Search results

  1. H

    CCM Itaendelea kutawala TZ karne nyingine ijayo

    Mleta maada Nina wasiwasi na umri na elimu yako. Inawezekana umeasiriwa na mazingira.
  2. H

    Video: Arusha mjini kazi ipo

    ??????!!!
  3. H

    Mahubiri ya Mwalimu Mwakasege - UDSM

    Shetani alipoharibika mbele za Mungu na kiti chake cha enzi alichoumbwa nacho kiliharibika kwa huo uovu hivyo alitupwa pamoja na kiti chake. Rejea UFUNUO 13:2. Huwezi leta mabadiliko kwa kiti cha enzi kilicho kwisha kuharibika kwa kumuweka mtu msafi; ataongoza kwa masharti hicho kiti.
  4. H

    VIDEO: Lowassa awataka Walutheri wampe Kura nyingi awe Rais wa kwanza Mlutheri

    Usukuma na Uluthery haya yote ni matatizo. Ninamsifu Lowasa kwa maana hajaomba wampigie kura. Ulitaka aombe msaada wa maombi kwa waislam wakati si imani yake.
  5. H

    Nipashe: Tuhuma za Slaa kwa Lowassa hazina ushahidi?

    Watanzania tunataka mabadoliko, siyo polojo za fisadi kila miaka mpaka wengine tunazeeka tukiwa adicted na sera za hiyu fisadi huku hatupigi hatua. Lowasa ndiyo mabadiliko basi.
  6. H

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Hujaelewa, amesema CCM ni choo. Lowasa ni kinyesi ndicho kilicho hamishiwa chumbani. Hata hivyo choo huwa hakiishiwi na vinyesi, ni bora tukachagua kinyesi maana ni rahisi kusafisha ukilinganisha na choo.
  7. H

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Siwezi umia kwa ajili ya Slaa asiyesoma alama za nyakati. Watanzania tunataka mabadiliko, tumepoteza miaka zaidi ya 50 hiyo ya Lowasa ni michache kuliko ya kindi la CCM. Paulo alikuwa muuwaji lakini Mungu alimsamehe na kumtumia kwa viwango vya juu kuliko mitume wengine. Leo wewe Padre tu...
  8. H

    Mkutano wa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, Edward Lowassa kutoka Songea

    Siwezi umia kwa ajili ya Slaa asiyesoma alama za nyakati. Watanzania tunataka mabadiliko, tumepoteza miaka zaidi ya 50 hiyo ya Lowasa ni michache kuliko ya kindi la CCM. Paulo alikuwa muuwaji lakini Mungu alimsamehe na kumtumia kwa viwango vya juu kuliko mitume wengine. Leo wewe Padre tu...
  9. H

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    DK. SLAA Utakuwa mpinzani mpaka unaingia kaburini.
  10. H

    Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

    Kama hizo original zipo afanye haraka na aombe ulinzi wa polisi ili asije pitwa na muda au kutekwa tena. Dalili si njema hapo makamanda.
  11. H

    Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

    tusipoteze muda naye huyu ni haraka ifanyike plan B tusije tukapoteza jimbo na kupunguza idadi ya kura.
  12. H

    Patrobas Katambi wa CHADEMA, atekwa akirudisha fomu ya ubunge Shinyanga Mjini

    Acheni usanii, atashukaje wakati anajua alichokibeba kinatafutwa.
  13. H

    Urejeshaji wa Fomu za wagombea Urais, Ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi

    Maana ya Brudoza au Tinga tinga ni kitu kisicho na maono chenye kutegemea nguvu pasipo kutafakari juu ya maamuzi husika. Tunahitaji kiongozi mwenye maono ya mbele zaidi kwa taifa letu.
  14. H

    Rais Jakaya Kikwete wakati mwingine kunyamaza ni hekima kubwa sana

    Anaposema picha ni za kutengeneza maana yake anavishutumu na kuvidhalilisha vyombo vya habari vinavyo riport matukio ya kampeni kwa uaminifu. Hili siyo kosa?
  15. H

    Nani Katoa Speech ya Maana Kati ya Hawa Wa-CCM???

    Usiku mwema, mwenyekiti JK kaahirisha mpaka kesho saa nne asubuhi ndipo watakapo tangaza matokeo.
Back
Top Bottom