Naitaji mchumba(wakike) anayeishi songea nitapenda zaidi awe mmatengo au mngoni, sina haja na mvuto kwan mm navutia tu, elimu yoyote tu! Umri awe na miaka 18-22, aliyetayari anipm upesi tumeane campany am so lonely.
Jamani naomba tusilipuke, ukweli ni kwamba zitto kuutaka uraisi sio dhambi kwani yeye ameeleza wazi kuwa sio lazima agombee 2015..! Alichokosea yeye ni kutangaza katika kipindi hiki ambacho chama kinaitaji mshikamano ili kuchukua jimbo la A.mashrki kwan jambo hili litaleta mawazo tofauti ambayo...
Siwez kudanganya ni mara chache tu huwa natandika! Nakumbuka boarding nilitandika pale ukaguzi ulipoanza! Kwa uzoefu wanaume wengi ha2pendi au tunajisahau kutandika asubuhi..!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.