Search results

  1. K

    Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

    Kwanza, napenda kuchukua fursa hii kuwahakikishia Watanzania, wanachadema na wasomaji wote wa Gazeti la Mwananchi kwamba habari ya Mbowe kumtangaza Dk Wilbrod Slaa kuwa anatosha kwa Urais mwaka 2015 siyo ya kupikwa wala kumsingizia. Alitamka hivyo hadharani mbele ya maelfu ya wakazi wa Karatu...
  2. K

    Wamaasai kudai ardhi yao ya asili bonde la ngorongoro

    Waziri Mkuu mstaafu (aliyejiuzulu), Edward Lowassa akinyoosha juu fimbo ya ishara ya uongozi (Laigwanan), kuashiria upigaji kura ya kukubali maazimio yaliyopitishwa baada ya kikao cha siku mbili cha viongozi wa mila wa Kimaasai. Baadhi ya viongozi wa kimila wa Kimaasai (Malaigwanan)...
  3. K

    Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

    Kauli ya kamishina wa oparesheni maalum wa jeshi la polisi, paul chagonja umetoa mwanga wa kile kinachohisiwa na umma kuwa kuna mkono wa serikali au watumishi wake kwenye tukio la kutekwa, kuteswa na kujetruhiwa kwa mratibu wa mgomo wa madaktari, dk stephen ulimboka. Mara baada ya tukio hilo...
  4. K

    Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

    TATIZO LA CHAGONJA NI KANSA LINALOITAFUNA JESHI LA POLISI NA VYOMBO VYETU VYA ULINZI NA USALAMA NALO SILO LINGINE BALI 'KUSHINDWA KUFIKIRI NJE YA KUTA ZA VYUMBA WALIVYOMO' SIYO RAHISI KWA AFISA WA NGAZI YOYOTE YA POLISI ANAYEFIKIRI ZAIDI YA KINGO ZA KUTA LA CHUMBA ALICHOMO KUIBUKA NA KUTOA...
  5. K

    Kamanda Chagonja amtisha na kumkejeli Dr. Ulimboka

    TATIZO LA CHAGONJA NI KANSA LINALOITAFUNA JESHI LA POLISI NA VYOMBO VYETU VYA ULINZI NA USALAMA NALO SILO LINGINE BALI 'KUSHINDWA KUFIKIRI NJE YA KUTA ZA VYUMBA WALIVYOMO' SIYO RAHISI KWA AFISA WA NGAZI YOYOTE YA POLISI ANAYEFIKIRI ZAIDI YA KINGO ZA KUTA LA CHUMBA ALICHOMO KUIBUKA NA KUTOA...
  6. K

    Nassari wa Arumeru Mashariki kushtakiwa kwa uhaini? Anatafutwa na Polisi

    Wadau, Kuna tetesi kutoka vyanzo vya kuamini kutoka ndani ya jeshi la polisi Arusha kuwa huenda Mbunge kijana wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari aliyeibuka mshindi dhidi ya mgombea wa chama cha magamba (CCM), Sioi Sumari, akashtakiwa kwa kosa la uhaini kwa kudaiwa kuchochea Kanda ya Kaskazini...
  7. K

    Diwani mwingine (CCM Mwanza) ahamia CHADEMA

    Diwani huyo amepokelewa leo saa tatu Asubuhi na mjumbe wa kamati kuu ya chadema , Godbless lema akiwa ameambatana na katibu wa mkoa wa Kinondoni , Henry Kilewo :msela:
  8. K

    Maoni yangu dhidi ya "Baadhi ya wananchi wahuni" wa Arusha kujaribu kuzuia wanahabari wa TBC

    Dotto, baada ya kusoma kwa makini hoja yako, nimegundua maneno matatu kama ifuatavyo: Kwanza, kama kweli wewe ni mwandishi wa habari ulivyojitambulisha, basi utakuwa kanjanja. Nasema hivyo kwa sababu nimegundua uelewa wako wa mambo yanayotokea duniani ni mdogo kupita kiasi hata kile...
  9. K

    Lala salama Arumeru

    Kweli nimeamini sikio la kufa halisikii dawa. Yaani pamoja na ukweli kwamba Magamba wameshikwa vibaya Arumeru bado wanajidanganya kuwa watashinda uchaguzi mdogo. Mleta hoja anadai mkutano umejaa watu wakati mie niko hapa uwanjani watu waliokuwepo kabla msafara wa mkapa haujafika walikuwa...
  10. K

    Hofu ya mauaji yaikumba kesi ya Wakili Mwalle • MMOJA ADAIWA KUFA BAADA YA KUTOA TAARIFA NZITO

    Hofu ya mauaji yaikumba kesi ya Wakili Mwalle • MMOJA ADAIWA KUFA BAADA YA KUTOA TAARIFA NZITO KESI ya wakili maarufu nchini, Median Mwalle, imechukua sura mpya baada ya wakili huyo kuibua madai mazito mahakamani kuwa mmoja wa watu wake wa karibu, John Kabwe, alifariki dunia katika mazingira...
  11. K

    Eti kuna njama za kumdhuru wakili mwale

    Kuna tetesi kuwa baada ya upande wa mashtaka katika kesi ya kupatikana na fedha inayosadikiwa kupatikana kwa njia isiyo halali (uhujumu uchumi), linalomkabili wakili Median Mwale kujitahidi kukusanya ushahidi na kushindwa kupata taarifa zinazojitosheleza, sasa kuna njama zinaandaliwa na watu...
  12. K

    advocate mwale ahofia maisha yake akiwa mahabusu

    kesi hii ilitungwa kwa chuki binafsi baina ya mawakili wakishirikiana na Mombo wa usalama wa Taifa sasa inaanza kuwaelemea wanatafuta namna ya kumdhuru
  13. K

    Waandishi wa habari wasikubali kutumika kushiriki siasa chafu arumeru mashariki

    Hoja mpya kuhusu gari la waandishi wa habari kupigwa mawe: Waandishi wa habari mkoa wa Arusha sasa wanafanya uchunguzi kubaini iwapo viongozi wao (Mwenyekiti Gwandu, makamu wake, Ngereza na Katibu Mkuu, Mbonea walitumika kutekeleza propaganda ya CCM kuhusu tukio hilo. nitawajuzi wadau..
  14. K

    Waandishi wa habari wasikubali kutumika kushiriki siasa chafu arumeru mashariki

    Jambo jipya lililojitokeza wakati nikiendelea na uchunguzi wangu kuhusu tukio la gari la waandishi kudaiwa kupigwa mawe ni kwamba waandishi watatu waliojitokeza kushadadia tukio hilo kwenye vyombo vya habari, yaani Mbonea, Gwandu na Ngereza wote ni viongozi wa juu wa klabu ya waandishi wa habari...
  15. K

    Waandishi wa habari wasikubali kutumika kushiriki siasa chafu arumeru mashariki

    Wadau, Tukio la gari la waandishi wa habari walio kwenye msafara wa CCM kudaiwa kupopolewa mawe na watu wanaodaiwa kuwa wafuasi wa Chadema ni fedheha kwa fani ya habari nchini kutokana na mashaka ya ukweli wa tukio hilo. Mashaka hayo yanatokana na sababu kuu tatu: 1. Inawezekanaje gari la...
  16. K

    CCM & TLP zinaendelea kung'ara chadema hoi bin tabani Arumeru East

    weka uthibitisho wa hoja yako maana inaonekana unazungumzia maneno ya udaku
Back
Top Bottom