilivo hivi sasa japo hawasemi bt tayar wanajuta ni kwanini wamekutoa bungeni, ila wakat wao umefika na kauli yao yakusema upepo unavuma na utapita sasa hu upepo wa kipindi hiki haukatiki na haupiti unaepuliza tu nguzo za CCM mpaka zikatike na sasa zimebaki nguzo chache upepo...
  6. HBO

    NAPE: Nalipenda sana gwanda la CHADEMA

    Atachomoka mmoja mmoja tu mpaka wote watakuja tu
  7. HBO

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    kulingana na khali harisi ilivo kuliko kushambuliwa na CCM ikakutawala bora ukashambuliwa na UKIMWI.Nduli CCM sio atatumaliza jaman tupambane nae mpaka mwisho.
  8. HBO

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    Kiujumla kwa sasa CCM hawana chao cha msingi ambalo wanaweza fanya waludi nyuma tu CHADEMA sasa tuongoze nchi,vile vile watanzania sasa wamelewa na kutambua ya kua wanapotea kwa chama hiki hivo bas hasira zao zinaoneka kwa sasa yakua wamechoka na sera hambazo hazibadiliki.HONGERA SANA CHADEMA...
  9. HBO

    Wana Habari wapata ajali mbaya Arumeru

    Pole sana kwao mungu awe nao na iman watapona na kutejea kazin kama kawaida.
  10. HBO

    CHADEMA yashinda Kirumba na Songea na Kiwira

    Ndo hivo Nduli IDD CCM analud nyuma na jeshi lake.
  11. HBO

    CHADEMA yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa (Zaidi ya kura 6,000)

    CCM wakae mkao wa kwaheri kwasababu wametuchosha na hii pia ni mfano tosha kuwa sasa watanzania wameamka na kuona waendako, kwaufupi leo uchaguz mdogo wadiwan kilumba mwanza umefunika waweza fikiri labda ulukua uchaguz wa mbunge vile. hivo bas kwa wale wote ambao hamjaamka jaribu kuamka...
  12. HBO

    Maji Marefu Kuishitaki CHADEMA .....!!!!!

    Heeeeeeeee Hivi kwa nini anaitwa maji marefu??????????????? Nini kiini cha hili Jina??????????????? Tafakari
  13. HBO

    Hodi hodi wana JF mie ndonaingia hivo.

    habar ya miangaiko ya kimaisha ya kila siku nasikia JF,JF so leo nimeonabora niingie kwan nimeelezwa nawezatoa dukuduku zangu mbalimbali ambazo zinazunguka jamii kiujumla. jamani nikaribishen na ninaimani nitapata ushirikiano wenu.:peep::peep:
Back
Top Bottom