Search results

  1. N

    ACT Wazalendo statement on exacerbation of the Israel-Palestine conflict

    Safi ACT WAZALENDO . Press haina makando kando km Ile ya makamba.
  2. N

    Katuni ya Masoud Kipanya inamaanisha nini?

    Anamaanisha nini hapa Katuni ya Jana na leo.
  3. N

    CHADEMA ni TLP iliyochangamka

    Natafakari tu; Viongozi wa ACT Wazalendo wangekimbia nchi baada ya uchaguzi! Viongozi wa ACT Wazalendo wangerudishwa nchini kwa Msaada wa Ikulu (kufuta Kesi). Viongozi wa ACT Wazalendo wangelipwa mishahara yao na marupurupu (Tundu lissu). Zitto angeachiwa huru na siku hiyo hiyo kuonekana Ikulu...
  4. N

    ACT Wazalendo ni chama makini japo ni ulimi wa pili wa CCM

    Mnamaliza lini vikao na CCM huko ikulu?
  5. N

    Kweka: Jaji Biswalo Mganga ajiuzulu ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

    Na Kwako ww , Unasumbuliwa zaidi na huyo mwenye chama kuliko Watu wa aina ya Jaji Biswalo. Yaan huyo mwenye chama kasababisha Unga, mchele, Nauli na mafuta vipande kwahiyo anakukwaza sana.
  6. N

    CCM Temeke ndani ya Kashfa nzito

    Duuu Mish dada mmoja matata sana
  7. N

    ACT–Wazalendo walivyoichambua Ripoti ya CAG

    Vijana wa Chadema mnashida sana Huyu Mbowe alipoona moto mkali alikimbia Nchi, Dubai na South Africa kutafuta Fursa za Biashara na kuacha Siasa, ameona kumepoa amekuja tena kuwekeza Kwenye Chama.
  8. N

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

    Kibwagizo cha Hotuba Ya Mbowe "NEVER AND NEVER AGAIN" ame Copy kutoka Katika Hotuba ya ZITTO aliyoitoa Tarehe 26/3/2021( Hii HAIPASWI KURUDIA TENA TANZANIA) Kwa Heri John Magufuli, Buriani Tingatinga Zitto Kabwe Imenichukua karibu wiki nzima kuandika, japo kidogo, kukuaga Rais Magufuli...
  9. N

    Zitto jifunze kufanya timing, usingechapa ripoti wakati Mbowe ana press

    Hotuba ya Mbowe yote inamambo Matatu. ✓Kuomba Huruma yake Binafsi na chama chake . ✓ Malalamiko ✓ kuelezea Hofu waliyonayo kwa Mh Samia. ✓ na Zaidi Amecopy mambo kadhaa kutoka kwa Hotuba za Zitto ikiwemo Kibwagizo chake.
  10. N

    Naibu Katibu Mkuu Cuf Zanzibar Avunja Ngome Ya ACT Wilayani Magharibi 'A' Zanzibar

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CUF inavunja ngome ya ACT WAZALENDO ZNZ ? kwa Maana hiyo ile CUF tuliokuwa tunaijua haipo tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Faki yule kilaza ndio amekuwa Naibu Katibu Mkuu Znz? Haya Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Tamko la Viongozi wa vyama vya Siasa Zanzibar kuhusiana na mambo yanayoendelea Nchini

    Naiona NCCR katika Orodha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. N

    Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

    Kigango Maana huyo Bashiru yupo km Tai inaweza kuondolewa isiharibu show Sent using Jamii Forums mobile app
  13. N

    Hii safu ya viongozi wa ACT-Wazalendo inafikirisha sana!

    Ili kutimiza matakwa yako, Umemtaja MShauri Mkuu na kumuacha Makamo Mwenyekiti Bara Mama Dorothy Semu!!Umemuacha Naibu Katibu Mkuu Bara Ndugu Joram Lehwabura Bashange na Kumtaja Naibu Katibu Mkuu Znz Ndugu Nassoro Mazrui ! Unashangaza Sana Unataka Kuturudisha Nyuma katika Mapambano kwa Miaka...
  14. N

    Maalim Seif achukua fomu ya Uenyekiti ACT-Wazalendo

    ACT imepata Nguvu Mpya katika kuelekea kuchukua Dola. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. N

    Vijana ACT-Wazalendo wamtaka Rais Magufuli kumfukuza kazi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila

    Hiko kiwango unachosema amekosea ndicho walichokiona Ngome ya Vijana ACT Wazalendo
  16. N

    Nilivomuelewa Mh Mbowe, Jana, Saranga.

    UKAWA haiwezi kufa , UKAWA ni nguvu ya wananchi.
  17. N

    Nilivomuelewa Mh Mbowe, Jana, Saranga.

    Kila inapojadiliwa nguvu y upinzani lazima ccm povu liwatoke , unajisahaulisha ilipokuwa nccr, ilipokuwa TLP , Unatamani hilo litokee tena kwa CUf !!! Ninachomuomba mwisho mbowe awe kinara sahihi wa kusimamia mabadiliko asikubali wapuuzi km lipumba na kundi lake kuwatoa katk lengo.
  18. N

    Nilivomuelewa Mh Mbowe, Jana, Saranga.

    Habar wanajopo. Wanajopo kama mnavofahamu kampeni za uchaguzi mdogo zinaendelea katika kata mbali mbali nchini, Jana kamanda wa anga,Mwenyekiti wa CHADEMA na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Mh Freeman Aekael Mbowe alizundua kampeni kata ya Saranga, Binafsi niliona mafuriko ya watu, watu...
Back
Top Bottom