Search results

  1. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Kayaman asante ..... Watu wanasahau huyu mchina yeye ana msamaha wa kodi... kwa hilo tu ..the moment anaweka gari barabarani tayari ana unafuu mkubwa sana.... sisi wavuja jasho tutashindanaje nao? Shida yetu ni mazingira yaliyojengwa na serikali kuwajali wawekezaji bila mipaka na kutusahau...
  2. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    I tell you....tuna debate za msingi sana lakini huwezi amini kuna watu wanakula mishahara humu mitandaoni kazi yao ni kuharibu debate zote zenye maslahi ya kitaifa zisishike hatamu . Hawataki kabisa watu wajadili maslahi mapana ya taifa ili tu kuficha madhaifu ya serikali. Ukigusa tu...
  3. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Asante mkuu.... please guys lets take this direction . Huu ndio uzalendo. Tujifikirie kwa mapana zaidi.
  4. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Uuuuuiiii.... mkuu ushindani hauwezekani bila governor kutoka serikalini. Level mbili tofauti sanaaaa.... sisi wa gari 5 na wa gari 150 tushindane kivipi? Wao wana access to capital..sisi je? Wewe mwenyewe hapo kila siku unatamani upate mkopo ujikwamue lkn huna vigezo. Ndiyo tz yetu. Imebaki...
  5. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Shida ninayopata na nyie ni white collars ! Hamna uelewa mpana wa huku uswazi tuliko sisi. Kwa taarifa yako... 1. ukinunua basi leo... lazima utapakiliwa na agent. Taka usitake. 2. Ukinunua lori leo...lazima utapakiliwa mzigo na dalali.. taka usitake... labda uwe na mizigo binafsi. 3. Ukinunua...
  6. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Mkuu nakushukuru sana. At least kuna wachache kama wewe wenye passion na hii nchi yetu. Hiyo nauli yenyewe tunayowazia tu difference ni buku au buku mbili. But long term impact kwa watanzania itakuwaje? Who among us anafikiri mchina ana uchungu sana na maisha ya mtanzania kuliko mtanzania...
  7. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Wengi mnaochangia hapa hamjui tu mchina alivyo kimaslahi na roho mbaya. Hayo mabasi yetu mnayoyaita ngarangara Mengi( 90%) ni Scania 94. Zimetengenezewa body na na Say Dar coach. Ubora wa kutosha miaka 5 na zaidi. Hizi take away half price nzuri tu kwa sura . Impact kidogo tu nyanganyanga...
  8. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Mkuu chunguza kidogo tu uambiwe kitu wanafanywa hao makonda nanmadereva wa mabasi au malori ya wachina! Ulizia kesi zilizopo ubungo au urafiki polisi. Kwa taarifa tu ni kuwa nauli kupanda December hata mmiliki hanufaiki. Wananufaika tu mawakala wa usafirishaji. Wala Taboa wala mmiliki...
  9. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Na kweli hatushindwi ! Lakini hatujafikia hapo na wala hatuwaxhukii watanzania kwa kiwango hicho! Ila najiuliza, hivi nyie mnaosupport wachina ni watanzania Kweli?
  10. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Asante saint ivugha. Sijui watu wanafikiriaje !
  11. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Hute# Uzalendo umekutoka kabisa. Hizo ajali zinasababishwa na vichochoro vya nchi hii. Hiyo imani ya kafara unayo wewe! Hujui tu ni kwa kiasi gani unanufaika na uchumi kurudi mikononi mwetu wenyewe. Nikukumbushe tu kabla ya wachagga kushika hatamu kwenye maduka walikuwepo wahindi tu kwenye...
  12. B

    Wachina kuvamia usafirishaji ni Halali?

    Ndg zangu naombeni kuhoji kupitia jamvi hili ili na nyie mnisaidie Mimi ni mdau wa biashara ya usafirishaji kwa njia ya barabara. Tumevamiwa na tena tunakandamizwa hatupumui hata kidogo na hawa wawekezaji wapya WACHINA. Nikizungumzia mabasi, leo hii kuna wachina wanapeleka mabasi route zote...
  13. B

    Taarifa ya Startimes na TCRA kuhusu ukweli wa tatizo la ITV na EATV katika Startimes

    Tcra ninawapongeza kwa kujitokeza kujibu maswali hapa. Lakini jitahidini muwe na majibu mafupi yaliyonyooka. Hakuna haja ya kuwa so technical cha msingi utatuzi wa tatizo. Politics hazitatusaidia.
  14. B

    Kituo kikuu cha mabasi ya mikoani ubungo.

    Duh... yaani nchi hii kila mtu anaona namna rahisi ya kutatua matatizo ni kuwa mwizi! Huyo anaenda na ticket ya zamani ni wiziii. Iko siku utakuta mtu makini aithet utapigwa au uishie kupata aibu! Point ya msingi hapa ni kuwa "je ni halali kulipia wakati hakuna huduma ndani?" Serikali = ccm =janga
  15. B

    Jerry Muro amehasiwa kitaaluma?

    Mzito Kabwela 12STONE Jerry Muro alikata tamaa mapema mno. Wakristu husema "majaribu ndo mtaji wa Imani". Majaribu ya Jerry ndo ulikuwa mtaji wake wa kusonga mbele na kuwa na jina kubwa katika nchi na nje ya nchi. Lakini yeye kaamua kupokea mtaji na kuutia kwenye kibuyu mvunguni. Hebu aone...
  16. B

    Mnyika, watchout! Maji Ubungo yatakuondoa...

    Wewe unayeyajua majukumu ya mbunge hebu tujuze? Kwa uelewa wangu na kwa mazungumzo ya hawa wabunge majukwaani swala la maji na barabara ni jukumu kubwa la wabunge.
  17. B

    Fupi tamu jamani ... ila ndefu hakika inakera!

    Mkuu huu nao ni shidaaaaa. Ila usijali tutaufanyia kazi ipasavyoo.
  18. B

    Fupi tamu jamani ... ila ndefu hakika inakera!

    Great thinkers, naombeni mawazo yenu kuhusu hii slogan ya channel 5. Je huu msemo unazingatia maadili ya mtanzania? tcra hawana la kusema juu ya hii misemo ya kingonongono hadharani? hakika nakereka sana na huu usemi pindi unaposemwa nikiwa nimekaa sebuleni na watoto wangu. samahani...
  19. B

    Natafuta iPad ya bei nafuu

    Asanteni wote kwa majibu. Tuelekeeni kunako pm kukamilisha biashara sasa.
  20. B

    Natafuta iPad ya bei nafuu

    Nahitaji ipad ya bei nafuu kwa ajili ya kuweka michezo ya watoto. Mwenye nayo naomba awasiliane nami tafadhali.
Back
Top Bottom