Search results

  1. A

    Nauza TV flat screen lg inch 43

    Nipe laki sita mkuu nikuachie
  2. A

    Nauza TV flat screen lg inch 43

    Picha inagoma kuwa uploaded sijui tatizo nn ..kama uko intersted nitumie namba nikutumie watsap
  3. A

    Nauza TV flat screen lg inch 43

    Picha imegoma kuwa uploaded sijui ttz ni kitu gan mkuu may be uwezo wa cm yangu ni mdg
  4. A

    Nauza TV flat screen lg inch 43

    Mkuu nimejaribu mara kibao kuattach picha lakin inagoma kuapload sijui ttz ni nn..kama uko intersted mkuu nipe nikutumie watsap
  5. A

    Nauza TV flat screen lg inch 43

    Haina michubuko hata kidogo
  6. A

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Ninayo LG inch 43 Hd Led kama unahitaji nicheki 0758291272
  7. A

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nauza LG inch 43 imetumika miezi nane t. bei 700,000/= nipo Dodoma nicheki Watsap 0758291272
  8. A

    Nauza TV flat screen lg inch 43

    Wapendwa nauza Tv flat Screen LG INCH 43 imetumika miezi nane tu bado ina makaratasi yake.. Bei laki 700,000/= mazungumzo yapo. Location ni Dodoma. Mawasiliano-0758291272
  9. A

    Baada ya kushiriki na kushindwa uchaguzi nina haya ya kusema kwa uongozi mpya BAVICHA

    Chadema ni mpango wa mungu hakika tutafika...
  10. A

    CCM nambari wani

    Maccm ni zimwi halifai hata kusimuliwa hadithi zake.......mwisho wao umefika..Mungu ibariki ukawa ili tushihidie kifo cha hili zimwi 2015.
  11. A

    666-nyayo za kuzimü

    mzizi tupe uhondo
  12. A

    Haiba ya Kinana na CCM

    hapo na penyewe utasikia tuunde tumeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee! jamani TANZANIA YETU YA LEO!
  13. A

    Mkapa awashukuru waliomchagua kuwa Rais wa Tanzania.

    Hapa ndo nazidi kuamini kwamba ukitaka kuwa mwanasiasa lazima uwe na moyo wa ajabu sana! Jamaa ndo kaenda kutoa shukrani leo afu kwa kauli za kejeli! Mungu nisaidie nisiwe mwanasiasa!
  14. A

    Tamko la JWTZ juu ya picha ya Lema na Mwanajeshi katika Mwananchi la Leo

    kwa kuangalia haraka haraka utagundua kwamba huyo jamaa siyo mwanajeshi kwa sababu hiyo sare haina hata namba, kwa sababu wanajesh au askar yeyote hutambulika kwa kutumia namba na hilo ndo huwa jina lake. kwa kitendo hiki mi naliunga mkono JWTZ kwa kuendelea kufanya uchunguz dhidi ya haya...
  15. A

    Msaada jamani!

    wana jf naomba kwa hili, mwenzenu korodani zangu kuna mda nakuwa nahisi kama kuna moto unaziunguza, afu na mashine nakuwa nahisi ni ya barid! naomba ushauri wa kitaalamu.
  16. A

    Naweza kusoma degree?

    Wana JF Naomba mnijuze kama naweza kusoma degree kwa kutumia matokeo ya certificate, nina second upper class! naomba mnijuze
  17. A

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    kujiuzulu haitoshi! washitakiwe kwa matumizi mabaya ya ofisi walizokuwa wakizitumikia.
Back
Top Bottom