Search results

  1. wwww

    Ubungo Interchange, TAZARA Flyover na Standard Gauge sio moja ya mafanikio ya Magufuli

    Nimemsikia Mhe Rais jana akijigamba kuwa mafanikio katika utawala wake ni pamoja na barabara za juu za Ubungo (Ubungo Interchange), barabara za juu za TAZARA (Tazara flyover) na Standard Gauge ya Reli ya kati. Huu ni uongo mkubwa kabisa, sisi Watanzania kwa sasa tumeenda shule kwahiyo tunafahamu...
  2. wwww

    Ni kiongozi gani atakayebadilisha IBARA YA 40 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ndugu wanajamvi naomba tuweke huu uzi hapa kwenye kibandiko ili ukisubiria kuona kiongozi atakaye kuwa wa kwanza kubadili Ibara ya 40 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuondoa ukomo wa vipindi vya kutawala. Nawabadikia Ibara yenyewe hapa chini ili muweze kuisoma. Haki ya...
  3. wwww

    Wapinzani wa Tanzania wafanana na ANC ya Africa Kusini enzi zile za Ubaguzi wa rangi

    Kwa hali inavyoonekana hivi sasa katika nchi yetu ya Tanzania, wapinzani wanafanana kabisa na wapinga ubaguzi wa rangi huko Africa Kusini. Mazingira wanayopitia watanzania kwa sasa dhidi ya utawala huu ni sawa na kudai uhuru kwa mara nyingine hapo nchini. Hata hivyo nawaomba watanzania wote kwa...
  4. wwww

    Rais Magufuli, tunapaswa kuanza kutengeneza zana zetu za kijeshi kuanzia sasa kama Taifa

    Mgogoro wa Korea Kasikazini na Marekani umetengeneza uzi huu na kuona kuwa kuna umuhimu wa makusudi kabisa wa kuanza kutengeneza zana zetu za kijeshi mapema sana. Ukisoma historia nchi nyingi ambazo tulikuwa nazo kwenye uchumi wa daraja la tatu kama China, Korea, Philipino na nyingine nyingi...
  5. wwww

    NI lini watumishi raia wataondoka jeshi la polisi?

    Ni muda mrefu umepita tangu mtukufu sana Rais kumwagiza IGP kuwaondoa watumishi raia Jeshi la Polisi, lakini taarifa zilizopo ni kwamba hakuna mtumishi hata mmoja ambaye ameondolewa. Sasa hii inamaanisha kuwa kauli za Mtukufu sana Rais zinapuuzwa na watu wake na kuamua kumpotezea au ni nn sasa...
  6. wwww

    Utawala katili wa dikteta Idd Amini Dada wa Uganda

    Ebu tujikumbushe utawala wa dikteta aliyekuwa rais wa Uganda wakati ule. Rais ambaye alikuwa hapendi kabisa kukosolewa na mtu yeyote na yule aliyediriki kumkosoa alikiona cha mtema kuni. Ni kipindi ambacho wananchi wengi wa Uganda waliuwawa kikatili hasa wapinzani wa Serikali ya Idd Amini ambayo...
  7. wwww

    Rais Magufuli awasomesha namba wakazi wa Ubungo, Kimara na Mbezi kwa mwendokasi

    Kutokana na wakazi wa Ubungo, Kimara na Mbezi kuipiga chini CCM katika uchaguzi uliopita, sasa inaonekana Mhe. Rais ametoa maelekezo kwa Sumatra kuondoa magari yote kwenye route ya Mawasiliano - Posta, Kimara - Posta na Mbezi - Posta ili wanachi wa maeneo hayo waisome namba. Katika utafiti wetu...
  8. wwww

    Kuna tofauti gani kati ya Chama na Serikali?

    WanaJF ni matumaini yangu kuwa ni wazima. Naomba mnijuze kidogo, kuna mambo yananisumbua sana kwenye utawala wa awamu hii. Kinachonisumbua ni tofauti kati ya chama na Serikali katika awamu hii ya uongozi. Kwa upande wangu ninachokishuhudia na kukiona kwa sasa ni kwamba awamu hii Chama cha...
  9. wwww

    Tetesi: CCM asili inamuandaa mgombea wake 2020

    Ndugu wana jamvi, kuna taarifa nilizozipata ambazo ni mkakati wa muda miaka mitano hadi kufikia Septemba, 2020 CCM asili itakuwa tayari ina mgombea wake katika uchaguzi wa uraisi. Mkakati huu unaratibiwa na viongozi wakongwe ndani ya CCM wakishirikiana na vijana wa CCM wapambanaji waliotelekezwa...
  10. wwww

    Watumishi raia wote waliopo Jeshi la Polisi kwenda Depo kuhenya

    Wanajamvi nimepata taarifa kutoka chanzo changu ndani ya Jeshi la Polisi kuwa watumishi raia wote waliopo huku wanatakiwa kwenda depo kuhenya ili atimaye kutekeleza amri ya Rais aliyoitoa siku alipokuwa anawapandisha vyeo Makamishina wa Polisi aliposema hataki kuona Raia yeyote kwenye majeshi ya...
  11. wwww

    Hizi kauli za mkoa wangu, wilaya yangu, halmashauri yangu, manispaa yangu, zimekaaje?

    Ndugu wanaJF, Kumekuwa na kauli mbalimbali za baadhi ya viongozi kutoa matamko mfano; Wakuu wa Mikoa, Wilaya au Wenyeviti/ Mameya wa Halmashauri/Manispaa kwamba ni Marufuku kufanya kitu fulani kwenye eneo lake la utawala kwa kuita, MKOA WANGU, WILAYA YANGU, HALMSHAURI YANGU, MANISPAA YANGU n.k...
  12. wwww

    Chumba cha kupanga

    Wanajf natafuta CHUMBA cha kupanga kwa ajili ya biashara maeneo ya Posta mpya, Kisutu, Akiba,Mnazi Mmoja au Steshen. Kiwe na ukubwa wa Sq. mita 20 - 30 hasa hasa ground floor ndio napendelea sana. Nawasilisha kwenu wapendwa.
  13. wwww

    Yuko wapi Africar Kagema?

    Ndugu wanajamvi, kuna mtu mmoja kwa jina hapo juu alikuwa anapambana sana na Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe kabla ya muda wa kuchukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Kyela kupitia Chama cha Mapinduzi. Hata hivyo hakujitokeza kuchukua fomu wala kugombea ubunge. Huyu mtu ni muhimu sana kwa...
  14. wwww

    Africar Kagema: Nitagombea Ubunge Kyela

    Hatimaye kitendawili cha WanaKyela kimeteguliwa kwa kijanawao kutangaza rasmi kugombea Ubunge kupitia jimbo la Kyela. Wananchi wengi wa Kyela wanasema Africar Kagemaanaweza kuwa kijana atakayeiletea maendeleo Kyela kuliko wagombea wengine wotewaliojitokeza akiwemo Mbunge wa sasa Dr. Mwakyembe...
  15. wwww

    Jimbo la kyela moto, hawa ndio watakaomuondoa dr. Mwakyembe 2015

    Ndugu WanaJF, Katika hali ya kuendelea kupanda joto la kisiasa katika kila kona ya nchi hii. Hali hiyo imejitokeza katika jimbo la KYELA kati ya majimbo magumu sana katika Mkoa wa Mbeya. Hadi sasa vijana ambao hawajatangaza nia rasmi lakini wanasikika chini chini na ambao wapambe wao...
  16. wwww

    Africar Kagema kijana anayetegemewa kulikomboa jimbo la Kyela

    Wanajf, Katika hali ya kushangaza vijana wa Kyela wamejipanga kufanya kampeni ya kumwangusha Dr. Harrison Mwakyembe kwa kile wanachodai wamechoshwa na majivuno ya Mwakyembe kwa wapiga kura wake. Nilipokuwa huko nilishangaa kuona vijana wakiwa hawataki kabisa kusikia jina la Mwakyembe huku...
  17. wwww

    Nafasi za kazi za wakurugenzi (directors) bandarini vipi?

    Ndugu wadau, katika nafasi zilizotangazwa na MAMLAKA YA BANDARI DAR-ES-SALAAM (TPA) niliomba nafasi ya DEPUTY DIRECTOR - CORPORATE SERVICES deadline ya maombi ilikuwa tarehe 15.05.2013 lakini hadi sasa sijasikia chochote kuhusu mchujo. Wadau naomba mnijuze kinachoendelea huko.
  18. wwww

    Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya Mbarali ni amejaa matusi

    WanaJF mtanisamehe kuipost hii threat hapa, nataka watu wengi waione. Ndugu zangu kama kawaida yangu, nilikuwa na mapunziko mafupi kwetu Ubaruku na kama kawaida kabla ya kufika Ubaruku lazima upite Rujewa makao makuu ya Wilaya. Nilipofika Rujewa kama kawaida yangu lazima nionane na rafiki...
  19. wwww

    Natamani kugombea ubunge 2015. Nifanyeje?

    Ndugu wanaJF, Mimi ni kijana mwenzenu natamani sana kugombea Ubunge mwaka 2015 kupitia jimbo la Kyela, lakini nashindwa kuelewa ni vitu gani napaswa kuwafanyia wananchi wa Jimbo hili kabla ya kufika mwaka 2015 ili nitakapoanza harakati za kuomba kura waweze kunipigia kura za ndiyo bila taabu...
  20. wwww

    Mweka hazina - Halmashauri ya wilaya Mbarali aondolewa

    Wanajf kama kawaida yangu nilikuwa kwetu Ubaruku kununua mchele nikapata habari kuwa Kamati ya fedha ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali imemuondoa Mweka Hazina wa Wilaya katika nafasi yake. Ilinibidi niondoke Ubaruku kuja Rujewa km 4 kutoka Ubaruku ndipo nikapewa full story kama ifuatavyo...
Back
Top Bottom