Search results

  1. N

    Msimu wa korosho umewadia, mizani na mawe feki katika vyama vya msingi kwa ajili ya kuwaibia wakulima bado ni tatizo kubwa

    Naomba sana ujumbe huu uwafikie wahusika. Miongoni mwa njia wanazotumia viongozi wa vyama vya msingi kujitajirisha kwa kuwaibia wakulima ni kuwa na mawe ya mzani yanayoiba. Tatizo hili ni kubwa kuliko inavyodhaniwa lakini halijaguswa wala kuzungumzwa. Na mwaka huu hali imekuwa mbaya zaidi...
  2. N

    Matokeo ya mtihani wa Darasa la saba aliofanya mwanangu,yana alama ya 'W'. Naomba kujua tafsiri yake

    Katika shule aliyofanya mtihani mtoto wangu. Kati ya wanafunzi 180 waliofanya mtihani ni wanafunzi 67 tu ambao matokeo yao yametoka,waliobaki unakutana na alama ya nyota kisha w,nini tafsiri yake?
  3. N

    AzamTV mnakera acheni ushamba sana...

    Kama mmeamua kutengeneza app kwa ajili ya chanel zenu vipi tena inawapata kazi ya kuzihamisha kila mara Yaani kukiwa na football mechi mnahamisha chanel ili eti watu wakaangalie kupitia ving’amuzi,Yaani Yaani bado hamjui kwamba watu wako karibu na simu zao kuliko ving’amuzi ambavyo wameviacha...
  4. N

    Nahitaji Bajaj Used,Lakini iwe in good condition.

    Wakuu mwenye Bajaj iliyotumika na ambayo bado iko katika hali nzuri njoo tufanye Biashara 0784356521
  5. N

    Tuliosoma Shule Ya msingi Muungano Wilaya ya Tunduru Mkoa Ruvuma tangu mwaka 1995 tukutane hapa na tutambuane.

    Wadau kama wewe ni mwenyeji wa Wilaya ya Tunduru au uliwahi kuishi Tunduru na ukasoma shule ya msingi Muungano jitokeze hapa tuweze kutambuana.
  6. N

    Kilichotokea Makambako ktk Ziara ya Rais pia kilitokea Tunduru,najiuliza Nani atamwambia ukweli Rais?

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa tamthilia ya Sultan bila shaka utakubaliana nami kwamba sio tu ni ngumu kwa kiongozi kuwa na taarifa sahihi bali pia ni hatari zaidi anapozungukwa na watu wanaomsifia kwa lengo la kulinda maslahi yao. Imekuwa ni kama fashion kwa kila mteule wa Rais akisimama sehemu...
  7. N

    AzamTV Vipi ?

    Wameondoa Chanel Ya ZBC 2 ktk Azam App? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    Niuzie Sumsung yeyote nzuri line 2

    Kama unayo Njoo pm Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    Nani atuonya kocha wa yanga Mwinyi Zahera kwa uchochezi huu???

    Katika press conference aliyofanya leo sambamba na Dismas Ten,Mwinyi Zahera amesikika akilaumu upangaji wa ratiba ya michezo ya ligi pamoja na kumtuhumu Refa aliechezesha mchezo kati ya Yanga na Coastal kwamba amekuwa akisafiri pamoja na timu ya simba na akaenda mbali zaidi kwa kusema mambo hayo...
  10. N

    Niuzie Pili Pili

    Bajeti yangu laki nane, Niuzie pikipiki ya mchina kama unayo. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    Nahitaji IPhone 6s gb 64 Au zaidi

    Yeyote aniuzie simu tajwa hapo juu. Isiwe na tatizo lolote Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. N

    Tuwe wakweli hali ya wakulima wa korosho ni mbaya sana kuliko awamu nyingine yoyote.

    Wadau hali ya wakulima wa korosho ni mbaya sana tofauti kabisa na inavyoripotiwa ktk vyombo vya Habari... Katika Kijiji chenye watu mia sita wanalipwa watu nane au watu kumi na tatu kisha inatangazwa watu wengi wanalipwa huu uongo unaotangazwa mchana kweupe ni kwa maslahi ya nani. Wakulima wengi...
  13. N

    Tunduru wajawazito wanateketea hospitali ya Wilaya. Waziri wa afya tupia jicho kali kuwanusuru

    Katika kipindi cha wiki moja wanawake wajawazito zaidi ya wanne ninaowajua wamepoteza maisha kwa mtindo unaofanana walipokwenda kujifungua ktk hospitali ya Wilaya tunduru mkoani Ruvuma. Mwingine alitakiwa afanyiwe upasuaji lakini alikaa siku mbili bila kufanyiwa hadi alipofariki Mama na mtoto...
  14. N

    Airtel & Tigo wamenifanyia kitu mbaya,wapi naweza kupata msaada.

    Nilikosea kutuma pesa kiasi cha shilling 65000/-kutoka Airtel money kwenda tigo pesa ktk namba 0678984060 ambapo ilikuwa majira ya saa tisa alasiri. Haraka haraka nikapiga simu Airtel kutoa report na kuomba msaada ili pesa izuiwe baada ya kugundua niliemtumia amezima simu.airtel wakaniambia...
  15. N

    Car4Sale Ist inahitajika

    Mwenye nayo anicheki 0629126792.
  16. N

    Wakulima wa korosho tukutane hapa

    Wakulima wa korosho ktk nchi hii inayowajali na kuwasimamia wanyonge wananyanyasika ktk kupokea malipo ya korosho zao walizouza kiasi ambacho iko wazi mazingira ya dhuluma dhidi yao yanaandaliwa kwa ustadi mkubwa na serikali yao.mfano ktk halmashauri ya Wilaya ya Tunduru baadhi ya wakulima...
  17. N

    TASAF: Watanzania sasa watafurahi na roho zao

    Wananchi ambao bila kuomba waliorodheshwa kuwa wanufaika wa tasaf sasa wanatakiwa kurudisha pesa zote walizopokea Au wafikishwe mahakamani.jambo hili limezua taharuki kubwa miongoni mwa wananchi hasa ukizingatia kwamba asilimia kubwa ya wanufaika wa tasaf na hata wale ambao wametolewa ni wa hali...
  18. N

    Nauza iPhone S5 TZS 600,000/=

    Nauza iphone s5 sh 600000 Nicheki 0654369292
  19. N

    Niuzie used iphone 5/ 5s,au note 3

    Kama unayo ni text katika 0784356521 Kama unayo clone usisumbuke bure nahitaji ORIGINAL.
  20. N

    Niuzie Nokia Lumia 625 au 1320

    Kama unayo nitafute 0784356521.
Back
Top Bottom