Search results

  1. PetCash

    Dah! Kuna mambo yanatia hasira jamani

    Kuna mshkaji wangu mmoja tulisoma wote. Katika harakati za kutafuta maisha tukawa tumepotezana kidogo. Jirani kidogo na nnapoishi kuna jamaa tumezoeana anaishi na familia. Na hasa mazoea yalianza kwa sababu mke wake huwa kwenye shughuli za utafiti huwa tumewahi kukutana mara kadhaa (Ila...
  2. PetCash

    Wenye Uzoefu kwenye ndoa Jamani

    Natumai wote tuko kwenye majukumu yetu ya kujenga Tanzania yetu. (Msitushangae wengine tulikuwa tunaijenga usiku side by side na wabomoaji Taifa) Navojua mimi hakuna kitu kizuri kama umefika home (Umechoka?) <- haishauriwi hiii ;) Okay, umefika home una njaa na umemmiss mamy wa House. Halafu ye...
  3. PetCash

    Wanawake : Mixed Signals, huwa inaisha lini?

    Habari za siku wakuu, So, mke wangu alipata mafanikio fulani kazini. A decent breakthrough. Mimi kama ndugu mtazamaji, motivator na mshangiliaji wa maendeleo yake nikaona si mbaya nikafanya chochote. Ujue ndoa bana zina kupanda na kushuka hata mjitahidije. Kuna siku tulikuwa sehemu tunapata...
  4. PetCash

    Namna hii? Acha tu tusafiri na wake zetu

    So, nilikuwa zangu safari (ya kikazi hivi) pori flani kwene mgodi (sifanyi kazi na madini wala migodi, just ulikuepo tu). Nimepiga kazi hapo kama wiki hivi kwa masaa kama 14 ya siku. Jioni naenda zangu rum nalala. Weekend pakawa kama na sherehe lakini ikafanyika hotel moja kati. Sasa palikuwa na...
  5. PetCash

    Je, umewahi ponea tundu la Sindano? Tuambie Ilikuwaje (+Story)

    Ilikuwa siku moja hivi, nilishinda na mchepuko huko pori lisilojulikana siku moja. Wife anajua niko field kwene research kisha ntarudi town niende ofisini ndo nirudi nyumbani. Wakati wa kuagana bibie anang'ang'ania nimpeleke had mitaa ya kwao. Kwa sababu nlikuwa naenda job jioni nikaona si tabu...
  6. PetCash

    Tukio gani limewahi kukushusha Stimu? Je uliacha?

    So enzi hizo zamani... Nilikuwa na mdada mmoja nilimpataga Instagram. Alikua anapost picha picha nzuri nikamuelewa. Ana nywele ndefu kidogo, nzuri na nyeusi. basi tukachat kwa muda kidogo hadi tukazoeana na kukutana nakadhalika. Sasa siku ya tukio (if yu no yu no), kaja amependeza kweli kweli...
  7. PetCash

    Ni sayansi lakini wanaume wenzangu tuache hii

    Nitajaribu kuiweka iwe interesting lakini nivumilie kidogo. Lets go into a classroom (Hata kama sio vitu zako soma!) Ufunguo: Kuna metali (Metal, kama vile chuma, shaba n.k) na Si-metali(Non-Metal kama vile oxygen tunayovuta n.k) ila zote ni elements. Substitution or Single Replacement...
  8. PetCash

    Umewahi kupatwa na hali ya kutamani maisha ya utotoni?!

    So I'm driving home (Yes this early) and I think; Nina familia (mke na watoto). Siwezi kusema ni mkongwe kwenye ndoa, hapana ila nimekaakaa. I love my family. Nina mke mpambanaji, and yes she is a beauty (Kwa mimi lakini :) ). Naweza kusema familia yangu ni familia ambayo mwanaume wa kawaida...
  9. PetCash

    Kila mtu ana anachokisimamia lakini...

    Habari wanajamvi, Nimeona tu bora nifungue uzi huu. Najua kila mtu ana maisha yake ,misimamo anayoisimamia na Imani yake. Lakini tuje kwenye hili swala la Single parenthood na jinsi kasi ilivyokua kubwa. NImesema ParentHood ili kuondoa ubaguzi lakini sana ni Single mother hood (Kwa sababu ni...
  10. PetCash

    Am I being unreasonable?

    One day nikiwa job mke wangu alinipigia simu akinitaarifu kuhusu tatizo fulani ambalo limemtokea kazini. Ni gumu na nilimpa moyo lakini the ugly conclusion ni kwamba kwa msaada anaouhitaji mtu wa karibu tunayemjua anayeweza kumsaidia niliwah kumkataza mawasiliano naye. Kusema kweli mke wangu...
  11. PetCash

    Kuna ushauri wa tatizo kama hili?

    Kwanza ilianza kama masihara. Mshikaji wangu jirani (Tulikuwa tumepanga nyumba 2 ndani ya geti moja), alimchukua na house girl aliyepewa na workmate wake akawa msaidizi wa ndani kwao. Kijiweni tulimtania kwa siku nyingi sana kwa sababu mbili kwanza ye (mwanaume) ndo analeta house girl badala...
  12. PetCash

    Ushauri: Mpenzi wangu ananipigia simu mara kwa mara,nisipopokea anakasirika

    Ni muda mrefu sasa toka wife awe away masomoni. Hali yangu ni shwari tu (Not that I am cheating or anything.)Issue inayonitatiza ni kwamba, tangu muda mchache baada ya yeye kuwa huko akawa anapiga simu sana. Asubuhi hata mara3 mchana mara2 jioni anakaba kama chelsea yani dakika 20 keshapiga...
  13. PetCash

    Saa nyingine unakuwa mpole lakini bado majanga yanakuja yenyewe

    Ilikuwa muda mrefu toka wife asafiri kikazi (3months). Training kama hizi (nilikuwa kwenye training ya vitengo mbalimbali Hotel moja inaanza na K Morogoro,zilishanisababishia majanga back then. Kwa hiyo nikaingia nikiwa mpole nimecorncentrate kila kitu naandika(yani busy busy!). Basi bana watu...
  14. PetCash

    Mapenzi ya siku hizi

    Hii ni spesho kwa wale ambao hata wakikosewa inawabidi wao ndo waombe msamaha... a.k.a nguzo za penzi;Toeni dedikesheni kwa wapenzi wenu When you gonna stop breaking my heart? I don't wanna be another one, Paying for the things I never done. Don't let go, don't let go to my love. I hate to...
  15. PetCash

    Extreme Social

    Habari za jioni wanajamvi. Kuna mtu wa karibu yangu (Naomba kumhifadhi ila ni ndugu upande wa wife..). Huyu yani ni member wa kila social network nnayoijua. Hi5, myspace, facebook, whatsapp, badoo, viber, imo, instagram( I seriously doubt kama na huku hayupo). Sasa imekuwa kama maisha yetu ni...
  16. PetCash

    Hii imekaaje ?

    Dah! Nilikuwa kwenye jam nawaza. Mara ghafla nikakumbuka kitu ambacho sijawahi kukitilia maanani. Yani wasichana wote niliowahi kukutana nao (Except wife tu) eti mimi nilikuwa wa pili kwao. Yaani after yule aliyewaingiza ukubwani. Seriously? Yaani inawezekana hiyo coincidence? yani wote i was...
  17. PetCash

    Men:One of Our selfish moments

    Ilikuwa ijumaa ambayo tulidhamiria kuspend na marafiki na familia. Jioni baada ya kazi, nafika eneo la tukio kwa wengi kila mtu yuko na mkewe (Moja). Nakumbuka kumpigia wife simu. Akaniambia yuko home na kwa jinsi majukumu yalivyombana hatoweza kutoka. Basi ikabidi nikakaa tukaendelea na...
  18. PetCash

    Nimegundua haya kuhusu wanawake

    Kitu kimoja ambacho nilikisoma sana kwenye internet comedy na post za wadau wa internet ni kuhusu uwezo mdogo wa kusamehe na kumove on kwa wanawake, ambacho nimeprove ni kweli kwa asilimia kubwa ya wanawake. a) Kwanza wasichana wengi wasomi na wa kileo (style ya twende sawa) wameshaona ushosti...
  19. PetCash

    ...by all means bakini njia kuu

    Saa nyingine unakaa na kuona umeshakuwa mkubwa sasa na kujiona una busara (@least we lie to ourselves to make us feel better), unawaangalia wadogo zako na kuwashauri especially kuhusu kubaki njia kuu (...by all means bakini njia kuu kwa kweli). Ulifuata ushauri mzuri wa wakuu, wazazi na pia...
  20. PetCash

    Its just a stupid male desire, but we can't deny its there

    Kwa mfano sasa, mwanaume unammendea dada fulani. Huna lolote kuhusu future naye zaidi ya kutaka tu kum... then usepe zako ( :smiling: ). Ofkoz kwenye negotiation, follow up na usumbufu na yeye unajitahidi kuficha true intentions (wengine ni wasanii wazuri sana hapa). Bidada naye kabla...
Back
Top Bottom