Search results

  1. M

    Vijana na sie tujiandae mwakani kuweka Rais wetu

    Vijana wenzangu tuliozaliwa miaka ya 1980 tumeona yaliyotokea wiki hii... Senegal wameweka Rais kijana wa miaka 44 ofisini pamoja na changamoto zote za kufungwa jela na kufutwa chama za siasa. Wananchi hawakuona hizo kama ni changamoto wakamuingiza madarakani aliyekuwa mtoza ushuru, Faye...
  2. M

    Toa maoni yako hapa tuwafanyeje waliotaka Rais Samia asikabidhiwe nchi

    WanaJF, Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia. Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba isisimamiwe. Aliyekuwa CDF akakataa Matukio haya yanasikitisha lakini tukiyanyamazia yanaleta precedence...
  3. M

    Sheria ya kukataza uhusiano wa mali za umma na majina binafsi itungwe

    WanaJamiiForums, Siku za karibuni kumeibuka wimbi kubwa la watu kuwanasibisha viongozi wakubwa wa nchi hasa Mh. Rais Samia na hata Rais aliyetangulia na hela ya bajeti ambayo inatolewa na hazina kuu ya nchi. Hii siyo sawa kabisa kwa maendeleo ya nchi na uwajibikaji. Hela zinazotoka Hazina...
  4. M

    Taja kiongozi ambaye hayupo kwenye historia yetu unataka nchi imtambue

    WanaJF, Wakati tunaendelea kumshukuru Mh. Rais wetu, Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mchango wa Bi. Titi Mohamed najua tuna viongozi wengi ambao sisi vijana wa miaka ya 1990s au kabla hatuwajui sababu mfumo uliwaficha. Hii ni sababu aliyepo madarakani ndio huwa anaandika historia anavyotaka...
  5. M

    Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    WanaJF, Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa. Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini. Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa...
  6. M

    Israel watapelekwa ICC

    Kwa yanayoendelea Gaza, ICC wasipoanza uchukuaji wa vielelezo vya kuwapeleka Netanyahu na kundi lake la kigaidi kwenye mahakama ya kimataifa nchi za Afrika inabidi kujitoa. Hii ni sababu ya double standard ya mahakama husika.
  7. M

    Sababu ya kusafirisha mafuta kutoka Uganda kupitia Bomba mpaka Tanga

    Za weekend wanaJF, Nimekuwa nikifikiria sababu inayotumiwa na nchi za Afrika kusafirisha mafuta kupeleka nchi za mbali bila kupata majibu. Nilitegemea mafuta ya Uganda na Tanzania tungeya-,process hapa kwetu Africa sababu sisi ni watumiaji wa bidhaa hii muhimu halafu ndio tuuze nje. Lakini...
  8. M

    Mkutano wa tathmini wa Jeshi letu la Polisi

    Za asubuhi wanaJF, Naangalia taarifa ya habari ITV asubuhi hii naona taarifa inasomwa na msemaji wa jeshi la polisi akieleza kuhusu kikao cha tathmini cha utendaji wa polisi kuanzia Sept 4 hadi 7. Kikao kitafunguliwa na Mhe. Rais Samia. Wananchi ni wadau wakubwa wa utendaji wa polisi hivyo...
  9. M

    Weka wazo lako la kuishauri serikali kuhusu kuboresha usafi wa mazingira

    Habari ya jioni wanaJF, Mimi kama mkazi wa DSM nimeona niweke hii thread hapa ili tuwe tunaishauri serikali jinsi ya kuboresha usafi wa mazingira tunayoishi. Ushauri serikali ifanye haya. 1. Kuongeza kodi maradufu kwenye nepi za watoto wanaoziita baby diapers... Hizi zimekuwa uchafu maeneo...
  10. M

    Makumbusho ya Taifa na bidhaa za kukumbuka

    Za jumapili wanaJF, Leo naomba nitumie jukwaa hili adhimu kuelezea niliyokuwa nimeyaona kwenye makunbusho yetu ya Taifa nilipotembelea hapi wiki mbili zilizopita. Nimewahi kutembelea pia miaka ya nyuma. Nakiri makumbusho ni sehemu muhimu ya kujifunza Kwa hiyo inabidi kuwepo na vitu vya kutosha...
  11. M

    Aliyejiua Derm Plaza azikwa

    Taarifa kamili fuatilia gazeti la Mwananchi Aliyejirusha ghorofani azikwa Dar, Mchungaji asema… Marehemu ameacha mke bila mtoto wa kumzas lakini ana watoto zaidi ya 10 aliokuwa anawalea. Pumzika Kwa amani Joel
  12. M

    Utengenezaji wa silaha za kivita duniani

    WanaJF, Natumai wote tupo poa. Baada ya kutoka kanisani leo nimekuwa natafakari madhara ya vita vinavyoendelea sehemu mbalimbali duniani kama Ukraine, Sudan etc. Naendelea kujifikirisha hapa kwa nini viongozi wetu wakubwa wa dunia kama Umoja wa Mataifa wasipige marufuku utengenezaji wa hizi...
  13. M

    Tanzania haiwezi kuanza kufuga kangaroo ili kuvutia watalii?

    Za jioni wana JF? Naangalia kipindi cha wanyama hapa naona kangaroo wanaonyeshwa na kupendeza kweli. Hivi TANAPA haiwezi kununua kangaroo wachache kutoka Australia ili tuwafuge na kupata watalii wengi wanaokuja Tanzania? Hii itasaidia hata watalii wa ndani ambao tumekuwa tukitamani kuwaona...
  14. M

    Ukimya wa mashabiki wa Yanga

    Yanga wanaogopa Nini? Mbona sioni shamrashamra kama za jana kwa wenzao Simba SC? Wasiwasi wa nini wajameni? Hebu jiaminini? Jana baada ya kutoka jumuiya asubuhi naona mashabiki wana shangwe na furaha wakipata pombe kuanza kushangilia. Leo mtaani kimya kama vile hamna timu kubwa inacheza mechi na...
  15. M

    Kuna nini shule zetu za kata?

    WanaJF, Haiwezekani wanafunzi wafaulu vizuri sana mtihani wa darasa la Saba halafu kidato Cha nne wafeli kiasi hicho. Huko sekondari wanafunzi mmewafanya nini? Hebu kama kuna walimu hapa jamvini tujadili hili suala.
  16. M

    Dume la bata mzinga linakula mayai

    Wadau, msaada tafadhali, Nilinunua Bata mzinga siku za nyuma. Kama wiki mbili zilizopita Bata jike alianza kutaga na kufikisha mayai 6. Baada ya muda nikakuta yamepungua 2. Nikawa na wasiwasi kuwa dume anakula mayai. Nilichofanya nikatoa mayai yaliyokuwa yamebaki. Akitaga tu natoa yai...
  17. M

    Michuano ya kombe la Dunia Qatar. Linganisha na michuano ya nyuma

    Hello wanakandanda wa JF! Baada ya michuano ya kombe la dunia kuhitimishwa huko Qatar na Argentina kuchukua kombe hebu tufanye flash back kulinganisha na michuano ya 2022 na ya miaka ya nyuma. Kwa maoni yangu michuano ya 2022 imekuwa na msisimko mkubwa ukilinganisha na ya miaka ya nyuma...
  18. M

    Matokeo ya sensa

    WanaJF, Wakati tupo siku ya pili ya sensa ambapo baadhi yetu bado tunaendelea kusubiria makarani, tunafurahi viongozi wakuu wametuhakikishia kuwa wote tutafikiwa. Asante sana viongozi wetu. Nimesikia mpaka Sasa asilimia 36 ya kaya zimefikiwa ikionyesha kuwa tutafikia lengo hata kabla ya muda...
  19. M

    Vitu 4 ambavyo vimekuwa overrated Duniani

    Za asubuhi wanajamii, Kwa miaka michache niliyoishi duniani nimegundua kuna vitu ambavyo watu wamevipa thamani kubwa kuliko inavyostahili. Baadhi ya hivyo vitu ni, 1. Mapenzi, jamii imetia mkazo sana kwenye hili hasa vijana. Hili ni chanjo kimojawapo cha kuzorotesha uchumi na kupoteza muda wa...
  20. M

    Uchanganyaji wa sabuni ya maji

    Wanajamii, Leo nimeona nitoe kero ambayo nimekuwa nikikutana nayo maeneo mengi hata ya serikali. Wanachanganya sabuni ya kunawia na maji. Nafikiri lengo la wachanganyaji ni ili isiishe mapema bila kujua inaweza isiwe inakamilisha lengo. Hivi hawa wachakachuaji wanatumia mwongozo Gani? Na...
Back
Top Bottom