Search results

  1. J.lee

    Inatosha.

    Hapo kwenye kutoichukulia JF serious nimepaelewa sana mkuu, nimefunguka akili, mawazo na fikra.
  2. J.lee

    Vijana msikosee kuoa, nmeharibika baada ya kukosea kuoa

    Hahahahaaaaa, nimecheka eti "please put more meat on your story"
  3. J.lee

    Tujitahidi tusiwe single mpaka uzeeni

    Sijui tu ila leo wacha niseme, hua nafurahishwa sana na michango yako, namna unavyoandika inaonyesha una hofu ya Mungu na umelelewa katika maadili sijui nje ya keyboard ukoje ila maandishi yanaashiria hivyo....God bless you
  4. J.lee

    Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

    Ni kweli si wote wanamuwakilisha Mungu, lakini tuwaombee maana nao ni wadhaifu kama sisi tu
  5. J.lee

    Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

    Hahahaaa pole, wachungaji pia ni wanadamu my dear sio malaika ndio maana maandiko yanasema zijaribuni roho
  6. J.lee

    Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

    Pole, kwa nini unasema hivyo mkuu??
  7. J.lee

    Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

    Na upweke uuwiii, kuna saa unatoka kwenye mihangaiko and you wish hata mtu akupigie simu akwambie pole na hakuna, mchungaji wangu kaniambia J.Lee tafuta binti aliyemaliza darasa la saba ukae nae usikae peke ako mwanangu....nikacheka tu
  8. J.lee

    Tulio single, tujuzane changamoto tunazokutana nazo

    Hahahaa yaani jamani swali linanikera hili, ama ukiwa kwenye harusi za watu unaambiwa tunasubiri ya kwako, mbona hujawahi tuletea shemeji??
  9. J.lee

    Jina gani hutaki kulisikia linalokuumiza kimapenzi?

    Hahahaaa huuu uzi huuu aaah
  10. J.lee

    Vodacom tutendeeni haki wateja wenu. Mnapandishaje Cost 25% kimya kimya bila kutujulisha? Huu sio wizi wa mchana Kweupe? TCRA mnalijua hili?

    Nililazimika kupiga simu huduma kwa wateja kutoa malalamiko eeeh hawa watu ni wezi mno kwa kweli
  11. J.lee

    Usicheze na Mwanamke akiamua ameamua

    Wanamaudhi sana aisee hapo unavumilia ukichoka ni kufunga kamba za viatu na kutambaa na njia, binafsi kuna kaka mmoja alinionaga mjinga kweli namtafuta hapokei simu, akipokea majibu ya hovyo, matusi na mi si mtu wa ugomvi nilivumilia sana nilipokuja kugeuza kisogo haki sipokei simu wala text...
  12. J.lee

    Hivi wasambaa wana sifa gani??

    Kumbe ni msambaa mwenzangu jamani hahahaaa nimeufukua uzi wa longi kweli
  13. J.lee

    Hizi ndo sifa za mwanamke wa ukweli; ukiwa na sifa hizi 4 ukikosa mume nenda kaombewe sio bure

    Mimi tena nianze kuja room mkuu?? Alitangulia Adam ndipo Hawa akafuata.
Back
Top Bottom