Search results

  1. R

    Waraka uliowaondoa Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo CHADEMA huu hapa

    Huu ndio Waraka/Mkakati uliopelekea Kitila na Zitto kupoteza uanachama wao ndani ya CHADEMA Tundu Lissu atangaza rasmi Zitto kuvuliwa uanachama CHADEMA - JamiiForums
  2. R

    BUNGENI: Peter Serukamba(CCM) atukana tusi kali, "F*** you"

    Moderators naomba muweke hii voice clip hapo juu kwa faida ya ambao hawakuskia https://soundcloud.com/newsaddict/serukamba?utm_source=soundcloud&utm_campaign=wtshare&utm_medium=Twitter&utm_content=http://soundcloud.com/newsaddict/serukamba
  3. R

    Mwandishi mwingine anusurika kutekwa

    Mhhhhhhhh
  4. R

    Denis Msaki ni nani Katika siasa za Tanzania?

    Duh, hii inadhihirisha wazi mikakati ya chadema dhidi ya Zitto na marafiki zake kumbe imeanza sikunyingi! Lakini nashauri tusihukumu kabla hatujapata picha kamili, tuendelee kuvuta subira naamini tutayajua mengi!!!
  5. R

    Sakata la Lwakatare na sababu 2 za uthibitisho wa Mtonyaji Serikalini kuihujumu CHADEMA

    Kama polisi wanafuatilia huu uzi wanapaswa kumchukua mleta mada ili awasaidie uchunguzi... jambo hili liko polisi lakini nashangaa kwanini watu wasiwe watulivu na kuelekeza nguvu zao kuhakikisha wanathibitisha njama hizi kuwa ni za uongo!
  6. R

    Polisi, video ya Sheikh Ilunga na ya Lwakatare ipi inajieleza? Sheikh Ilunga yuko wapi?

    Two wrong s does not make it right lakini hakuna maelezo yoyote nitayaelewa kwanini the so called Ilunga hajakamatwa mpaka leo
  7. R

    Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    Nina mashaka na wewe kama kweli umeangalia ile clip, kuna mipango yoyote ya mauaji imemskia au kumuona Lwakatare akiipanga?
  8. R

    SIRI ya kutekwa Kibanda, video ya Lwakatare zazidi kufichuliwa

    Mkuu we think alike! Baada ya kupost comment yangu nakuta nawe umeandika same thing!
  9. R

    SIRI ya kutekwa Kibanda, video ya Lwakatare zazidi kufichuliwa

    Jamani tuache Mapenzi, kama mleta mada ana refer email aliyoiweka hapa mbona hakuna sehemu yoyote inayosema kwamba mkanda huu ni wa kutengeneza? Ukisoma na sober mind utaelewa wanapongezana kwa kufanikiwa kupata mkanda unaaonyesha mikakati/ siri za ndani za Chadema!
  10. R

    Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

    Mkuu hapa unanichanganya... nijuavyo mimi hii kamati ni "oversight committee" na hivyo ni lazima iongozwe na upinzani, wakati composition kubwa ni wabunge (ambao ni wapiga kura) ni CCM, na nimeona safari hii wabunge wa chadema kwenye kamati hii ni 3 tu, sasa tulitarajia nani wampigie kura...
  11. R

    Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

    Mkuu nafikiri yatatosha maana Kova alishajipanga ipasavyo na kuomba aongezewe vifaa
  12. R

    Jahazi lazama Nungwi, Zanzibar leo

    Lahaula! nini tena hiki?
  13. R

    Filikunjombe ashutumu serikali - elimu, wabunge wachangie elimu badala ya harusi

    Huyu MB wa CCM huwa ananiacha hoi jinsi anavyoikosoa Serikali bila kuona aibu. Ila sina uhakika mwaka 2015 kama atagombea ubunge kupitia chama gani
  14. R

    JK amteua Dr Migiro kuwa Mkuu wa OUT

    Ngoja tumpe nafasi Dr tuone ana nini cha kutuonyesha. Kila la kheri mama
  15. R

    Zitto: Ipo siku, uhuru wa fikra utawang'oa madikteta!

    Zitto Kabwe | Raia Mwema | Toleo la 279 | 30 Jan 2013 DK. Mahathiri Mohammed alikuwa Waziri Mkuu wa Malaysia kwa miaka 22. Hata hivyo, haikuwa ni kazi nyepesi kwake kufikia nafasi hiyo ya juu kabisa ya uongozi nchini humo, alipitia mitihani mingi na mikubwa. Nitaieleza kidogo. Mahathir...
  16. R

    Mashahidi kesi ya Ponda wajichanganya

    kama mashahidi wenyewe ndio wanajibu hivi basi kazi ipo!
  17. R

    Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

    Mleta mada ungetaka kuutendea haki uzi huu ungepaswa kumuweka Mhe. Zitto Kabwe kwenye orodha yako japo kwa vyovyote vile wachangiaji wa hapa jukwaani najua wasingempa kura kwa sababu za kiushabiki. Kwangu mimi hakuna anayemkaribia Zitto. Mwenye kupinga hili naomba apinge kwa ushahidi wa vigezo...
  18. R

    MV Kigamboni imezimika injine

    Sielewi hii habari ni ya saangapi maana mie niko hapa ferry na Mv Kigamboni inafanya kazi bila tatizo
  19. R

    Heri ya mwaka mpya 2013! Nawashukuru, Nawaomba radhi!

    Asante mhe. Zitto, heri ya mwaka mpya kwako pia. Mungu akuzidishie busara, hekima na mafanikio mwaka 2013. Wenye nia mbaya juu yako wote washindwe kwa jina la YESU
  20. R

    Mbowe: Sigombei urais, nitasimamia kupata mgombea bora kuingia Ikulu 2015

    Wavuti.com Dkt. Slaa anatosha, nafasi ya Urais - Mbowe; CHADEMA haitasubiri mamluki 30/12/20121 Comment * MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, hatimaye ametegua kitendawili cha mgombea urais wa mwaka 2015, kupitia chama hicho. Katika mkutano...
Back
Top Bottom