Search results

  1. M

    Mkurugenzi mkuu bodi ya kahawa azidi kupagawa

    jamani hili nalo ni tatizo kweli siku hizi, ajabu sasa unakuta hapo 'kichwa' cha ukweli ndio kinatimuliwa
  2. M

    Madudu EPZA: Ubadhilifu, uendeshaji mbovu na wakurugenzi Miungu Watu!

    Ni kweli yapo hayo EPZA wala sio uongo kabisa
  3. M

    Madudu EPZA: Ubadhilifu, uendeshaji mbovu na wakurugenzi Miungu Watu!

    Ni kweli yapo hayo EPZA wala sio uongo
  4. M

    Madudu EPZA: Ubadhilifu, uendeshaji mbovu na wakurugenzi Miungu Watu!

    Ni kweli yapo hayo EPZA wala sio uongo
  5. M

    Kuna Majamaa wanaambukiza mabinti HIV makusudi

    jamani ifike mahali tuache hili neno "una ushahidi" ili hali sisi wenyewe wana jamii tuna ndugu zetu, rafiki zetu, jirani zetu na tunafahamu kabisa hali zao na tunajua/tunaona wanaambukiza kwa makusudi nao utaniambia nilete ushahidi???
  6. M

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    Hivi boss wako nae sio babu eti??
  7. M

    Rushwa ya NGONO yamponza mfanyakazi wa kike

    Hili nali limekuwa tatizo sugu siku hizi kwa akina dada. tena kuna wakati wenyewe ndio wanaotengeneza mazingira ya kuombwa rushwa ya ngono sijui tuwasadiaje?
  8. M

    Na Padri naye? Aisee

    Ni padri wa kanisa katoliki manzese, ni mkongomani huyo. na ndivyo aluvyo wala hajichubui
  9. M

    msaada! kutumia dulcolax kupunguza unene

    Shida ya wadada wengi hawapendi kufanya mazoezi hasa pale anapoambiwa afanye diet na mazoezi. lakini wakati wa kula chips/mayai huwa hatukumbuki kuna kunenepa.
  10. M

    Mjadala wa Ushauri na tiba ya maumivu makali ya tumbo wakati wa hedhi (dysmenorrhea)

    singaile sio kweli na havina uhusiano kabisa na ovulation. Mie Housegirl wangu huwa linamsumbua hivyo lakini anatumia painkillers linatulia. Ingawa nae ameambiwa mpaka atakapozaa litaacha kuuma
  11. M

    FASTJET has taken over FLY 540 shares!

    lol! na mie mkulima sasa nitapanda kipeperuko
  12. M

    Ofisi za FASTJET

    Ukishindwa kabisa uliza ilipokuwa ofisi za 540 zamani ndio humohumo
  13. M

    Kitu kidogo tu wasema LOL!

    jamani The Boss mbona kapatikana hapa
  14. M

    Usafiri wa anga wapata mkombozi? DAR to KIA(JRO) to DAR - TZS 88,000/=

    jamani mbona ofisi yao ndio iliyokuwa ya 540 ndio mtindo wetu ule ule au?
  15. M

    Kwa nini walimu wengi wao ni walevi

    Yaani kama namuona mjomba angu sasa hivi yuko chakali
  16. M

    Mmm, eti Paja na Firigisi Vya Baba. . .

    lol mie mtoto wangu ana 5yrs bila paja hakieleweki
  17. M

    Mnyika, Jafo & Sungusia wamekuwa ndio vyama vya wafanyakazi Tanzania

    wanachukua pesa zetu za bure, hakuna wanachokifanya.
Back
Top Bottom