Search results

  1. b5-click

    Hizi hapa salamu za mwaka mpya

    Masaa ndio hayo kabla wazee wa ngindo hamjanyonya, kabla wazee wa moshi hamjapuliza, kabla wazee wa chupi hamjazitoa kwenye viwiliwili vya wahusika katika kusherehekea ujio wa mzee 2018 tutumiane salamu za heri na fanaka kwa mwaka mpya ujao. Mi naanza na mashabiki wote wa Chelsea na wapenda...
  2. b5-click

    Mapenzi kwa mwanangu yaliniondoa Maskani

    Wahenga husema ujana maji ya moto, japo sijui kuni na sufuria ni nini na nini kati ya uzee na utoto. Mwaka 2007 tarehe kama ya leo, mida ya saa kumi na moja nikiwa natoka kwa "mchomeshaji" kupata dawa na machozi ya simba narejea nyumbani.. Nilikua nimetinga na mkononi nina chupa ya konyagi...
  3. b5-click

    Haruna Moshi Shaaban "BOBAN" aipeleka Friends Rangers Raundi ya 3 Kombe LA FA

    Monte's mkongwe tu.. Mwanetu Haruna Moshi Shaaban Mawela "Boban" akitokea benchi anaifungia timu yake ya Friends Rangers goli la pili na la ushindi dhidi ya Ashanti united na kuivusha timu yake kwenda hatua/raundi ya tatu. Gumzo ni muonekano mpya wa boban akiwa na rasta "dreadlocks" mithili ya...
  4. b5-click

    "Nina Haraka"

    Imepita miaka 17 tangu nikutane na kupotezana na huyu Dada. Pia ni miezi kadhaa toka niondoke nchini na kwenda Moja ya nchi za Afrika Magharibi kikazi, nimerejea nyumbani mwisho wa wiki iliyopita na nimeripoti kazini jumatatu ya Jana, tukio ninaloenda kukuhadithia limetokea Leo hii na muda huu...
  5. b5-click

    Sio Sababu Ya Kaya.

    Sio sababu ya kaya ndio mseme vijana wanakua wezi... Sio sababu ya kaya ndio mseme wabunge wanatukana... Sio sababu ya kaya ndio mseme Mimi Malaya.. Sio sababu ya kaya mseme vijana wamepoteza dira. Kemea Tafsiri Mbaya ya Kaya, Kutokana na Tabia za watu. Sent from my BRAIN
  6. b5-click

    Ningekua Rais

    Ningejiuzuru... Mtoto wa darasa la 4 kwenye Sunday school, alipo ambiwa atunge sentensi kwa kuanza na maneno Ningekua Rais...
  7. b5-click

    WACHENGUAJI(ma-MC) MAHIRI WA WAKATI WOTE TZ

    Udumu ujamaa.. Hip Hop ni Utamaduni wenye nguzo zake, njia moja wapo ya uwasilishaji wa utamaduni huu ni muziki.. Muziki wa RAP japo wengi tunaujua kama muziki wa Hip Hop.. Utamaduni huu Uliingia Tanzania mwanzoni mwa miaka ya tisini, je toka uanze kuishi katika utamaduni huu, ni...
  8. b5-click

    Uzi Maalumu: Klabu ya Mpira wa Miguu ya Ndanda

    Karibu katika Uzi maalumu wa kilabu ya mpira wa miguu ya Ndada toka Mkoani Mtwara. Jina la timu: Ndanda Fc Jina la utani: Ndanda Kuchelee Uwanja: Nangwanda Sijaona Watazamaji:15000 Mkoa: Mtwara Mdhamini: Kampuni ya Matairi ya Binslum
  9. b5-click

    ...msaada wa nokia express music.!

    Habarini wadau.! Na0mba msaada wenu katika hili, mimi nahitaji simu aina ya NOKIA EXPRESS MUSIC.... Na0mbeni Ushauri wenu ni aina ipi ya XP-MUSIC Ambay0 ni nzuri kwa ma2mizi yafuatay0.! 1. Mawasilian0 2. Internet nzuri 3. Music acess0ry nzuri ...na menginey0.! PIA KWA WALE MNAOFAHAMU...
  10. b5-click

    Watabe wa kemia msaada tafadhali..!

    Wandugu p0leni na majukumu... Kwa yey0te anaye weza kunipa msaada ktk swali hili afanye hivy0 tafadhali... ''If an aqueous solution boil at 100.5'C, at what temperature does it freeze? (For water Kb= 0.512'C/m and Kf= 1.86'C/m)... Shukrani kwanza.!
  11. b5-click

    ngo ngo ngo.... Hodi

    jamani wenyeji me ni mgeni nimekuja kujumuika nanyi nategemea ushrkiano.!
  12. b5-click

    Kuhusu Old Moshi PLZ.!

    Hi, jf memberz plz na0mba kwa yey0te anayejua jamb0 l0l0te linal0husu shule ya 0ld M0shi a.k.a m0shi sec, je ip0 wilaya gani, je ktk hy0 wilaya ni mjini 0r vijijini na mengney0 mabaya kwa mazuri.!
  13. b5-click

    Frestylee downloads

    Wana jf naomba msaada kwa yey0te mwenye ufahamu ni wap/website gani ninaweza ku-download mp3 za freestylee za kitanzania!
  14. b5-click

    Unlock your Nokia 6300

    Hi, jamani wadau wa cm yeyote mwenye utaalamu wowote juu ya cm ya Nokia 6300 single line toleo la mwaka 2007 anisaidie... Coz my 4ne cku hzi ni nzit0 xana ktk mambo ya mtanda0, pia mem0ry card huwa haionekani katika menu ya cm wakati ip0... Help me plz
Back
Top Bottom