Search results

  1. E

    Kontena 10 zenye kemikali za kutengenezea dawa za kulevya zakamatwa bandarini Dar

    Personally naona Post zenye Heading kama hii ambazo zitapotosha tu watu ni Bora Admin awe anazifuta au ziende Jukwaa la Gossip
  2. E

    Kontena 10 zenye kemikali za kutengenezea dawa za kulevya zakamatwa bandarini Dar

    Kupost Taarifa ambazo hauna Ufahamu mzuri nazo na kwa kuweka Title ambayo ni "click bait" sio jambo la Busara kabisa; Izo Chemicals unazozungumzia wewe Zinaitwa 'precursors' na ni kweli zinaweza kutumika kutengenezea Madawa ya Kulevya lakini hiyo ni kazi mojawapo tu lakini zina matumizi...
  3. E

    UDSM Programming - Hawajui kwenda na wakati

    Na me niweke Mchango wangu kidogo kwenye Hili.. First from my point of view naona Programming is more of a hobby or smthin.. N its realy supposed to be funny expirience studying it kama kweli unaipenda.. Binafsi pamoja na kusoma kwangu course ambayo its not computer science related nimependa...
  4. E

    Kumwaga nje mbegu za kiume wakati wa tendo (withdraw) na uwezekano wa kupata mimba

    Habari zenu wote natumaini muwazima... Wakati wa kufanya sex na mtu akawithdraw ile round ya kwanzaa, hivi wakati zinatoka zile sperms si kuna baathi zinaweza zikabaki kwenye mrijaa!!? Na kama zinaweza zikabaki je wakati wa round ya Pili si kuna majimaji yanatoka kusafisha mrija na yanaeza...
  5. E

    Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala

    Mimi binafsi ningekuwa Tayari kuhustle nipay even 100-150 a month kama ningepata proof kabisaa kuwa certain provider angenipa tru unlimited package with good Download,uploaf speed na Latency nzuri regardless of the place i am and the time of day meaning regardless ni mchana au usiku maaana izi...
  6. E

    Fiber ya simbanet inaonyesha jinsi Tanzania tunavyohitaji internet mbadala

    Everyday nikiwa natumia Internet in my pc or my smartphone huwa inaniumiza sanaaa kuona jinsi gani matumizi yangu yanakuwa limited na internet speed na ubora wa package zao... I could av done so much more with my 4n lakin ndo ivo usipopata tatizo la speed utasikia umetumiwa msg kuwa umebakiwa...
  7. E

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Dr anazifahamu izo mamlaka vizurii tuu hata yeye mwenyewe pale alisema TAKUKURU yenyewe inahitaji TAKUKURU nyinginee ya kuichunguzaa..sasa ulitaka akaseme wapi sasa. Nafahamu kila mtu anatamani kuiona CCM inatoka madarakani (mimi nikiwemo) BUT hiyo sababu isitufanye tusiwe open minded when...
  8. E

    Naomba kufahamu kuhusu Tethering kwenye Android

    Asante Bro kwa Response yako..Ukiniambia Haiwezekani sawa lakin Ukisema halina msingi Unakosea kwa sababu hujajua Circumstances zinazonifanya nitake kufanya hivo.. Okey Ngoja nikupe Mfano.. Huwa in our class kuna port moja tu ya ethernet so huwa anaconnect anaewahi kufika then anashare na PC...
  9. E

    Naomba kufahamu kuhusu Tethering kwenye Android

    Habari zenyu wakuu.. Hili Swali langu linalenga Devices za Androids. Nafahamu Kuwa unaeza ukafanya Teathering n turn your phone into a wifi hotspot sasa SWALI langu ni kwamba JE inaezekana ukaconnect kwene any Wireless Internet na simu yako THEN ndo ufanye Teathering kushare ile Internet ambayo...
  10. E

    Please out there mwenye PES14

    Asante sanaa Mwl.RCT but kushusha GB 5 siku hiz majanga sanaa.... Ngoja ni mPM Mr Elmagnifico...
  11. E

    Please out there mwenye PES14

    Habari zenu wakubwa.. Personally, katika soccer games nimeplay fifa tuu n i lov it na sijawah kuzipenda previous PES games wala kuzicheza kwa sababu sikupenda graphics zake n gameplay... Lakini hii PES14 naona inapata sifa na i read online kuwa imeizid FIFA14 graphics so ningependa kujua...
  12. E

    Wanasayansi wa Humu: Tuelezeni Hii Ya Total SolarEclipse ya 3.11.2013

    Duh ni nomaa. eti "ikatamalaki" hahag. mkuu naona ilikua very nice expirience
  13. E

    Offer! TunnelGuru Vouchers & PD Proxy Vouchers for only 6500/- Each

    Duh mkuu cjaamin macho yangu iyo Speed. me cku nkijitahd sana naishia kwene 700 hv..
  14. E

    Naomba kufahamishwa hili kuhusu Wi-fi na Modem Conection

    Habari zenyu wakubwa.. Nafahamu ya kuwa unaweza kutumia Modem mbili at the same time ili kuongeza speed ya internet, Sasa nilikua nauliza kuwa je ukiconect PC yako kwenye Wi-fi alafu at the same time ukaconnect na Modem, je speed itaongezeka? Na je unaitaji tool yoyote ili zicombine speed zake...
  15. E

    Some Awesome New tv Series in Town

    Mimi huwa sipendi series za ki detective za crime investigation kama CSI au hawaii five O na nilikua najua Homeland na Burn Notice ndo zipo hivo hivo until nilivoona wakuu wanazirecomend hapo juu ndo nikazicheck wikipedia kumbe zina story nzur tu.. So nimeshapata Homeland season 1 na now nafanya...
  16. E

    Some Awesome New tv Series in Town

    Mkuu sio exactly lakini wana story nzuri..Im sure you wont regret watchin it
  17. E

    Some Awesome New tv Series in Town

    Design hiyo kuna Viking na Rome. zipo pouwa pia Na moja iv inaitwa Da Vinci Demons
Back
Top Bottom