Search results

  1. E

    Uchaguzi una kushinda na kushindwa...

    Heko wana Arusha mmeonesha njia.
  2. E

    TANZIA: Dr. Ferdinand Masau wa Tanzania Heart Institue afariki dunia

    R.I.P doctor Masau, umeacha nyayo duniani.
  3. E

    Sakata la kutekwa, kuteswa Kibanda: Maggid Mjengwa ahojiwa na Polisi!

    Tunaomba haki itendeke, isije ikawa kiini macho kama filamu zilizopita.
  4. E

    Ni kweli serikali inapuuza madai ya walimu?

    Ni kweli serikali inapuuza madai ya walimu hilo halikwepeki, rejea kauli ya rais baada ya mgomo wa walimu "madai ya walimu hayalipiki". Kwa nini madai ya walimu hayalipiki wkt ya watumishi wa kada nyingine yanalipika. Kitu kinachotakiwa kufanyika ni walimu kuuza bidhaa "elimu" kulingana na uwezo...
  5. E

    Vurugu za Kidini Mbagala: Mtoto akojolea msahafu baada ya kuthubutishwa; makanisa yachomwa

    Kuandamana kwa ajili ya ubishi wa watoto ambao haujafanyiwa hata utafiti ni kuidhalilisha dini, hata kama walighadhibika walipaswa kufuata sheria. Kwa mambo yalivyoenda inaonesha wazi kuwa hawa viongozi wa dini walikuwa na ajenda nyingine nyuma ya pazia.
  6. E

    Mwenge ukiwashwa mbele ya wafanyakazi wa serikali na wanafunzi tu, maana yake nini?

    Yamkini wewe ni miongoni mwa mafisadi mnaotafuna hela za watanzania maskini ambao wanavuja jasho huku watanzania wanakufa na kulia na hali ngumu ya maisha.
  7. E

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Iliyoniacha hoi ni waziri asiye na wizara maalum. Is it necessary to have such kind of ministry?
  8. E

    Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

    Iliyoniacha hoi ni waziri asiye na wizara maalum. Is it necessary to have such kind of ministry?
  9. E

    Lema azidi kuibomoa CCM Arusha

    out of topic.
  10. E

    MAPOVU TOKA CCM; Mgeja ataka Sabodo avuliwe uanachama

    Hata mbaazi ikikauka husingizia jua, CCM wameshaanza kutafuta wachawi na kusahau walivyowaharibia wananchi.
  11. E

    Ccm wamsukia zengwe millya

    Mbona hayo magamba yanadaiwa pesa nyingi sana na watanzania, na walikua wapi kumdai siku Ole Millya sik zote mpaka wamesubiri ahamie CDM. KWELI MFA MAJI.............
  12. E

    Mchanganuo wa gharama ya Safari ya Rais Kikwete huko Brazil huu hapa

    Sasa na wapiga pasi, wapishi, katibu msaidizi wa Salma Kikwete wote hawa wa nini? Ilikuwa ziara ya familia nini, kweli watanzania tunahujmiwa!!!!
  13. E

    Kikwete awalinda Mawaziri - Asisitiza waachwe, UPEPO HUU UTAPITA!

    Viongozi wetu wanatakiwa kuelewa kuwa wananchi ndiyo waajiri wao, haiwezekani na wala haingii akilini kiongozi mkubwa kama raisi kuchukulia masuala mazito kama haya kirahisirahisi tu eti anaita "huu ni upepo utapita tu". Nafikiri watanzania tunahitaji kutafakari sana juu ya kiongozi wa nchi...
  14. E

    Picha, Sekeseke la Tandahimba

    Magamba yamezoea kushibisha matumbo yao kupitia wanyonge,mbona posho zao hawajicheleweshei? Big up wana Tandahimba mnazidi kuonesha njia ya M4C!!!!!
  15. E

    CHADEMA yashinda Kirumba na Songea na Kiwira

    safi sana wana Kiwira. watanzania wote tuko pamoja na nyie. viva CDM
  16. E

    Ngeleja: Mnyika mnafiki, anapotosha wananchi

    Kama huo sio mgao wa umeme watupe jina mbadala.
  17. E

    CCM yamwaga matusi Arumeru

    Imefika kipindi ambacho watanzania tunahitaji mabadiliko, sasa ndiyo kipindi muafaka. viva CDM!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Back
Top Bottom