Search results

  1. Gedeli

    DED wa Mtama na Mkurugenzi wa umwagiliaji wamkimbia Waziri mkuu na kuzima simu, mh Majaliwa awataka kuripoti Dsm kesho asubuhi

    Kwa akili yangu nahisi TISS inafanya kazi na wamepandikizwa wengi ktk maofisi ila wanapokosea ni kupeleka majibu kwa rais na waziri mku ambampo huzitumia taarifa hizo kujikweza ktk ziara zao. Kwanini hizo taarifa zisipelekwe kwa DC, mbunge, takukuru na mambo yakashugulikiwa mapema bila kusubili...
  2. Gedeli

    CAG anasa Mkurugenzi alisafiri nje ya nchi bila kibali cha Rais

    hapo sasa kuna siku nilimsikia speaker akisema riport ya CAG ni audit query hi ilikuwa ni upotoshaji kabisa. navyofahamu ukifanyiwa audting unambiwa walichoona na unapewa mdaa wa kujibu na kurekebisha kama kuna mahali wamekosea usipojibu katika mdaa muafaka wanaenedelea na kutoa riport kamili...
  3. Gedeli

    Ushauri wangu kwa watengenezaji wa ndege za abiria

    Ndege huwa haipai kwa nyuzi 90 hata siku moja labda rocket
  4. Gedeli

    Nimebahatika kupanda ndege yetu ya Dreamliner toka Mwanza mpaka Dar

    Tena dude la fast jet lilikuwa linatumia saa moja na dakika tano tu mtu umeshamaliza safali yako
  5. Gedeli

    Rais Magufuli ndiyo ameuona sasa utendaji kazi mbovu wa Jeshi letu la Polisi?

    kama alivyosema watanzania sio wajinga tunaelewa yaliyo mkuta MO, aliyekuwa mwenye kiti wa Yanga ,Zakaria na matajili wengine tunaohisi utajili wao siyo wa halali. mzee kajisalimisha yangemkuta nae lazima waishi kishetani
  6. Gedeli

    Je DK Slaa atarudi CHADEMA kumpisha Edward Lowassa ambaye ameshamaliza kazi aliyotumwa?

    No way waache wabaki hukohuko sie tutaendelea kupambana Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Gedeli

    CHADEMA yaibwaga Jamhuri mahakamani Rufaa ya DPP kutaka Mbowe na Matiko kukaa mahabusu kwa kukiuka masharti ya dhamana

    Mahakama imeagiza faili lipelekwe mahakamu kuu huko si litakutana tena na yule aliyesababisha haya na baadae kupewa zawadi ya ujaji !!!!
  8. Gedeli

    Umoja wa Watanzania wa ughaibuni Wasema hawataki mkutano na viongozi wa vyama vya kisiasa

    Wekeni hi kwa future records. wanaopenda si wataenda wenyewe bila kupitia umoja wenu huo.
  9. Gedeli

    Hivi Robert Kisena ni nani?

    aliwahi kujinufaisha na kiwanda cha oil mill nwe era mwanza wakati wa Nyanza ezi zile kwa njia ya ujanja ujaja ila nasikia kisha pigwa biti na kurudisha
  10. Gedeli

    DED wa Itigi: Ninapakaziwa kesi ya mauaji

    Hapo hakuna cha pumu wala presha ni mazingiraa tu asikae lupango wao wanapenda kuweka wenzao kumbe wao waoga mkuki kwa nguruwe Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Gedeli

    KISUTU: Mahakama yawaachia huru waliojiunganishia bomba la mafuta baada ya DPP kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka

    Yaa ndoo maana yale mabasi siyaoni sikuhizi Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Gedeli

    Sio kweli chakula cha Rais lazima kipimwe kabla ya kuliwa

    hicho ni chakula cha kushitukiza hakuna mtu aliyewaza kumzuru mkuu kupitia dafu na kama kuna vidudu mwenzio anapimwa kila siku atapata matibabu kabla hata hao wadudu hawajaanza kuzaana
  13. Gedeli

    Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo ukikamilika kuifanya kuwa bandari kubwa zaidi ya ROTTERDAM

    kama mpango huu bado uko katika matarajio kwanini tumefanya ukarabati mkubwa katika bandari ya Dar es salaam Km Chache kutoka Bagamoyo!!!!!!
  14. Gedeli

    Tundu Lissu kukutana na Papa Francis, Vatican

    Amina na habari hii iwe ya kweli jina la bwana lihimidiwe.
  15. Gedeli

    Serikali yabadili uamuzi, yauza korosho ghafi kwa wafanyabiashara wa nje

    Serikali ndo imekuwa dalali mkuu ituonyeshe mashamba yake nayo
  16. Gedeli

    Harakati za fao la kujitoa

    hata hao wa NSSF ni wa hanga wa hi michango kwani nao wanachangia kama wewe sema wao kwa kuwa wanajuana siajabu wanalipana tu
  17. Gedeli

    Udhalilishaji aliofanyiwa Profesa Assad kwa maelekezo ya Ndugai ni wa kuhuzunisha sana

    air port anapita VIP kule hakuna mashine
Back
Top Bottom