Search results

  1. I

    Uwizi mwingine wa tigo

    Tigo si mtandao wa mawasiliano bali mtandao wa wezi tu
  2. I

    Nitoeni ushamba jamani

    Ultrasound inatumia mawimbi ya sauti kuonyesha matatizo mbali mbali kwenye mwili wa binadamu X- ray inatumia mionzi vile vile kuonyesha baadhi ya magonjwa kwenye mwili wa binadamu ila inategemea unahitaji kuona nini. Fani inayotumia zana hizi na nyinginezo kutafiti magonjwa ya binadamu inaitwa...
  3. I

    Mwandosya: Makinda anafaa kuwa rais 2015!

    Ewiiiiiii! Tumekwishaaaaaa! Anashindwa kuongoza bunge. Matusi bungeni kama vijiweni leo apewe nchi? Ccm mpitisheni wapinzani wapate njia ya kuingia ikulu! Asante mwandosya
  4. I

    Kamanda Mpinga: Acheni kulipa faini vichochoroni, nendeni vituoni mkalipe

    Kamanda kampuni ya usalama barabarani inatisha sana! Ni pesa mbele kama tai. Tusaidie
  5. I

    Mbunge Wenje kuburuzwa Mahakamani kesho kwa uchochezi!

    Mfa maji lazima atapetape! 2015 ni kiama chao, shaka ondoa hafungwi mtu
  6. I

    Rais Kikwete akutana na Wabwia Unga Ikulu Dar es salaam

    Rais agewataja wauzaji wa sembe aliosema anawajua na kuwachukulia hatua za kisheria angeokoa wengi kwenye janga hili! Kuwaita ikulu mi sioni kama ni kutatua tatizo. Wengine watatumia ili waarikwe ikulu. Rais akate mizizi ya madawa aache siasa kwenye swala hili nyeti
  7. I

    Huu wizi wanaofanya Tanesco haukubaliki.

    Pole ndugu! Mi nilipia huduma ya kuwekewa umeme toka mwezi wa tatu hadi leo sijapata! Huu ni uhuni mkubwa kwa shirika hili jizi la uma. Wanaboa sana tanesco
  8. I

    Vifurushi vya tigo

    Naomba kujua ni kwanini vifurushi vya internet vimepanga bei kwa asilimia kubwa bila hata taarifa kwa wateja? Au ndo airtel yatosha?!
  9. I

    Jukwaa la kiswahili

    Natoa pendekezo kwa mmiliki wa JF na wana JF liwepo jukwaa la kiswahili ili tuweze kujifunza na kukiboresha.
  10. I

    Tbc sasa mmevuka mipaka,aibu!

    Tutafutie jina lake na namba za simu, ili tumlaisishie kazi apate wateja fasta fasta
  11. I

    Tbc sasa mmevuka mipaka,aibu!

    Biashara matangazo, nadhani leo akitoka kesho wateja kibaoooo!
  12. I

    Yanga wasikubali milioni 100 za Azm

    Kuna msemo unasema ukisusa wenzio twala! Timu kumi na tatu zimekubali unategemea nini? Hahisi yanga watogomea mechi watakazo kuwa wenyeji tu, ugenini hawatakuwa na ubavu! Au sheria zinasemaje?
  13. I

    Naomba kufahamu mmiliki wa IFM (CHUO)

    Activister. Usipende kukashifu hoja za wenzio. Kama huna jibu la hoja kaa kimya wenye majibu wajibu. Nawashukuru mliochangia hoja. Nimepata jibu.
  14. I

    Naomba kuwapo jukwaa la kiswahili

    Ndugu wana Jf napendekeza kuwapo jukwaa la kiswahili ili tuweze kukichambua na kuelimishana zaidi kwenye lugha yetu nzuri wa kiswahili
  15. I

    Naomba kufahamu mmiliki wa IFM (CHUO)

    Hiki chuo ni binafsi au kipo chini ya serikali? Inakuwaje hakitambui sherehe zinazotambuliwa na serikali kama nane nane? Eti kesho wanafunzi wapo masomoni. Naomba ufahamu wana JF
  16. I

    Traffic Police kanitoza fine kwa kwenda 52km/hr kwenye eneo la 50km/hr!!!

    Wengi wao ni wale waliofail form 4 na darasa la saba. Uelewa wao ni mdogo sana, wanakariri tu
  17. I

    Wafungwa wa Kitanzania waliokamatwa na madawa ya kulevya Hong Kong wafunguka!

    Hivi ni kwanini rais alishindwa kuwataja wahusika wa sembe?
Back
Top Bottom